mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,137
Duuh makavu live.
Duuh makavu live.
busted [emoji28][emoji28][emoji28]
Wanaomshukia mtoa mada nina uhakika hajaelewa mantiki husika ya mada yake,, ni miongoni mwa wanafiki wenyeweNimekuwa nikipenda sana kutumia maneno kwamba waTanzania wengi tunapenda sana kuomba, kupenda kupendwa ama kujipendekeza, sisi ni wavivu na tunapenda sana kulalamika.
Maneno haya nimekuwa nikiyasema sana na haya wakati mwingune niliyatumia humu ndani (Jf), lakini cha ajabu nilishukiwa kwa maneno kama mleta mada alivyo shukiwa.
Ndo wabongo walivyo
Wengi hatupendi kuwajibika na mwisho wa siku tunakuwa wa mwanzo kabisa kulalamika.Utamaduni wenye mizizi ya kidini ni Mzigo
@Billie hivi kweli kuwajibika ni uzungu...!!We si unatabia ya kizungu watu hawapendi roho ya jpm wanapenda roho ya jk
Nikweli mkuu, lakini sasa tunapaswa tubadilike na tuachane na huu utamaduni unao tudumaza pengine hadi vizazi vyetuni malezi nafikiri tuliyokulia/tunayowakuzia watoto.
Yaani mkuu Sijajua bado tumenyimwa nini kwenye bongo zetu.Hii imenichekesha sana ingawa ndo kweli tuko hivi
Kwa majibu yanayo fanana na haya, kuna jamaa nikiwahi kushuhudia akiambiwa hivi.... don't make your problems other peoples problemsHuyo jamaa kutokuja kazini kwake kulikua kunakupunguzia nini exactly?
Ungemfata umuulize tatizo nini kwanza, changamoto ziko kibao.
Bila kumuuliza mtu tatizo personally afu ukaenda kumchoma huo ni UMBEA
Mkuu, mada za hivi naona waTanzania wengi hatuzipendi kwasababu hazitufurahishi kabisa...teh[emoji28]Mada yako inaonyesha wewe ni mchomoa betri
Nadhani watu wengi wanapenda zaidi tunapo jadili mtu na personal zaidi ya pale tukijadili vitu na mambo yanayo igusa zaidi jamii moja kwa mojaHalafu nazungumzia tabia zinazotuathiri wote
ukiwa mlevi but unarudi zako kimyakimya kwako sioni kama inanihusu
lakini ukiwa jambazi na unaleta majambazi wenzio mtaani hapo
kunyamaza hadi watu waibiwe ni unafiki na hatari binafsi mapenzi naona ni kitu
cha watu wawili..unaweza ripotia mtu anachepuka kumbe mhusika anajua siku nyingi na hataki wengine wajue
Kwanini mkuu, ebu fafanuwa ili nami nijifunze kutoka kwako tafadhaliuna roho mbaya tuu
Na hao ndio wengi wa wale ambao wakisha haribu humu, wanazikimbia na kuzitupa hata ID zao kwasababu wamekuwa wanafiq zaidi ya tunavyo waona humu ndaniWanaomshukia mtoa mada nina uhakika hajaelewa mantiki husika ya mada yake,, ni miongoni mwa wanafiki wenyewe
Na hao ndio wengi wa wale ambao wakisha haribu humu, wanazikimbia na kuzitupa hata ID zao kwasababu wamekuwa wanafiq zaidi ya tunavyo waona humu ndani