lane
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 908
- 513
kwani wewe pia unazo?
yep, hizi hapa kifuani zinachomoza kwa mbali;
kwani wewe pia unazo?
ntakukaribisha darasani kwangu siku ya practical.
je unajua kuzitumia wewe..
solumeti hajambo besti?
Kuamsha hisia zikitekenywa ipasavyo.
Naam ila hayo ya mfano. Nataka yako ebo
hahahahaha una utani na mimi wewe,ngoja nimtafute photographer mzuri yakitoka vizuri ntakuletea
Itakuwa heri, maana kuna wengine wana bahati kama yule school mate wako aliyebata bahati ya kufungua ukurasa!!
tena kwa kuombwa..........Miye hata macho tu yapate faraja yake![]()
nimekushitukia:bowl::bowl::bowl:
Miye mtu mwema ujue, tena najali hofu na furaha zako. Uliza wenyeji hapa watakwambia.
Usiufanye usiku wangu ukawa jehanam, najua una moyo wenye nyama laini kama sufi.
Asnam Asnam, itika rabeeka moyo wangu upate afueni..................![]()
![]()
![]()
Na wewe unao mmoja?Kwa nini binadamu wana mkia mdogo? Kazi yake sijaijua.
rabeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeka.......... unalia nini thatha
Na wewe unao mmoja?
Mwitikio wako umefanya moyo ulipuke paaa halafu ukasimama kwa sekunde kama 5 hivi. Machozi yamekauka
ghafla, mtoto wewe kwa nini unauchemsha moyo wangu kama chungu kwenye jiko la kuni?
Sema neno moja tu lililo kwenye umbo la kopa nipate kulala kwa faraja.
Asnam Asnam mashallah una maneno kama mtoto wa Kidengereko, kiuno kama 'round about' ya Msimbazi,
.................kama Mlima Kitonga.
Nipe maneno niliyoomba mama.........
Hao ukiwaita hawatanifanya chochote nawajua kuanzia Kibumaye, Bunchari, Kimakorere, Remagwe, Nkende mpaka
Mogabiri.
Miye nipe lile neno nililoomba nitulie mamii....