Wewe unazo?
wewe unazo?:crying:
Sina. Wewe nasikia vya kwako kama papai bichi!! :target:
mbona ningejidai ningekuwa natembea na kaushi tu,ya kwangu kusimama hadi nikiinama kupiga deki.
Kumbe ni hayo, mbona mzuri tu, je ungekuwa kaukau kifuani!
Ila siamini tupia picha tuone (hata PM tafadhali)..miye Tomaso ujue
yako kama haya umeridhika thatha![]()
Zamani yalikua yanatumika kunyonyeshea watoto, sasa baada ya mgawanyo wa kazi mwanaume akapewa kazi ya kutafuta chakula na mwanamke anyonyeshe! Source: Theory of use and disuse
sijui hayo matumizi yanaitwaje....
najua kuonyesha kwa vitendo tu
kwani wewe pia unazo?
ntakukaribisha darasani kwangu siku ya practical.Tuelezee japo kiduchu
Kuna bibi mmoja hivi mitaa ya Upanga alikuwaga kichaa anaitwa Rabiya.
Ilikuwa ukimzingua anakutemea mate halafu anafunua gauni yake akupe radhi.
solumeti hajambo besti?Nahisi kama ntakua nakujua vile mitaa hiyo ilikuwa na kiduka kimoja cha muhindi pembeni na flats za nhc na karibu na shule ya msingi muhimbili, mie nlikuwa mtoto wa flats hizo na huyo bb namkumbuka sana daaah umenikumbusha enzi za sanvita looh ya black current na orange.
zinatumika kusafisha nyota.
Chu chu chuu
Zina kazi ndo mana zipo...wew huna/unazo?
Kwa nini binadamu wana mkia mdogo? Kazi yake sijaijua.