nitafundisha mimi, Tized anaandaa darasa tu ila mwalimu ni mimiMinataka unifundithe wewe, Tized mkaliii.
Napajua saaaana ww ni jirani yangu kabisa, hebu njoo utembee bwana siku moja, na yule bibi wa
kihindi bi Rabia bibi yake Nyani Ngabu ameshakufa kitamb
Kwa nini wanaume wana chuchu??
Viungo vyote tulivyo navyo vina kazi maalum,
lakini sijajua kwa nini men wawe na chuchu, nini kazi yake??
ha haaa, practical itatolewa kwa mtu mmoja tu, nitakuja naye, hili wala lisikuumize kichwa, endelea na maandalizi mengine, lol!
Boflo unamjua Rabiya?
ha haaa, practical itatolewa kwa mtu mmoja tu, nitakuja naye, hili wala lisikuumize kichwa, endelea na maandalizi mengine, lol!
Ila unaweza watangazia wanafunzi waje na partners kwa ajili ya practical, tutafanya kwa vitendo humo humo darasani, mimi nikionyesha mfano

he he heeee, utatoka kapa, bora kuja na mutu yako ili nawe ujifunze kwa vitendo, lol!Hahaaa, itakuwa bonge la training. I cant wait!!!!!!!! LoL!!
Mimi najitolea kujifunza so nitakuja alone, ntakuwa napita kila mahali na kwa kila couple kuangalia hizo demo ili ninote vyote. Japo hilo wenge lake naweza sisielewe kitu.
ha haaaa, wewe unatafuta nini hapa teja?Mtaalamu:whoo::whoo::whoo:
ha haaaa, wewe unatafuta nini hapa teja?
unataka kuungana nami kwenye hili darasa?
Good day 🙂🙂
asante sana rafiki....
niitie na mateja wengine basi tukatoe demo kwenye hii kozi
how did you know?Please proceed on your own, you don't need any assistance 🙂🙂
he he heeee, utatoka kapa, bora kuja na mutu yako ili nawe ujifunze kwa vitendo, lol!