Kwa nini wanaume wana chuchu?

Kwa nini wanaume wana chuchu?

Why Do Men Have Breasts, Nipples? - Yahoo! Voices - voices.yahoo.com
Men and women are practically the same except for a few sex chromosomes. The genetic code of humans is exactly the same until instruction for sexual development comes in. A female will get enough estrogen to trigger the full development of the breasts, while a man receives little of this hormone,which means the milk glands are not triggered.
labda tujiulize kwanini wanawake wana kidude kama penis?majibu hayo hayo
inakuaje vinatofautiana ukubwa kati ya mtu mmoja na je wenye tudogo zaidi au tukubwa zaidi inakuwaje mkuu hebu funguka kidogo:-*:-*
 
kaz ya chuchu ni kuongeza hisia lkn kulngana na evolution wanaume nao walikuaga wananynysha ktkana na theory ''KIUNGO KISICHOTUMIKA HUWA KINA-DISAPPEAR'' ndo maana matiti yakaondoka na zikabaki chuchu
 
Zina kazi nyingi kama inavyoonyesha kwenye picha......

images
images
images

Ila Naona sisi Mipingo hatujajua bado jinsi ya kuzitumia. Ila ukibadilisha jinsia, utajua kazi yake.
 
hahahahahaha huyo wa katikati anatafuta kansa tu
 
Zinasafishwa kwenye ACID hizo kabla hazijatumika na hivyo ni salama.

Unaweza kujaribu tu na wewe ukaona kama kuna shida........ Ahhhh kwenye masikio lakini:

BTW: Hujambo bibie? Umepotea kwa wiki nzima na ushee hivi ... Weekend njema.

Dah! Nia aje Mkuu Sikonge!? Haya mambo ya kujitoboatoboa kwenye chuchu, kitovuni na sehemu nyeti noma sana.

Zina kazi nyingi kama inavyoonyesha kwenye picha......

images
images
images

Ila Naona sisi Mipingo hatujajua bado jinsi ya kuzitumia. Ila ukibadilisha jinsia, utajua kazi yake.
 
Last edited by a moderator:
Zinasafishwa kwenye ACID hizo kabla hazijatumika na hivyo ni salama.

Unaweza kujaribu tu na wewe ukaona kama kuna shida........ Ahhhh kwenye masikio lakini:

BTW: Hujambo bibie? Umepotea kwa wiki nzima na ushee hivi ... Weekend njema.

mie nipo mpendwa,weekend njema pia.
 
Upate Bibie kajiwekea Mikufu na mwisho kafunga Kufuli la kikweli. Inabidi umuombe akupe funguo ili ufunge goli, hahahaaa..

Wadhungu kweli wana vituko yaani hadi wanatisha. Kuna mmoja nilishamuona na mivyuma mingi na nikamuuliza kama hadi huko chini kaweza, akasema "huko bado ila nafikiria....." nikamsepa.
Dah! Nia aje Mkuu Sikonge!? Haya mambo ya kujitoboatoboa kwenye chuchu, kitovuni na sehemu nyeti noma sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
lol! hahahaha! Wadhungu hawa!!! Wacha wende zao...bora uliamua kusepa. Wengine wamejitoboatoboa usoni hata kumuangalia uso unaona noma lol! hawaihurumii kabisa miili yao katoboa pua, lips ya chini na juu, ulimi, pembeni ya macho yote dah!!!!

Upate Bibie kajiwekea Mikufu na mwisho kafunga Kufuli la kikweli. Inabidi umuombe akupe funguo ili ufunge goli, hahahaaa..

Wadhungu kweli wana vituko yaani hadi wanatisha. Kuna mmoja nilishamuona na mivyuma mingi na nikamuuliza kama hadi huko chini kaweza, akasema "huko bado ila nafikiria....." nikamsepa.
 
Wanaume hadi Mashedede wanatoboa, Kudadadeki.

Kuna mmoja alilewa akaukata kabisa. Na kwa bahati mbaya hali ya hewa ilikuwa mbaya na kumsafrisha hospital kwenda kuunga ikawa kasheshe maana Helcopiter kwanza haikupatikana na ilivyopatikana wakashindwa kutua kwenye hospital na mwisho wakaenda kutua wilaya jirani na ndiyo wakamfikisha hospital. Hapo ilishapita masaa zaidi ya 11 tangu mshedede utengwe na mwili (umechinjwa bila kuombewa na Mkristo wala....). Basi tena, ndiyo alibaki na Kinusu Bamia.
lol! hahahaha! Wadhungu hawa!!! Wacha wende zao...bora uliamua kusepa. Wengine wamejitoboatoboa usoni hata kumuangalia uso unaona noma lol! hawaihurumii kabisa miili yao katoboa pua, lips ya chini na juu, ulimi, pembeni ya macho yote dah!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nalijua hilo Mkuu....lol!!! Siku moja nikanyaka sehemu sehemu mdada alikuwa anataka kutoboa nyetini basi akawa anauliza raha yake na hatari zake. Baadhi ya watoboaji wakamwambia wakitembea hako kachuma kanawapa raha sana wengine wakadai huweza hata kufika kutokana na msuguano wa mapaja nahako kachuma na wengine wakasema kama usipokuwa msafi wa hali ya juu basi unaweza kupata matatizo ya kiafya huko nyetini maana inabidi kiwe kinakisafisha kila mara ili kisilete maambukizi. Karaha yote hiyo ya nini!?

Wanaume hadi Mashedede wanatoboa, Kudadadeki.

Kuna mmoja alilewa akaukata kabisa. Na kwa bahati mbaya hali ya hewa ilikuwa mbaya na kumsafrisha hospital kwenda kuunga ikawa kasheshe maana Helcopiter kwanza haikupatikana na ilivyopatikana wakashindwa kutua kwenye hospital na mwisho wakaenda kutua wilaya jirani na ndiyo wakamfikisha hospital. Hapo ilishapita masaa zaidi ya 11 tangu mshedede utengwe na mwili (umechinjwa bila kuombewa na Mkristo wala....). Basi tena, ndiyo alibaki na Kinusu Bamia.
 
Kuna bibi mmoja hivi mitaa ya Upanga alikuwaga kichaa anaitwa Rabiya.

Ilikuwa ukimzingua anakutemea mate halafu anafunua gauni yake akupe radhi.

Duhh nyani ngabu umenikumbusha mbaliiiii!!!Rabiyaaa alikua kiboko jamani!ulikua unakaa upanga mtaa gani??nimekulia uko mie
 
Me nikinyonywa hizo chuchu mzuka unapanda pia yn hata bao 5 ntapiga
 
Ashiiiiiii!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom