Kwa nini waigizaji wa bongo hawa-do kweli yoo?

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Mi sio mpenzi sana wa filamu za bongo,lakini ikitokea siku nisipoiona dictionary yangu huwa naangalia filamu za bongo,sasa katika kuangalia hzi movie zetu kati ya movie zote nilizoangalia ikifika scene ya kufanya mapenzi huwa hamna chochote kinachoashiria kama wanafanya mapenzi kweli hapa mara nyingi huwa artificial,
na hawauvai uhusika halisi unaona kabisa kuwa hawa watu wanaigiza na kuwa hawapo real yoo..Hapo mpo kazini bana onesheni uhasilia,yoo
 
Kwani unadhani wale wa mbele wanafanya kweli...??!! We naweeeee....
 
Duh! Kuna filamu moja inaitwa Oprah walijitahidi! kuonesha uhalisia kiaina kwa Kanumba na Uwoya kufanya kam wana-do yale mambo yetu!
 
Mi sio mpenzi sana wa filamu za bongo,lakini ikitokea siku nisipoiona dictionary yangu huwa naangalia filamu za bongo,sasa katika kuangalia hzi movie zetu kati ya movie zote nilizoangalia ikifika scene ya kufanya mapenzi huwa hamna chochote kinachoashiria kama wanafanya mapenzi kweli hapa mara nyingi huwa artificial,
na hawauvai uhusika halisi unaona kabisa kuwa hawa watu wanaigiza na kuwa hawapo real yoo..Hapo mpo kazini bana onesheni uhasilia,yoo

hujamwona Irene Uwoya wewe..
 
unataka waduu halafu iweje kwanza huo moyo wa kuangalia huo uozo mnaouita bongo movie mnaupata wapi mi nadhani wanaangalia watoto wanaopenda maigizo. Nashut down
 
Back
Top Bottom