kwa nini wachaga wengi hawajui kuongea


let me start by saying,.."great talkers are great liars"
so nionavyo mimi ni kwamba wachagga ni wa kweli na huongea kitu wanachokiamini na walichokifanyia uchunguzi kwa mda.
ila watu wa pwani wengi wao ni waongeaji,niwaongo na wambea sana na hawafanyii jambo utafiti kabla ya kulisema.
 
huyu hamjamshtukia amezoea kutongozwa pwani sasa amekuja kukaa na wachaga hawajui hiyo kitu,ameongea kiutu uzima.
kaka kama hiyo kitu inawasha nakushauri urudi pwani kwa wachaga itachacha.
besa mbele meku.
 
kama umesoma kiswahili kuna ktu knaitwa lahaja yan dialect....Na hii husababshwa na factor moja kubwa ambayo n eneo au geographcal dfferenc....kwa hyo kutokana na tofaut ya kmaeneo kat ya wachaga na wa2 wa pwan hii imesababsha tofaut ya uzungumzaj yaan lafudh na hata misamiat
 
Me narudia kusema: ikipita siku mchaga hajatajwa hapa JF server itazimika? Tuacheni bwana, wajanja sisi, wasomi, washamba, matajiri na kila kadhia ni sisi wachaga tu? Ila ths means without wachaga JF na Tanzania kwa ujumla it means nothing eeh? Proudly chagga!
 
Asante mkuu sichangii tena, umeniwakilisha!
 

Wewe HUJUI KUANDIKA!!
Nikiweka yote uliyoandika pamoja naelewa kwamba ulitaka kusema kwamba ''WACHAGGA HAWAPENDI KUONGEA.'' na sio hawajui na watu wa Pwani wanajua kwasbabu wanaongea sana!!

Kuongea sana sio kujua kuongea bali ni kupenda/kuzoea kuongea sana.
Na kutokuongea sana sio kutokujua kuongea bali ni kutopenda/kutokua na mazoea ya kuongea sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…