sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
ndo mnaongea vidude gani hivi..!!?? Jukwaa la lugha hamlioni?Kwa ni nini?
ndo mnaongea vidude gani hivi..!!?? Jukwaa la lugha hamlioni?Kwa ni nini?
Gashi ukwibujaka nalijogori, nalyi munhu gete
Nalimhola nkoyi, kinehe ubhebhe.
ndo mnaongea vidude gani hivi..!!?? Jukwaa la lugha hamlioni?
Nimefanya kautafiti wangu, nikagundua kuwa Wachaga wengi wanapenda kujichanganya na Wasukuma kuliko makabila mengine ya Tz, Wachaga wengi wameoa/wameolewa na Wasukuma na pia wanashirikiana nao kibiashara.
Baada ya kutafakari sababu.... nimepata majibu yafuatayo:-
1- Wasukuma Wengi wana mali na ni Matajiri
2-Wasukuma ni waaminifu sana.
3-Wachaga ni wajanja na wana mbinu nyingi kuliko Wasukuma kwa hiyo inakuwa rahisi kwa Mchaga kupata faida
Wana JF ningeomba pia na nyinyi mawazo yenu, na kama mna sababu zaidi ya hizo....
thread yii ngaikunda msolo!!
Maybe because they are two of the larger tribes in the country ergo you are bound to get more unions between the two compared to other smaller tribes
Tunawapenda kwasababu na wenyewe wanatupenda.
Na wewe badili lako upendwe.
mi binafsi nawapenda wasichana wa kisukuma. ni wazuri, wanavutia, hawana kashfa za kitamaduni. Mzazi wala hahoji kwa nini umeoa msukuma, ila wengine...!
ahiii bhebhe naho!!!!!!!!!!!!!
Haswa, siko tayari kumpenda mtu ambaye yeye hanipendi. Nipe nikupe.
Gashi ukwibujaka nalijogori, nalyi munhu gete
Goshi mulibingi. Komejagi gete.
Bhakomeje ke lolo! kubalya a ba chaga nolo ke
Nmh; kongosho l wish ningekupa majina ya hao couple (by the way u might be one of the couple l know. LOL)
Wasukuma wapole (though ni vitom.i) na hiyo hufsnya wanawake kuwapanda! I am married to one, na shemeji yangu (Mdogo wa mume wangu) kaoa mchaga!
Asante sana Sikonge......................umenipa darasa zuri sanaUkitaka kula NGURUWE, chagua aliyenona.
Ndugu zangu Wasukuma, anzeni kutuiga sisi Wanyamwezi/Wadakama kwa kuowa Wazungu na Waarabu. Kama ngozi nyeupe, basi iwe Nyeupe.
Kama ni NOMA na iwe NOMA. Sasa Mchaga na M-Meru atanisaidia nini? Aniibie? Chukua Kitoto cha Kihindi hapo au Kichina.
Pia ninavyofahamu ni kuwa, pamoja na kuoleana, kuna UADUI mkubwa sana kati ya Wasukuma na Wachaga. Kuna kutokuelewana kukubwa kati ya Mwanza vs Moshi. Kama ulikuwa hujui, basi anza kufuatilia. Inawezekana ndiyo maana vijana wakiolea Uchagani, basi inabidi tu wahamie huko maana Usukumani wanakuwa wamevunja mwiko kama siyo UNGO.
Ahhh, mie nilijichukulia kitoto cha Kirangi na ninaishi nacho hapa Sikonge bila noma kabisa. Mwanzo nilitaka kuowa kibinti cha Kidenish kilichokuja kufanya kazi hapa Moravian Church hospital ila kikadai chenyewe kazi kwanza na maisha/mapenzi baadaye.
Vasukuma Vasukuma, mwatolilwe na Vachaga, hahahahaaaaa ......... Naja kwilima.
waambaja mshasha wakwathread yii ngaikunda msolo!!
Goshi mulibingi. Komejagi gete.