Kwa nini Wachaga Wanawapenda Wasukuma??

Nimefanya kautafiti wangu, nikagundua kuwa Wachaga wengi wanapenda kujichanganya na Wasukuma kuliko makabila mengine ya Tz, Wachaga wengi wameoa/wameolewa na Wasukuma na pia wanashirikiana nao kibiashara.
Baada ya kutafakari sababu.... nimepata majibu yafuatayo:-
1- Wasukuma Wengi wana mali na ni Matajiri
2-Wasukuma ni waaminifu sana.
3-Wachaga ni wajanja na wana mbinu nyingi kuliko Wasukuma kwa hiyo inakuwa rahisi kwa Mchaga kupata faida


Wana JF ningeomba pia na nyinyi mawazo yenu, na kama mna sababu zaidi ya hizo....
Kuna dogo kachukua bonge la mtoto wa Kichaga. Mtoto ana heshima, kwao wanazo, halafu ni wifey material fulani hivi zile za ukiwa down ana ku lift up, ukizubaa zubaa katika kutafuta pesa anakuchangamsha.

Yani naona definite change dogo baada ya kuoa kakua ana akili za kikubwa, wamejenga, wanaanzisha biashara etc.

Halafu bidada kwao sio kama wana shida, wana mkwanja wa haja na pedigree ya kutosha.

Kwa hiyo sikubali stereotypes zenu.
 
Back
Top Bottom