Kwa nini simu ya mume iogopwe kama ukoma?

Nilikuwa naumia sana na kuchukua muda mrefu sana kutofautiana na wewe na kujaribu kuelewa ni wanawake wa aina gani hao unaowaongelea? kumbe ni milupo. now i understand you what else can i expect from a person wqho deals with milupo. its so evident that mwanamke mwenye adabu yake, anayejitambua hawezi kufit description za wanawake unaopata wewe. you can only get milupo because they fit your characters,enjoy it while it lasts with your milupos.

umemisss target dear, !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

sijui your definition of he term mlipo, for me any socially accessible female (munan beings only) ni mlupo. unaweza kutembelea thread ya babra ya jana nimetoa mifano michache ya mademu wangu pale bongo halafu upime uzito............
 
naona sasa unaanza kunielewa!

unasema unadhani you are too brave mpaka unachukia ...... ni kweli ukiwa brave sana kwenye dunia ya malavidavi utakosa uhondo! kaupuuzi kidogo kanatakiwa pamoja na kaujinga kwa mbaaali, halafu unaweka akili yako tambarare yaani isiwe perpendicular (samahani wahandisi). kama ikitokea umeshtukia asali ya ulimi wangu, unajisemea kimoyomoyo, i wana gona crazy for this guy, too nice for me, hey...... ma doll you are alwayz late to pull me toward you, why, why why dear.............. i will soooner die for you....
halafu subiri usikie mziki wake, hata simu yake utasahau kuiperuzi!!!!!!!!
I think i now understand you. It seems you are a very loving man, na ukipenda unakuwa kama zezeta, ila deep inside you are not sure if that is normal, thts why unakuja kupiga soga za hivi hapa. i think kwako kama una mke au GF huongei kitu wewe.
 
hapo ni weli lakini inategemea. kama unafuata policy zangu sawasawa, mbona huwa nakufa kabisa!!!!!!!!!!!!!!! ila kama sikuamini vizuri hasa kama unanichunguzachunguza naweza hata nikawa nasukuma mzigo huku nimeshikilia simu yangu mkononi........ yes i desrve your mzigo, its mine na may phone is mine too.

kanuni zikizingatiwa, huwa nakuwa so nice kuliko kwa wamama kuliko wanaume woooote
 
Na vipi akiamua kutumia namba usiyoijua baada ya wewe kutopatikana?

Yale yale tu!

si unamwambia huyo hawara kuwa ukiona sipatikana ujue niko na wife na kuna nyingine unablock namba zote na kuruhusu chache unazozijua wachina walishayaona haya siku hizi akamatwi mtu na pia kuna ile ya kuzuia namba zote ila wewe ukipiga unazipata na pia kuna namba unasave jina la kiume na sauti una set ya kiume kama mkeo akipiga anakutana na sauti ya kiume anakata pia unaweza kuset sauti ya mtoto mdogo siku hizi ukikamatwa kwenye simu ujue umependa mwenyewe
 
Mateso yote hayo kisa nini? why be prisoner?
 
@Akili...pole sana unaonekana ni wale wanaume ambao wanafikra kuwa na uwezo wa kumpata kila mwanamke jidanganye ivoivo me never!! na wengine wengi tu!! Iam brave enough kujua wapi natakiwa niwe mjinga kwenye mapenzi i kno that too ndugu not brave kiasi cha kulimit starehe yangu!!

Actually u are the kind of men story zao huwa siwapendi near me toatally!! U real in the dark na hujaoa wew inaonyesha kabisa una mengi sana ya kujifunza!! Dunia itakufunza tu! Wengi kama wewe huwa hawapokei hata ushauri kwa wake zao so unakuwa huna limit kwenye mambo yako kwaiyo ni rahisi sana kuvuka mipaka and that wil b ya down fal!
 
Mateso yote hayo kisa nini? why be prisoner?

kama mtu ni hawara oriented hizo ndio mbinu za kulinda ndoa huku pembeni nako unakamua maana ukisema kuwa wote tuwe waaminifu ni ngumu mno na ku cheat kupo toka kabla ya YESU mpaka keshokutwa kutaendelea kuwepo
 
Kweli dada yangu. Huu mjadala watu wamejikita kwenye simu tu. Lakini ningependa kusikia wadau wakitema uzoefu wao kuhusu the powers of respected women hasa hasa pale wanapopewa nafasi ya kuwashauri waume zao kwenye ndoa. Hii pia ni muhimu kwenye mahusiano hata kabla ya ndoa. Ninayo mengi ya kuongea kuhusu hili (kwa uzoefu wangu) nitaliongea siku nyingine. Akili Kichwani anaweza kusema lolote lakini mimi nawaheshimu sana wanawake (lakini kwa wale wanaojiheshimu)!!
 
Hakuna mtu hapa anajaribu kusema kuwa watu wote wawe angels. Hilo haliwezekani. Tunalosema kuwa, kama mtu anataka ku-cheat basi afanye hivyo responsively. Siyo ule ujinga wa baadhi ya wanaume kupeleka hawara hadi nyumbani kwao.
 
Mateso yote hayo kisa nini? why be prisoner?

unauliza ya nini????????????

kwani hayo ya mwanume akitia mguu tu nyumbani hata kabla ya salam unakimbilia kukagua simu si mateso? mi naona hayo ya kuset simu ikajiendesha yenyewe automatcaly yana nafuu!!!!!!!!!

after all cheating inasababishwa na wanawake kushindwa kutosheleza mahitaji ya mwanume kama hatatafutiwa wa kusaidiana nae, pia uzoefu unaonyesha mwanmke wa nje ni mtamu zaidi kwani mwanume anamkontrol atakavyo wakati huku ndani mke ndiye anayejaribu kumkontrol mwanaume, mwanamke wa nje anakulilia, wa ndani anakufokea, wa nje mnabadilishana nae mawazo, wa ndani anataka ujibu maswali yake wa nje anashauri namna ya kupoteza mawazo, wa ndani anajishughulisha na kukuongezea mawazo, wa nje anajitahidi usahau matatizo japo kwa muda ili ulirelax, wa ndani anataka ukumbuke "wajibu" wako kila sekunde, ...........aaagrrrh........ nk.

sababu ziko nyingi tu dear..........badilikeni basi mtupe raha under one roof, nafikiri siku hiyo patanoga hapo home!!!!!!!!!
 
@Akili...pole sana unaonekana ni wale wanaume ambao wanafikra kuwa na uwezo wa kumpata kila mwanamke jidanganye ivoivo me never!! na wengine wengi tu!! Iam brave enough kujua wapi natakiwa niwe mjinga kwenye mapenzi i kno that too ndugu not brave kiasi cha kulimit starehe yangu!!

Actually u are the kind of men story zao huwa siwapendi near me toatally!! U real in the dark na hujaoa wew inaonyesha kabisa una mengi sana ya kujifunza!! Dunia itakufunza tu! Wengi kama wewe huwa hawapokei hata ushauri kwa wake zao so unakuwa huna limit kwenye mambo yako kwaiyo ni rahisi sana kuvuka mipaka and that wil b ya down fal!

hapo penye bold panadhihirisha sasa tunaelewana vizuri, ndio maana mi ni mpinzani no 1 wa sera za beijing. lazima mwanamke awe "mjinga" kidogo at least kitandani, sasa wanawake wasio na hekima hung'ang'ania tuneno tudogotudogo hadi wanawakera waume zao na mwisho wa siku ni kuharibu starehe zenu wote wawili. ukishavurunda unageuzia hasira zako kwenye simu.

kuhusu uwezo wa kuwapata wanawake, huo sina shaka nao hata kidogo. ukishajua kuwa mwanake ni kiumbe cha aina gani basi umemaliza kazi. ...... mimi hainipi shida. nilishawahi kuwakutanisha wasichana wawili amabao wote nilikuwa nawachukua lion hotel sinza ili kumaliza uhasama na kila mmoja alijua nimemuacha mwenzi naendelea na yyeye na mwisho wa siku wte waliendelea na "kandarasi" zao kwa amani na utulivu

ishu ni kujua akili ya wanawake inalalia wapi na inaamkia wapi, utawabadili utakavyo..................ni nature tu jamani wala so ujinga, kbla sijafika huku nliamni kuwa tatizo ni akili ya kifrika lakini na huku nimekita hayohayo!
 
Kweli dada yangu. Huu mjadala watu wamejikita kwenye simu tu. Lakini ningependa kusikia wadau wakitema uzoefu wao kuhusu the powers of respected women hasa hasa pale wanapopewa nafasi ya kuwashauri waume zao kwenye ndoa. Hii pia ni muhimu kwenye mahusiano hata kabla ya ndoa. Ninayo mengi ya kuongea kuhusu hili (kwa uzoefu wangu) nitaliongea siku nyingine. Akili Kichwani anaweza kusema lolote lakini mimi nawaheshimu sana wanawake (lakini kwa wale wanaojiheshimu)!!

nani kakuambia siwaaheshimu wanawake, au heshima gni uayozungumsia?

mi nazungumza fact. dunia ndiyo ilivyo msipotia akili kichwani, mtang'ang'ana na kupekua simu za wenzi wenu weeeeeeeeeee kumbe mambo iko kwingine na inaendelea................tena inaendelea sawa kabisa........

tena we DC unaweza kukuta mke wako anajifanya kukuamini kwa kuwa anapekua simu yako apendavyo kumbe mambo yoooote haitumii simu!!!!!!! yuko na ntu isiyo na simu..................inatuma nt0to ianaleta kanoti au anamsubiri njiani........!!!!!! kalaghabaho!!!
 
Yeah simu yangu kwa nn mtu aanze kuimendea mate na kutaka kujua kilichopo ndani? Kwani mm ya kwake nachungulia chochote?
 
Back
Top Bottom