Kwa nini simu ya mume iogopwe kama ukoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini simu ya mume iogopwe kama ukoma?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Dark City, Jan 28, 2010.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Siku yangu ya leo imeharibiwa na story mbili kutoka kwa FL1 na Babra ambazo zote zinahusisha simu ya mkononi. Nimekwazika sana kwa hivyo vitendo vya hao wanaume. Kwa hiyo nimeonelea niandike kidogo kuhusu uzoefu wangu kuhusu tunavyotumia simu zetu (mimi na wife), labda inaweza kutusaidia sisi kwa kupewa ushauri na wadau au kusaidia wengine.

  Kwangu na mama watoto (my wife wangu), simu zina mwenyewe kwa maana ya kutumia kwa wakati huo na pia kwa kuangalia nani aliichagua wakati inanunuliwa. Vinginevyo nina uhuru wa kuigusa na kutumia simu yake 24/7 naye pia anashika na kutumia simu yangu wakati wowote. Watu wote kwenye address book zetu wameingizwa kwa majina yao. Mimi nime-save jina la mke wangu kwa kuatnguliza "my sweety wife....". Pia mimi kanipa jina la "my darling husband". Mke wangu anatabia ya kufuta call records au sms lakini mara nyingi namwambia kuwa siyo vizuri kufuta zote kwani inaweza kuleta mashaka yasiyo na sababu. Kwa ujumla sijawahi kupata shida kuhusu simu yake naye hajawahi kuwa na tatizo na simu yangu pia. Kwa hiyo naamini wanaoficha/wanaoweka vikwazo (embargo) kuhusu simu zao hawajiamini kwenye suala la uaminifu katika ndoa/mahusiano. Vinginevyo sisi ndio hatujui maana ya hicho kitu kinachoitwa privacy kwenye simu ya mkononi.
   
 2. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks dark city!! U did exactly what i wanted to do yest after goin thru the threads u mentioned!
  Yani mie pia nimekasirika sana na kuhhuzunika juu ya mawazo ya wanaume na wanawake juu ya simu! Iam tellin u, niko free na simu ya mume wangu kama kwenda ******! Na yeye pia japo yeye mara chache sana anachukua simu yangu but izo mara chache zinampa moyo kuwa na amani kiasi anakuwa hana muda nayo..mie kwa kweli ninapenda tu kuangalia sometime hata vitu vingine alivosahau kuniambia vya muhimu vilivyojiri siku iyo navikuta na inasaidia, kujihamishia vocha! Imefika mahali anakuwa na wasiwasi wa vocha zake nikishika cm yk lakini si kukosa amani kwa ajili ya chochote kilichomo!

  Hii imenifanya kuwa free kiasi kwamba sometime zinapita siku kadhaa siku izi sijaigusa! but he knows at any time T! Naweza chukua nikacheza game! Nikapeluzi etc! Inashangaza wanaume kusema 'akome kwanin aligusa cm ya mumewe' au mke wangu hathubutu!' lol! Na wanawake eti mi nimejiwekea utaratibu wa kutogusa simu ya mume wangu?!?! wtf!! Yaani kwamba eti naogopa ugonjwa wa moyo kwann muwawekee utaratibu waume zenu nidhamu za kipumbavu za kuwaruhusu waende nje??

  Kwann watu wanataka kuhararisha mwanaume kuwa na nyumba ndogo??? For Gods sake iyo kitu is forbidden in marriage muelewe ivo?!
  So mtu akifanya afanye jitihada ajifiche huko na ufirauni wake!.. Kwann umuache anajua kabisa unaogopa kugusa sm yake kwa kuogopa ugonjwa wa moyo!! No ways...

  Wanawake simameni na kuacha kutumika kama bidhaa kwenye nyumba zenu haaa!! Mtu awe tu hana muda na simu ya mwenzie lakini si kwa kuhofia utachokutana nacho!! Nasema ivi kwakuwa majority wanaofanya ivi washakutana na kshkash na kwaiyo ni given tu kwamba my man is havin an affair..na si yeye anayefanya jitihada kujificha but wewe pia unamsaidia kuficha??? Heee!! Kweli wanaume wengine bado wanaishi 40's...kweusi! Huu ni ushamba! Ulokithiri kumdhalilisha mkeo/mumeo namnaa iyo?
  Hii pia ni kwa wanawake wanaozuia cm zao waume zao wasiguse kwa sbb tu ya kuwa affair nje!!
  Umeamua kutoka nje then u should suffer na yote yanayoambatana nayo ikiwemo kufanya top secret yako unaiendesha kwa usiri mkubwa pia!! No free lunch pliz! na kumuacha mwenzio na uhuru wake juu yako kwa kila jambo!
  Then sorry for the long post!! I need a drink now lol...
   
 3. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2010
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hahahaha..please drink my dear! You have sent a great post.
   
 4. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tena @dark c..ungeipa headin tofauti hii thread yako mana kuna thread kama hii kama sikosei huko nyuma sikufanikiwa kuisoma nitaitafuta nione itakuwa comment ni kama tulizozikuta juu ya cm jana!! Yani upuuzi tu.. Sasa hii watu watakuwa wazito kufungua wakizani ni ile! Anyway sijui exactly kama kuedit headin inawezekana! Unaweza ipa headin 'this is totaly crap! Or nyingine yoyote utayofikiri.. Mawazo yangu tu lakini...mana i feel pple should read this Na kuona watu wengine wanawaza tofauti!!
   
 5. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Zamani style ilikuwa wake wengi kuolewa na mwanaume mmoja sasa hivi muelekeo ni ndio hizo nyumba ndogo style. Kiuwiano idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume na hao wanawake wasio na wanaume waponee wapi?
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Ahsnte sana dadangu. Kwanza nilihisi woga kidogo kwa kudhani kuwa labda sisi tuko peke yetu (mimi na wife wangu) na pia tuko miaka ile ya 47, kwa kuwa hatupeani privacy kwenye simu. Nimefurahi sana kwamba na wewe ni mdau wa "free trade zone", kwenye haya mambo ya mahusiano. Na ni kweli, naogopa zaidi mke wangu kumaliza pesa zangu kwenye simu kuliko kuona siri zangu kwani sina siri yoyote ya kuficha. Nawaomba wanawake waache upuuzi wa kuwavimbisha vichwa waume zao. Ni afadhali tuwe na couples 2 au 3 zinazoishi kwa amani kuliko kuwa na 100 zinazoishi kwenye tanuru la moto. Huwa natamani ningeweza kuwaoa dada zangu ili wasipate taabu. Unfortunately haiwezekani. Hata hivyo inaniuma kuona wanadhalilishwa na hao insecure men kwa kisingizio cha kulinda ndoa!
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na wana HAMU kweli japo KAMOJA tu.............
   
 8. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Thanks, thanks, thanks amillion times. at least there is a person who thinks like me. Simu ya mume wangu naishika saa yoyote ninayojisikia, na yeye nimempa go ahead kushika yangu anytime, ila anajidai yuko reserved hataki kushika yangu though naamini huwa anaipekua kiaina. Mimi nasema kwa hili sitaacha ntapekua kila siku, kwa kufanya hivyo i have managed kuzuia vimazoea anavoanza kujenga ambavyo vinaweza kuishia kwenye affair.
   
 9. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Free access ya simu ya mwenza haimzuii kuwa na affair kama ni tabia yake au ameamua kufanya hivyo. In fact, inaweza ikakupa false hopes kwamba ni mwaminifu mpaka pale 'kinga ikianza kupungua'! Hizi simu zimeanza kuwa readily available kwa watu wengi juzi juzi tu (around mwaka 2000). Je kabla ya hapo watu walikuwa hawafanyi zinaa?

  Mafisadi wa ngono anaweza kuwa na line/simu zaidi ya moja (nyingine zinafichwa kwenye mikoba/wallet au hata magari kwa matumizi maalumu kwa wakati maalumu). Hiyo ambayo unadhani anakupa access anajua 'haina kitu'.
   
 10. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa mfano: Wewe ni mwanaume, unapata sms kutoka kwa rafiki ako wa karibu kua rafikiako mwingine wa karibu ni shoga, au drug dealer. wanawake hawajui kukaa na vitu moyoni. lazima atakiongea tu, na hata asipoongea atakua anamuangalia huyo rafikiako kwa kijicho flani hivi. Hamuoni kua utakua hujamtendea haki huyo rafikiako kwa kuruhusu uvumi kuhusu yeye uvuje kupitia wewe? Simu ni kitu very personal. Haimaanishi kua kisa nimeoa sina privacy. Ni kweli kua kila unachokijua wewe lazima mumeo/mkeo ajue? Hata siri za marafiki zako ambao wanakutumia sms? Sioni Logic ya kung'ang'ania simu za wapenzi wetu coz mtu akiamua kufanya ufisadi, simu inatumika inteligently.
   
 11. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nyie furahisheni baraza tu, simu ya mwanume lazima iogopwe tena kuliko hata ukoma wenyewe!!!!!!!!!

  wakati wa xmass kuna jamaa yetu mmoja alirudi tz kidogo kwa sikukuu na mtz mmoja tunayesoma nae chuo kimoja huku majuu alimpa zawadi ya simu nguo na viatu kwa ajili ya mkewe na watoto wake. sasa ishu ikawa mkewe katoka kupekua simu aliyotumiwa zawadi akakuta baadhi ya namba ambazo hazijui, nyingine za tz na nyingine za nchi nyingine kwani mume alikuwa akiitumia simu hiyo kabla hajaaamua kumtumia mkewe,

  mke akaanza kujinafasi kupiga simu moja baada ya nyingine, kila simu iliyopokelewa na mwanamke anafurumusha matusi ya nguoni....malaya wewe, ukome kutembea na mume wangu, tafuta wako....... etc. masikini kumbe baadhi ni watu wanaoheshimana sana na huyu nroda. muda si mrefu mama akaanza kumgeukia na mkwara mumewe,....aaa mimi navumilia kumbe hela yote unakula na malaya...... sitaki tena mawasiliano na wewe......n.k.

  fkiri tangu xmass hadi leo hawajapatana, ishu ilishasambaa hadi kwa ndugu na wazazi wao, jamaa kwa aibu aliyopewa na mkewe bila sababu anatafakari talaka!!!!

  sasa huyu mwanamke ana akili kweli??? naye aruhusiwe kupekua simu???

  mimi hakyanani demu nikute limegusa simu yangu, litajuta kunifahamu!!
   
 12. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  And iam telling u carmel! Kuna muda wanaangalia! Na mie huwa anajifanya hana time, lakini kuna wakati tukikwazana anachukua anakaa nayo! Then anaridhika mwenyewe maudhi ktk ndoa yapo sasa kubebeshana mizigo kuwekeana mipaka ni kuongeza karaha zisizo za lazima! Alafu mie naedelea kuwa free nayo kwa sbb anaweza akawahana time na yako ili na we uache!
  But iam glad kwetu hilo halipo kbs!

  Mi mwenyewe huwa najiona niko huru sana na sm yangu mpk naona siku nikiamua kucheat nitakuwa free sana but iam glad nimejiwekea mipaka! Mnaosema anaweza akafanya bila cm hatukatai! Afanye tu kama ni kuwa na mizigo ya simu kumi it give u piece go ahead! Fanya jitihada kugharamia uharamia wako! Iam telling u ni kazi sana kuishi na siri siri..so endelea kuishi na huo moto wa cm kumi! Hiding them! Lookn kama mbeba mizg busy all the time na surual yako inajishika kwenye mapaja..hahahaaa.. Mana wengi washika bidhaa nying mkonon wanaluk hivo!! while iam enjoying my freedom!
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Safi sana. Pekua tu ili upate amani. Starehe ni gharama. Kama mtu anataka kutesa na wanawake kibao basi awe tayari kugharimia hiyo kitu badala ya kumtumia mke wake kama ngazi. Mimi naamini vitu vilivyoko home ni vyenu wote na simu haina exception. Tusihalalishe upuuzi huu wa simu, tena ambazo wengine tumeanza kuzitumia juzi tu!
   
 14. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  @Dark c...kaka yangu..umenifurahisha sana, bora kuwa na ndoa kumi zilizo bora!! And iam happy for u!! To u guys mnaosema wanawake wengi...n'ways nimecheka eti wanataka hata kamoja'...poa kama wewe unaona wewe ndo uliletwa duniani kuwakomboa..na moyo wako unaona ni sawa..ok go ahead doin ya thin bro....but take trouble to hide ya thing! Si kumnyanyapaa mkeo asishike simu yako!! Na ukweli siku moja utajulikana utajua jinsi ya kujipanga na kuyamaliza na mkeo kama vile ambavyo ata kwenye sm kuna siku itajulikana hata ukizuia isiguswe!
   
 15. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Hizo ndizo homework na gharama ambazo mtu mhuni anatakiwa azilipe. Kwa kufanya hivyo angalau anafanya uhuni wake kwa siri badala ya kutumia mabavu kumzuia mke wake kugusa simu.
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Binadamu sio mbuzi?
  Affair maana yake mtu kashajenga kibanda!
  What about hit and run!! will you learn that from the phone?
  Issue sio kuwa huru na simu, issue ni uhuru huo unautumiaje?
  Do you want to know everybody in my phone book? men/women? why?
  Do you want to know who called, who beeped, who I called and what we talked?

  WHY? hapo tu!!
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  si ndi nia yake akufurahishe?

  mtaishia kufurahi tu na kuliwa mnaliwa kila siku. msipobadili tabia zenu, nyumba ndogo haziishi ng'o!!!!!!!!!!!!!!

  habari ndo hiyo
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkuu, jambo usilojua haliwezi kukuumiza hata siku moja. Just think,.... what would have happened if hearts were transparent?
   
 19. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  poleni sana na kuwa bize na simu za wanume zenu, ila nawaonhya, mkikutana na moto huko siku moja, mnaufyata kama kawa, mkichonga tu vidomo stereo vyenu, yanawakuta kama yale aliyosimulia babra jana.................

  habari ndiyo hiyo!
   
 20. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Akili Kichwani,

  Naamini hata wewe unaandika kufurahisha baraza. Vinginevyo utueleze kuwa huna mama, dada wala mchumba!
   
Loading...