Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 684
Sasa kumbe hujamaliza skuli? Sasa akistaafu kabla wewe hujawa na PhD nani atawafundisha wadogo zako? Au simply, nani atakufundisha wewe? Lazima vacancy ijazwe na mtu mwenye sifa, siyo mtu anayetafuta sifa... hivi vibabu visipopumzika siye makinda tukimaliza skuli tutafanya kazi wapi?