Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,070
kwani wazee wanaposema watoto wa siku hizi wameharibika unafikiri wana assume its less then 50%-kibongobongo siku zote mara nyingi research ni inconclusiveKwanini tu-assume ni 60% na sio 17% au 30%?
Maana kama ku-assume tu, wapo wanaoassume wao ni Mungu lakini haimaanishi hilo au karibu na hilo even
Katika nadharia za logic, huwezi kuja na conclusion based on assumptions. What if it's not 60%?
Ndio yaleyale ya jamaa wa Leo Tena aloona baadhi ya Watanzania gays Ulaya aka-assume ni 85%