Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Poor you! Pengine wazazi wako wako huko kintinku wewe unatambia ukweni.

Atambeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
Kaolewa Dada yake, kaja likizo na Mapicha ya Ulaya ndo anajitia yeye katoka MaMbele.
 
Huu ni upepo naamini utapita. Ulaya/Amerika unayoishi haifundishi Kiingereza wala haikuzi kiswahili. Bila kuficha uchambuzi wako umeniboa kwani hauna nyama.
 
Leo nakaa hapa pembeni, sitii neno kabisa:
Mleta mada ana mantiki na wateteaji wana mantiki pia.
 
Wanawake wa Tandale utawajua tu, Anyways, MADAME B, MALKIA KHADIJA KOPA kwangu mimi ni bora niwe na huyo mbibi wa kizungu kuliko kuwa nyie kuku wa kienyeji ambao mnaishi huko Tandale kusiko kuwa na maji ya kuoga...

Mkuu,
Sikutaka kuchangia lakini umenigusa kwa bandiko hili.

Ulichokisema ni ubaguzi na kujikweza. Kumbe katika maelezo yote haya unachokitaka ni mwanamke kutoka maeneo ya kitajiri. Ndiyo maana kwako ukaona mzungu ndiyo tajiri na anakufaa. Heri yako unayetoka kwa matajiri. Afterall, what's Utajiri?. Kwa hili nakuona kama unasumbuliwa na psychology.

Mara nyingi katika argument, true colour ya mtu huwa inajitokeza kama ulivyofanya kwa sasa bila kufahamu.

Ujumbe umefika vizuri.
 
Leo nakaa hapa pembeni, sitii neno kabisa:
Mleta mada ana mantiki na wateteaji wana mantiki pia.

mhhh embu weka hizo mantiki zake mi sijaziona atiii.
Kuuliza si ujinga
 
No need to shout, we hear you just fine

Kwa hiyo wanawake wa Kiafrika ndo wanasifa hizo ulizotaja; ni wote au baadhi yao tu?
LETS assume its 60%-rounding up this figure empirically sums up the whole lot
 
hamna mashiko hapa, kweli umaskini wa fikra wa mtz ni kurithi/
 
LETS assume its 60%-rounding up this figure empirically sums up the whole lot

Kwanini tu-assume ni 60% na sio 17% au 30%?

Maana kama ku-assume tu, wapo wanaoassume wao ni Mungu lakini haimaanishi hilo au karibu na hilo even

Katika nadharia za logic, huwezi kuja na conclusion based on assumptions. What if it's not 60%?

Ndio yaleyale ya jamaa wa Leo Tena aloona baadhi ya Watanzania gays Ulaya aka-assume ni 85%
 
Leo nakaa hapa pembeni, sitii neno kabisa:
Mleta mada ana mantiki na wateteaji wana mantiki pia.

Mbaya wewe! Yaani umemuitia timu ya madada wa kiafrika halafu unakaa pembeni?
 
Once upon a time there was a free for all freefall Friday for shallow shindigs and shady shenanigans.

Nowadays, its always Friday!
 
bora kuolewa na kirikuu, kuna wanaume wanasinyaaaaa! dhana za kidada!
 
huyu zungu pori la kiume hana mashiko kiukwe. Ajiandae kuwapeleka mambwa for walks jioni.
 
Bora niwe na huyu kuliko kuwa na wewe unayetoka Tandale, maji yanatoka kwa wiki mara mbili,
 
Back
Top Bottom