simu ni privacy mtu na ndomana kila mtu anamiliki simu yake,

Sisi twaweka meza moja ila ikipigwa ya wife siwezi kuangalia hata anayempigia ni nani endapo hata hayupo.
Simu ni private, lakini kwa wapendanao hakuna haja ya kuficha ama kuwekeana mipaka. Ila kama inawezekana si vizuri kuchukua simu ya mwenzio kwa ajili ya kuichunguza. Uaminifu katika mapenzi ni jambo jema sana inapendeza kila mmoja kuwa kwa mwenzake badala ya kuwa na mashaka. mashaka huletwa na mienendo

Uaminifu katika mahusiano huimarishwa na uwazi.
Kama simu inafichwa fichwa, uwazi uko wapi hapo? Haupo!
Na kwa nini ifichwe fichwe? Ina nini ndani yake?
Kwa nini wewe mwanandoa
ufiche fiche simu yako na kukataza partner wako asiwe na uhuru nayo kama
hakuna uchafu tena mkubwa unaoficha na unaona ni haki yako kuuendeleza
ili michepuko ione iko huru na unaijali zaidi na huyo mwenzio si
chochote cha kukuzuia. Ole !
ndo maana kila mtu ana sim yake na siku zote unavhotafta kwenye sim ya mti kimo! sasa dhujudia uzimie
Afichaye simu ana la kuficha!