BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 576
Kwa nini wewe mwanandoa ufiche fiche simu yako na kukataza partner wako asiwe na uhuru nayo kama hakuna uchafu tena mkubwa unaoficha na unaona ni haki yako kuuendeleza ili michepuko ione iko huru na unaijali zaidi na huyo mwenzio si chochote cha kukuzuia. Ole
uaminifu hauko kwenye simu anaweza kukupa hata 24/7 ukae na simu yake lkn kama amedhamiria kuchepuka atafanya tu .. uaminifu na imani ndo vinatakiwa . na ukishaanza kuwa na hamu ya kuichunguza au kupekuwa simu ya mwenza na chanzo cha mpasuko wa ndoa