Kwa nini Mpesa hawajaweka sytem ya kuweza kulipia kwenye app za google play?

Kwa Airtel unatumia salio la kawaida au mpk utengeneze MasterCard?
 
Mbona poa tuu...mpesa....airtime...tyr
 
Vipi naweza kulipia Netflix kupitia MPesa mastercard?

My VISA card ya bank xxxx ime expire na subscrption ya netflix imeisha, ila sitaki tena kutumia credentials nyeti za bank yangu mama kwenye malipo ya kimtandao( naogopa wajanja wengi)

so nataka niwe na njia mbadala wa kulipia Netflix bila kutumia my main VISA card, msaada tafadhali
 
Ingia Menu ya Mpesa then Lipa kwa Mpesa then chagua Mpesa Mastercard.
Hapo uta tengeneza card yako utapewa details kwa SMS. Kisha unatikiwa huhamisha hela unayotaka kulipia kutoka Mpesa kwenye kwenye hyo card kupitia menu hyo hyo Mpesa Mastercard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…