Kwa nini Mpesa hawajaweka sytem ya kuweza kulipia kwenye app za google play?

Mm natumia ya Airtel tu maana ni Airtel Money directly. Pia Mpesa Mastercard kuna baadhi ya sehem inakataliwa sababu zipo registered kma Virtual Cards na sio Debit Card halisi kma Airtel Money Mastercard. Kwa mfano huwezi tumia Mpesa Mastercard kulipia Google Play Developer account lakini ya Airtel unaweza.
Kwa Airtel unatumia salio la kawaida au mpk utengeneze MasterCard?
 
Mbona poa tuu...mpesa....airtime...tyr
Ukiachana na Mastercard Voda wanakuruhusu kulipia Playstore kwa kutumia salio la kawaida (hii njia sio nzuri kabisa).

Ila Aritel ndio wanatumia Airtel Money kwenye Google Playstore directly. Ndio nnayo tumia mimi
Kuna Tigopesa pia. Ya Voda ndio ya kijinga sababu inakuataka uweke salio kwenye line na sio Mpesa directly.
View attachment 1825873
 
Vipi naweza kulipia Netflix kupitia MPesa mastercard?

My VISA card ya bank xxxx ime expire na subscrption ya netflix imeisha, ila sitaki tena kutumia credentials nyeti za bank yangu mama kwenye malipo ya kimtandao( naogopa wajanja wengi)

so nataka niwe na njia mbadala wa kulipia Netflix bila kutumia my main VISA card, msaada tafadhali
 
Ingia Menu ya Mpesa then Lipa kwa Mpesa then chagua Mpesa Mastercard.
Hapo uta tengeneza card yako utapewa details kwa SMS. Kisha unatikiwa huhamisha hela unayotaka kulipia kutoka Mpesa kwenye kwenye hyo card kupitia menu hyo hyo Mpesa Mastercard
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom