Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,915
- 2,797
hehehe maskini jeuri bana. sasa jamaa anapokea tuzo halaf unasema mimba yake ilitolewa, huu utakuwa ni muujiza kuliko wa kuzaliwa kwa yesu! khaaa!Baba zao waliingia mitini kitambo na wengine kutoa mimba zao ndo maana
Nimebandika hivi baada ya kuona kupitia runinga, tunzo za kili. Wasanii waliopata tunzo walitoa shukrani zao bila kumsahau mama. Hakuna hata mmoja aliyewashukuru wazazi (baba akiwepo). Au ndio mfumo jike? Hii inaanza kutia hofu. Wapi nafasi ya baba katika mafanikio ya kijana?

TP ndio nini mkuu?
Ni Tapeli