Kwa nini mama tu? Wapi baba?

Nimebandika hivi baada ya kuona kupitia runinga, tunzo za kili. Wasanii waliopata tunzo walitoa shukrani zao bila kumsahau mama. Hakuna hata mmoja aliyewashukuru wazazi (baba akiwepo). Au ndio mfumo jike? Hii inaanza kutia hofu. Wapi nafasi ya baba katika mafanikio ya kijana?
Umemnena hata mimi niliuliza kama wewe sikupata jibu. maana kila mtu namshuru mama yangu.......... hakuna aliyesema baba!!
 
Back
Top Bottom