AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
- Thread starter
- #81
Nakumbuka nilikuwa natafuta unlock code ya nokia yangu then google ikanipa link ya jf ambayo niliweza kupata solution ila kilichosababisha nijiunge nilikuta mtu anataka support ya serial number fulani ambazo nilikuwa nazo hivyo nilifanya registration ili kuweka post yangu na uzuri wa jf ni kuwa ukijisahau kidogo lazima upate mail. siku hizi lazima nifike humu daily... i love jf!
Never give up like your name indicates... hio ilikufanya uwe member... inapendeza....
Thank you for sharing...:A S-rose: