Kwanini JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini JF?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by AshaDii, May 31, 2011.

 1. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]Habari wana JF woote na familia yoote ya MMU….[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]Nina exactly 46 days toka nisikie kuhusu Jamii Forums na 45 days toka nijiunge …. Kila siku inapopita nafurahia na kuappreciate uamuzi wangu wa kuamua kujiunga katika JF na kua mmoja wa GT.. Nimepata marafiki wengi, Chat mates, PM mates, admirers na non admires, Knowledge katika kila sphere kama habari, urafiki, mapenzi, utani, elimu, sheria, siasa, entertainment e.t.c. And most importantly nimepata exposure kubwa saana in a lot of things….[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT][FONT=&quot]Sababu kubwa ilinifanya kujiunga ni baada ya kusikia mmoja wa viongozi wetu akilalamika kua Jamii Forums ina chafua na kuharibu image ya serkali as well as Chama cha magamba…. (Namshukuru Mungu kila siku kwa huyo Leader kuipromote mpaka nikasikia) Hio ilinipush ni google kutaka nijue ni kitu gani, then nikaenda moja kwa moja kwenye International forum ambapo nilikutana na thread ambayo nilitaka saana nichangie sababu nilikua against na mtu alokua ametuma hio Thread (in fact alikua Rutashubanyuma) who ironically turned out to be one of my friends sasa… I had to register hapo hapo!
  [/FONT]
  [FONT=&quot]From that moment kila kitu kilifuata mkondo hadi when I found my home in MMU a week later… Cha ajabu kilichonifanya nijiunge sio kinachonifanya nibaki saizi…. Napenda every fun and activity I do while in JF, napenda watu behind the Avatars na above the Signatures, napenda the challenges I meet (ndo maana siasa hua nakimbia…), napenda kua watu wako huru kujiexpress regardless of age or gender, napenda kua kuna variety of topics and forums, Hio ikisukumwa na watu ninaowasiliana nao na kubadilishan mawazo katika uzi mbali mbali….[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT][FONT=&quot]Naamini kila mmoja ana sababu tofauti ingawa nyingine zaweza fanana.. wewe kama member wa JF naomba mchango na mawazo yako ni kwanini au nani alikusukuma na kukushawishi uweze kua moja wa member wa JF ukitaka/kubali kua GT…[/FONT]

  [FONT=&quot]Asha D.[/FONT]
  [FONT=&quot]Pamoja Sana.[/FONT]
   
 2. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  maelezo yako mazuri..lakini bila shaka hiyo heading yako inahitaji majibu! siku zote critical thinking ni mwiba kwa wachakachuaji
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I don't know kama hukumaliza kusoma au lah! maelezo ya juu ni sababu zangu...
  nimeona ni highlight swali langu kwa hio rangi ya beige ili walau uweze ona...s.fm hope umeridhika...
  Hivyo heading iko in support na paragraph yangu ya mwisho... inanifanya niwe na wasi kama kweli you have read...
   
 4. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mimi nilisukumwa baada ya kusikia sana kwa marafiki, nikaamua si mbaya kujiunga na kujionea mwenyewe kwa kweli nilifurahi sana ni mahali penye uhuru wa kutosha wa kuchangia na kujieleza na zaidi mimi naichukia serikali hivyo nilidhani ni vizuri kujua madudu yake zaidi na kutoa michango yangu kuliko kujinyamazia. kwa kweli naipenda jf every forum looks good for me. na zaidi napenda challenge za wanajf katika topic mbalimbali.
   
 5. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mimi kikubwa kilichonifanya nijiunge ni baada ya kuona jinsi watu walivyopewa uhuru wa kutoa maoni yao.
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hahahahahaaaa AshaD, nashukuru sana kusikia ni namna gani uliingia hapa, hii inanikumbusha mie pia kuna mahala hua tunakutana na marafiki zangu mara kwa mara, Mie mabest wangu wengi ni wanaume, kwa hiyo nikawa nawasikia kila siku wakiongelea JF, mie nikawaambia siwezi kabisa habari ya kusurf kwenye mablog na ma forum kila siku, na kumbuka hapo tukikutana wanaitana majina yao ya ID za humu.Hii imenifanya nikiingia humu nawajua wote na huwa nafurahia sana michango yao.

  Mmoja akaniambia nijiunge akanambia ukijiunga utakuwa addicted hasa MMU, nikamkatalia,akanipa modem ya bure nilipofika home nika google kama kawaida nikaingia.tokea hapo nimekuwa sibanduki kabisa na sikuwaambia mpaka walipo guess ila still sijawahakikishia ID yangu. JF imenipa marafiki wa kila aina.Sijajutia kujiunga kila siku mpya inapoingia huwa kuna jipya na hii inafanya siku iende vizuri
  Ahsante kwa kunikumbushia
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Wakati ule nikiwa bado nakubali kuitwa Babu DC, nilioteshwa kuwa kuna uwanja mzuuri sana unaitwa JF....Nilipofika kwenye hiyo kitu nikakutaa actually kuna viwanja vingi....Baada ya kuranda randa huku na kule nikagota kwenye kimojawapo....

  Kwa sasa niko kama addict wa hii kitu.....Nitafanya kila njia kuchungulia hata kama sitaongea kitu!!

  Ubarikiwe sana Asha D na karibu kwenye ulimwengu huu wa uhuru wa maoni..Ila jiandae pia kukupana na visiki visivyo rahisi kuving'oa!!

  Mzee DC
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Gaga thank you for sharing..... Na the above statement is so true lol...... usipokua mjanja kazi zinalala.... enjoy dear..
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mzee DC nafurahi kwa maneno yako yenye insight na pia nashukuru kwa kuendelea/sisitiza hayo makaribisho, nimejipanga kuhusiana na hivyo visiki, najua sio rahisi but naomba Mungu aniongeze ustahimilivu na kwa kuwezesha hilo nimeona niweke signature ya kupambana nao ili nisije jisahau na kuingia mkenge... wala hata tu kuepusha BAN!
   
 10. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  We acha tu mie nikifika ofisini napanga kazi zangu kwa mafungu matatu, kila fungu nikimaliza naingia humu tena mpaka naondoka home, bila malengo kazi zinalala.siku nikiwa tight naingia wakati wa lunch
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Me namshukuru zaidi yule jamaa wa chama gani vile? aloamua kulalama kuhusu jf kumbe anaipromote, safi sana, karibu!
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  That is a good strategy, naona itabidi nijaribu adapt hii ya kwako - mimi ni kote kote na sometimes inafanya iwe ngumu, tena hapa ngoja i have something to attend to - umenikumbusha la maana saana!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nilioteshwa kuwa siku moja Asha D ungejiunga JF.
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhhhh Mdogo wangu TF,

  Hiyo gia uliyoanza nayo ni nzuri sana....Sina shaka inaweza kukuvusha kila barabara hata kama ina matope na utelezi kiasi gani.

  Nitazidi kukuombea ili huku tulipe na wewe siku moja ufike!! Ila usije kujinyonga ukikita si pazuri vile unavyotamani........Si unajua "hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe"!!!!!


  Mzee DC
   
 15. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hapo umeniondoa mashaka AD,

  Maandalizi ni silaha au mkakati wa kwanza kabisa katika mbinu za kushinda vita...Naamini umeshashinda.

  BUT...Chungulia na kuipigia hesabu kila hatua ...Miscalculation yoyote inaweza kukupoteza kabisa kwenye uso wa dunia hii ya JF!!
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahaha Mzee DC umenifanya niangue kicheko asubuhi asubuhi ofisini ngoja niendelee kutafakari hii statement yako maana ina mengi lol!!!!:biggrin1::biggrin1:
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Poa TF,

  Usinambia unajifunza mbinu za vita ndoni!!!! Hata hivyo strategies ni zile zile ama una-criminalize mtu ili umshinde au una-grolify ili mambo yako yanyooke. Hukujua hizo techniques kabla hujaanza kuzitumia hapo juu????


  Mzee DC
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  May 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Wewe nae kwani hilo ndo kauliza Asha D??

  Mie kuna rafiki yangu aliniadd bila mimi kujua nikawa napata reminder kwenye email kuwa we have missed you ..........................nikaamua kuanza kuchangia
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Huyo hakika ni rafiki wa kweli (a friend in deed)...kizuri unakula na mwenzio kabaya unakufa nacho mwenyewe au?

  Mzee DC
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  May 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Swadaktaaaaaaaaa
   
Loading...