Makachu
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 431
- 424
Jamani naomba msaada wa kueleweshwa hizi course mbili. Moja ni Bachelor of Science in Food, Nutrition and Dietetics ambayo inatolewa pale OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA(OUT).
Na nyingine ni Bachelor of Human Nutrition ambayo inatolewa pale chuo cha SOKOINE(SUA).
Je, kozi hizo zinafanana au kuna utofauti?
Na kwa kuongezea, kuna kozi inaitwa Bachelor of Food Science and Technology ambayo ipo SUA lakin Pia ipo Chuo cha MUST Mbeya.
Je, inawezekana kwa hilo jina la hiyo kozi ya Open University ikabeba themes/Contents zote mbili yani za Food Science pamoja na Nutrition?
Naombeni, ufafanuzi wataalamu, maana sielewi zinaniconfuse.