GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

GE2025 Kwa namna Kibaigwa ilivyofurika mkutano wa kampeni, tumtarajie kaka kuitisha press saa tatu usiku

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Screenshot_20250817-173548.jpg
 
Hv mnafahamu kuna watu hawamjui Kabisa huyo polepole?
Ila Ukiingia huku sasa....yan unahisi Kabisa kesho haifiki nchi inawaka moto
Nashangaa sana. Nadhani kuna watu wanadhani kuwa JF ni representative ya wananchi wa Tanzania. Watanzania walioko JF sidhani hata laki 5 wanafika, hapo kuna multiple IDs kibao!!!! Sasa hata tukitoa nusu ya population ya Tanzania kama watoto na wazee ambao pengine hawafuatilii mambo ya siasa. What is laki 5 kwa watu 32 million waliobaki??? Hata watu kwenye JF siyo wote wanaomkubali huyo Polepole.
 
Wakaguru Sisiem imewanyonya mpaka damu na kuwaachia umaskini wa kudumu na wanaonekana kuupenda.Akili za wakaguru Mungu awasaidie
 
Shalom

Sikutegemea kuona umati kama ule ukijitokeza kumpokea mgombea wa CCM kwa kiasi kile.

Watanzania tuwaeleweje? Kwamba Polepole hamumsikii?... Hamumuelewi au!!

Kujazana vile kwenye mikutano ya CCM mnatupa ujumbe gani Watanzania wenzenu tusio na upande?

Naogopa
Hao ni nyumbu tu
 
Kinachonisikitisha Mimi, utakuta mtoa mada hata pesa ya kulipa ada hana lakini anashadadia hizi drama
 
Utofauti uliopo ni kwamba wapenda CCM wengi wako mtaani na Wana mapenzi ya dhati kabisa na chama Chao ila wapinga CCM wako nyuma ya keyboard wakifikiri kwamba wataweza kushusha moto wa CCM
 
Hv mnafahamu kuna watu hawamjui Kabisa huyo polepole?
Ila Ukiingia huku sasa....yan unahisi Kabisa kesho haifiki nchi inawaka moto
Niliwai kusema hali ya nchi mitandaoni na tafauti sana na hali ilivyo mtaani.CHADEMA tulikosea kuzila uchaguzi
 
Kibaigwa imepambwa na kujitokeza kwa wingi kumpokea Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni.

d9462513-e944-4792-926e-a7e247b51dd9.jpeg

e48ce221-7ec5-4b23-8725-5f05857dfe77.jpeg

56d17839-02d6-4be7-9491-cfe5f88688fc.jpeg


#haijapatakutokea
#kurayakwanzakwasamia
 
Kwan Treni inayosomba watu kutoka Dar kwenda Moro, huoni??.

CCM mmekataliwa, hamna ñamna !!
 
Back
Top Bottom