Kwa mwendo huu, sijui kama ATCL itamudu ushindani wa kimataifa wa biashara ya anga

Hawa jamaa wamejitahidi Sana
Lakini Kuna haha ya kujenga business relationship na local flights nyingine ili wasitukwaze

Wanabadili schedule kwa namna ya kitukwaza Sana
Tunappteza biashara hivihivi

Wasaidiane na precision wawe wanamanage mida ya routes
 
Hili ni tatizo dogo ambalo linaweza kutatuliwa bila hata kukimbilia tweeter..

Tatizo hili linayapata mashirika mengi tuu ya ndege si ATCl peke yake....

Kama Mwandosya ameona tweeter ndio atapata suluhu basi tunamtakia kila la kheri....
Rubbish!
 
Ni rahisi kwako kutamka maneno kama hayo pasipo kujua umuhimu au uharaka wa safari aliyokuwa nayo mtu mpaka akafikia hatua ya kuandika hayo. Tunatumia usafiri wa ndege tukiwa na imani ni usafiri wa haraka zaidi. Umefikiria ni deals ngapi anaweza kuwa kazikosa kwa kuchelewa huko ? Ni masaa zaidi ya 10. Fikiri kwanza kabla hujaja na huo utumbo wako.
 
Hili ni tatizo dogo ambalo linaweza kutatuliwa bila hata kukimbilia tweeter..

Tatizo hili linayapata mashirika mengi tuu ya ndege si ATCl peke yake....

Kama Mwandosya ameona tweeter ndio atapata suluhu basi tunamtakia kila la kheri....
Tatizo siyo dogo ndugu yangu. Inabidi hawa ndugu zetu wa ATCL wabadilike sana kama kweli wanataka kudumu kwenye biashara. Haya mambo ya watu kulalamikia vyumbani ndio yametufikisha hapa. Prof. Mwandosya yuko sawa kutweet kwanu ni njia mohawapo rahisi ya mawasiliano.
 
Kuna hasara za kutisha huko Mkuu. Sijui kama ofisi ya CAG itaruhusiwa kufanya audit na bugirichato ili ukweli kuhusu kinachojiri kule uwekwe hadharani. Kuna uzembe wa hali ya juu na routes nyingi ni hasara kubwa sana.
Fast jet inarudi sio muda mrefu
 
Sielewi kabisa unachotaka kusema hapa. Kiranga ana nguvu gani kuweza kutumia maneno tu kwenye mtandao na watu wa ATCL wakashindwa kufanya kazi zao inavyotakiwa?
Mkuu KVM, haya ni mambo ya powers, watu tofauti wana powers tofauti, hivyo baadhi ya kauli zina powers za kuumba. Kuna baadhi ya mambo yanakwamishwa na kauli tuu. Hivyo nimependekeza tusitoe kauli za negativity, zina emit negative powers na kuleta destruction, tutumie positive sentiments zenye positive powers kuleta mafanikio.
Rejea
Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni ...
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao ...
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza Ya ...
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...

P
 
Hili ni tatizo dogo ambalo linaweza kutatuliwa bila hata kukimbilia tweeter..

Tatizo hili linayapata mashirika mengi tuu ya ndege si ATCl peke yake....

Kama Mwandosya ameona tweeter ndio atapata suluhu basi tunamtakia kila la kheri....
Ha ha ha! Nawaza ungekuwa wewe ndiyo mark sijui ungecomment hivi!!!!
 
Hamjui muhusika kama alikuwa anakwenda Uganda kuiona tu na kurudi ama alikuwa na shughuri za kikazi kwa makubaliano na muda maalum, watu wenye mipango huenda kwa ratiba na mara nyingi huhusisha pande mbili, endapo ilikuwa aende na kurudi siku hiyohiyo kwa bajeti aliyopanga basi safari hiyo ya muda wa ATCL ilikuwa inamtia hasara huenda alichokuwa anakifuata muda wake ulikuwa umepita na angegharamia malazi na mlo jambo ambalo hakulipanga, wachangiaji wengi wa JF hatuishi kwa mipango ndiyo sababu tunaona ni jambo dogo tu.
 
Inakera sana,chukua euro zako 600 ukitoa taarifa tu kwa airhelp watahangaika nao.masaa 12 delay si mchezo
 
Hili ni tatizo dogo ambalo linaweza kutatuliwa bila hata kukimbilia tweeter..

Tatizo hili linayapata mashirika mengi tuu ya ndege si ATCl peke yake....

Kama Mwandosya ameona tweeter ndio atapata suluhu basi tunamtakia kila la kheri....

Kama ni tatizo dogo, chukulia tuu kuwa alikuwa ahudhurie mkutano Entebe saa 8 mchana, ndege inaondoka saa mbili usiku baadae, atawahi vipi huo mkutano? Usafiri wa ndege sio usafiri wa daladala, wengi wanasafiri kwa mipango maalum. Ndege ikichelewa safari za wasafiri wengi zinakuwa hazina maana.
 
Anaandika Mark J.Mwandosya kupitia mtandao wa twitter:

I guess I am not lucky when it comes to travelling with Air Tanzania.I was booked for a 10.35am flight to Entebbe.The flight was delayed to 18.20hrs.Checked in early only to be informed the flight had been delayed again to 20hrs. Still waiting at the departure gate,full of hope.
ATC = Any Time Cancellation
 
Hili ni tatizo dogo ambalo linaweza kutatuliwa bila hata kukimbilia tweeter..

Tatizo hili linayapata mashirika mengi tuu ya ndege si ATCl peke yake....

Kama Mwandosya ameona tweeter ndio atapata suluhu basi tunamtakia kila la kheri....
Ruta,

Kwa dunia ya leo "cancellation" ya masaa 10 si tatizo dogo. Labda, tena labda, kama zilikuwa sababu zisizoweza kuzuilika "force majeure".

Usijekuta ni ushamba wetu wa wageni wa sadc tukachelewesha wasafiri wengine.
 
Hili ni tatizo dogo ambalo linaweza kutatuliwa bila hata kukimbilia tweeter..

Tatizo hili linayapata mashirika mengi tuu ya ndege si ATCl peke yake....

Kama Mwandosya ameona tweeter ndio atapata suluhu basi tunamtakia kila la kheri....

Nafikili hali imezidi kuwa mbaya kila mara,,,,Wengi wanakutana na matatizo ya AIR TANZANIA yaliyopitiliza,,,Kwa mfano Juzi tu kutoka Mbeya watu wa Ndege ya ASUBUHI ilikuwa cancelled hadi kesho yake asubuhi,,waliobahatika ni wale wa mchana lakini nao walichelelwa kwa zaidi ya Masaa mawili ilikuwa tarehe 16 August 2019,,,

Ukiacha hiyo, Tripu nyingine ya kwenda Mbeya kama mwezi mmoja ulipita tulichelewa kwa zaidi ya masaa mawili,,,sisi wa mchana, Na wa ASUBUHI walikuja kuondoka na sisi Mchana wa saa 10,,Tena kwa ndege ya Kukodi ya Precision Air,,,,,,

Matatizo ya AIR TANZANIA tangu zamani nimekuwa nikisema siyo hadware si uhaba wa Ndege ,,it is about its software,,,,,Utumishi na watendaji,,,,,,,,
Na kwa mbeya hakuna mbadala lazima utapanda tuuuu,,, hakuna shirika lingine,, Angalau Entebbe Mwandosya anaweza kupanda Mashirika mengine sisi hatuna namna,,,,,,,Kichefu chefu kabisa.
 
Back
Top Bottom