kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Kuna basi moja nilipanda toka Moshi saa 12 asbh nikafika ubungo saa 2 usiku tena ma mara 2.... Niliapa sitikaa nipande tena gari ya hiyo kampuni, ni nwaka wa 5 sasa hata nikilona sipandi na kampuni ina hali mbaya.. Kama unaona ya ATCL ni madogo subiri uone.Hili ni tatizo dogo ambalo linaweza kutatuliwa bila hata kukimbilia tweeter..
Tatizo hili linayapata mashirika mengi tuu ya ndege si ATCl peke yake....
Kama Mwandosya ameona tweeter ndio atapata suluhu basi tunamtakia kila la kheri....