Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

nan anabisha slaa siyo mdudu?

huwezi kuchukia amani, kusema nchi haitotawalika, kusema kontena la karatasi limeingizwa, kuiba wake za watu, kuzaa ukiwa padre, kujikopesha pesa za chama bila kufuata taratibu zinazofaa, kusema kuombea amani ni kupoteza muda hali ya kuwa wewe ni padre, kuwa mzushi na muongo, kuwa mdini na mbinafsi kisha ukawa na ubinadamu. slaa ni mdudu tu
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
MBOPOJA KABISA WEWE! Dr. huwezi kumlinganisha na mananga, wezi, wauaji wa watu, wauza unga hao wa ccm yako.
 
SIYO UNABWABWAJA TU.... aliyoyasema hamy-d ni ya uongo? jibu hoja. usishughulikia hoja kwa kuizunguka kibavicha. jibu hoja kizalendo
 
Hivi kumbe ibilisi anapokuwa anatajwa na padre au shehe uwa unasema, "mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe"?, ibilisi hutajwa mara ngapi na shehe au padre wakati wa ibada?

Labda kanisani kwenu ndo mnamtaja shetani kila wakati, sisi kwetu Mungu ndo anatajwa saaana wakati wa ibada. sijui kama huwa unaenda kanisani ndugu, usiwasingizie mashehe na mapadre. Ukiona kanisa au msikiti unataja shetani kila hubiri, hama mara moja, siyo kanisa/msikiti huo. Siku zote tunamtaja Mungu tu katika mahubiri mengi dada Hamy-D.
 
Hamy D Kila kukicha anasumbuliwa na watu watano Kichwani..Dr Slaa,Mbowe,Lissu,Lema na Msigwa.kama ni ushauri wa daktari Kati ya Dr Slaa na Lowassa anaestahili kuufuata ni nani?
 
JokaKuu,

1. Mkuu, kama utakuwa na kumbukumbu vizuri sababu za JK kuanguka siku ya kampeni pale jangwani ilielezwa. Kampeni zile zilikuwa siku ya mfungo wa mwezi mtufuku na kama ilivyo ada JK nae alikuwa kwenye mfungo. Sasa kuwa kwenye mfungo na pilika pilika za urais ni wazi mtu atachoka tu na wala si ugonjwa.

2. Tatizo la Dr Slaa ni kwamba hatambui juhudi za majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Kama ungefatilia mdahalo wa jana ungeweza kung'amua kitu. Dr Slaa alitumia lugha kali na ya kuudhi kwa majeshi yetu tena chini ya uwakilishi wa majeshi hayo, jambo ambalo linakatisha tamaa na kurudisha nyuma juhudi za majeshi. Unadhani kufumua jeshi ni suluhu? kama ikifanywa hivyo basi tujiandae kuwa na jeshi jingine mtaani.

3. Mkuu hapana sijamsimanga Dr Slaa, hoja yangu ni kwamba kwanini Dr Slaa asifanye mipango ya ndoa na Josephine badala ya kuishi kama washkaji. Ni vyema ifanywe harusi wananchi wote tujue, ingekuwa ni vyema sana kuliko hii ya kuchukuana kimya kimya.

4. Nakubaliana na wewe kwenye hili.
HAMY-D,

1. walisingizia tu kuwa JK alizimia kwa kuzidiwa na swaumu. It is an open secret kwamba JK ni mgonjwa na ndio maana ambulance ilikuwa inamfuata kila alipokwenda kwenye mikutano ya kampeni.

kwa upande mwingine mimi sina shaka na matunzo wanayopewa viongozi wetu wakuu. kwa hapa Tz viongozi wetu huimarika kiafya wanapokuwa madarakani. wanapostaafu ndipo huanza kunyongea, kuzeeka ghafla, na afya zao kuingia migogoro. Ukitaka ushahidi tutakuletea picha za Mangula, na Dr.Bilali, uone tofauti walipokuwa nje ya uongozi na sasa hivi.

2. Kama Mandela na Umkhonto we sizwe yake, aliweza kurithi jeshi la makaburu na kufanya nao kazi, basi inawezekana kabisa uongozi wa CDM ukafanya kazi na majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Hata Robert Mugabe naye alirithi jeshi la Walowezi ambalo liliwahi kushambulia wanachama wake kwa gesi ya napalm. Sijazungumzia kufumua jeshi, ila kuna umuhimu wa majeshi yetu kufundwa upya kimaadili.

3. Mimi nashauri masuala ya unyumba wa Dr.Slaa ungeachana nayo. Kwa kweli unautia mjadala huu "ukakasi" kwa jinsi unavyomshambulia Dr.Slaa ktk suala hili.
 
Last edited by a moderator:
Hamy d..
Majeshi yanajishusha yenyewe...
Maana haiwezekani kila mara tunasikia polisi..wanajeshi na askali magereza wanakamatwa na nyara za serikali, mara madawa ya kulevya, mara waende kukamata majambazi..wao wenyewe wapore pesa..na matukio kibao. Sasa mtu akiongea utachukia.ndo maana hata kwenye mdahalo wa juzi nchimbi aliyakubali maneno ya slaa..
 
SIYO UNABWABWAJA TU.... aliyoyasema hamy-d ni ya uongo? jibu hoja. usishughulikia hoja kwa kuizunguka kibavicha. jibu hoja kizalendo
Hizo hoja si za leo...zimeanza kuletwa tangu uchaguzi wa 2010...mpaka watu wamempa dr slaa jina kuwa ni babu...na zimejibiwa tena nyingine mpaka na dr slaa mwenyewe.
 
Maisha binafsi ya mtu hayamnyimi mtu fursa ya kuwa kiongozi,lkn kwa mtazamo wangu, la kuangalia ni namna anavyojenga mahusiano yake na vyombo vya dola,ambavyo kama kweli atakuwa raisi automatically atakuwa amiri jeshi mkuu wao. Silaa anatakiwa achanaganye karata kwa umakini sana. Unaweza kupendwa na watu wote lkn usipopendwa na walinzi wako hutakuwa na hatma nzuri. Yasije kumkuta yaliyomkuta Morsi Na pia, ajifuze kutoka kwa wenzake wenye nia kama yake, kujenga bifu na wanajeshi ajue itakula kwake siku moja. Yeye aliona fahaaaari kumshambulia yule mwanajeshi. Lkn kama kwake kuwa mwanaharakati inatosha basi aendelee. Ni ushauri tu lkn.
 
Unatapatapa sana mkuu inavonesha slaa anakupa sana headache, utasubiri sana mkuu, toka uanze kupost sijawahi kuona hata logic moja zaidi kutunga. Jipangeeeeeeeeeeee
 
HAMY-D,

1. walisingizia tu kuwa JK alizimia kwa kuzidiwa na swaumu. It is an open secret kwamba JK ni mgonjwa na ndio maana ambulance ilikuwa inamfuata kila alipokwenda kwenye mikutano ya kampeni.

kwa upande mwingine mimi sina shaka na matunzo wanayopewa viongozi wetu wakuu. kwa hapa Tz viongozi wetu huimarika kiafya wanapokuwa madarakani. wanapostaafu ndipo huanza kunyongea, kuzeeka ghafla, na afya zao kuingia migogoro. Ukitaka ushahidi tutakuletea picha za Mangula, na Dr.Bilali, uone tofauti walipokuwa nje ya uongozi na sasa hivi.

2. Kama Mandela na Umkhonto we sizwe yake, aliweza kurithi jeshi la makaburu na kufanya nao kazi, basi inawezekana kabisa uongozi wa CDM ukafanya kazi na majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Hata Robert Mugabe naye alirithi jeshi la Walowezi ambalo liliwahi kushambulia wanachama wake kwa gesi ya napalm. Sijazungumzia kufumua jeshi, ila kuna umuhimu wa majeshi yetu kufundwa upya kimaadili.

3. Mimi nashauri masuala ya unyumba wa Dr.Slaa ungeachana nayo. Kwa kweli unautia mjadala huu "ukakasi" kwa jinsi unavyomshambulia Dr.Slaa ktk suala hili.

JokaKuu,

2. Hapa nimekuelewa sana hasa kwa kutumia hiyo mifano ikiwemo wa Madiba na Mugabe. Lakini sina uhakika kama hao walikuwa wakifanya kama afanyavyo Dr Slaa, ungeona jinsi Dr Slaa anavyo washukia wanajeshi pale kwenye mdahalo wenda ungenielewa ninacho jaribu kukueleza mkuu. Sikatai wenda ni kweli kuna baadhi ya maaskari na wanajeshi wanafanya vitendo vya ukandamizaji kwa raia, lakini ni vyema tukatumia njia bora kuwasilisha malalamiko yetu lakini sio kuwashukia kama alivyofanya Dr Slaa hivi karibuni. Kwa mwanasiasa kuweka chuki na vyombo vya dola hasa jeshi kwa kudhani ukifanya hivyo itakuinua kisiasa ni kama kujichimbia kaburi mkuu. Hili ni kama angalizo tu ila kuna haja ya wanasiasa wetu kulifanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Sidhani kama wewe ni Mtanzania
 
Umeandika uchafu sana.
 
huwezi kuchukia amani, kusema nchi haitotawalika, kusema kontena la karatasi limeingizwa, kuiba wake za watu, kuzaa ukiwa padre, kujikopesha pesa za chama bila kufuata taratibu zinazofaa, kusema kuombea amani ni kupoteza muda hali ya kuwa wewe ni padre, kuwa mzushi na muongo, kuwa mdini na mbinafsi kisha ukawa na ubinadamu. slaa ni mdudu tu

any way napita tuu.. Lakini elewa basi malaika akizeeka bila mafanikio anageuka shetani, lakini shetani akizeeka bila mafanikio anageuka malaika .dr Slaa is the light at the edge of Tanzanian world .
 
Back
Top Bottom