Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

Mwanzia Thread an mtindio wa ubongo. Miaka 10 nyuma Mwai Kibaki alikuwa na Umri gani na Je? unajua amefanya nini Kenya? Thread yako haina mshiko unaonyesha jinsi CCm ilivyokunyonya ubongo na kukuacha mtupu. Lowasa kwa sasa ni mkubwa kwa miaka miwili na Sitta vivyo hivyo na wote wanataka Urais. Kama hujafanya uchunguzi huna haki ya kutoa habari
 
Sikumbuki kusoma uzi hata wa huyu bwana Hamy-D ambao umechangia changamoto za yanayowakabili watanzania wa leo (elimu duni sana, maradhi, rushwa, madawa ya kulevya, ubadhirifu wa mali za umma, rasilimali za nchi kutapanywa e.t.c.), mbona yapo mengi na kila kukicha viongozi wao wanayasema. Hoja zinazotolwea na ID inayojiita Hamy-D hazitofautiani na mtu anayeropoka hovyo kila siku kama ambavyo tunawaona wengi humu. Na kama mtu anapita pita humu JF "now and then" bila shaka utajua mtu ambaye kila kukicha anayemshambulia/kumdhalilisha/kumkashifu Dr. Slaa kwenye public ni Nape Nauye. Nashawishika saa kuamini kuwa Hamy-D = Nape Nauye "under a different ID".

Au hii ni coincidence tu!!!!!!!!!

I stand to be corrected.
 
Then you are joining the Ranks@ Nnape Nauye; wazeee .... wafe''

Ethically CCM is dead!! I wonder hivi 2015 Lowasa, Sitta, Watakuwa na umri gani??
Ha ha ha yule babu wa Mtera alikuwa na miaka...73 na yule Salim A Salimu;

You are deada bodies!!

Our motto is Change, Perish or Change!! Whoever comes, but CCM have to be thrown into a ditch!!
Akhsante Mkubwa!Huyu mtoto ni pasua kichwa na ninafikiri huu usumbufu anaoleta hapa jamvini ni anaingiza siku lakini ukweli ulio wazi anaujua ya kwamba ccm kama ccm ilisha-collapse kitambo,iliishajifia:rip:hata ukiililia:crying:haikusikii,walobaki kwayo wao:lalala:wamebaki na matumbo yao:mimba:TAIFA laangamia hata kwa vidhoruba vya kipumbavu na majanga mengine ya kimaangamizi kutengeneza kwa maslah binafsi:shetani::shetani::shetani:.'MDA WAO UMEISHA'-"ALUTA CONTINUA-kwani tushatoboa".😛eace::clap2::clap2::clap2:
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu,

2. Hapa nimekuelewa sana hasa kwa kutumia hiyo mifano ikiwemo wa Madiba na Mugabe. Lakini sina uhakika kama hao walikuwa wakifanya kama afanyavyo Dr Slaa, ungeona jinsi Dr Slaa anavyo washukia wanajeshi pale kwenye mdahalo wenda ungenielewa ninacho jaribu kukueleza mkuu. Sikatai wenda ni kweli kuna baadhi ya maaskari na wanajeshi wanafanya vitendo vya ukandamizaji kwa raia, lakini ni vyema tukatumia njia bora kuwasilisha malalamiko yetu lakini sio kuwashukia kama alivyofanya Dr Slaa hivi karibuni. Kwa mwanasiasa kuweka chuki na vyombo vya dola hasa jeshi kwa kudhani ukifanya hivyo itakuinua kisiasa ni kama kujichimbia kaburi mkuu. Hili ni kama angalizo tu ila kuna haja ya wanasiasa wetu kulifanyia kazi.

Akili yako ni ndogo hauwezi ongelea suala nyeti kama hili."KOSA LAKE NI NINI ZAIDI YA KUSEMA KWELI ILI AMANI IDUMU???Ww ni zumbukuku unayeamini katika kuficha uchafu chini ya carpet kumbuka mficha maradhi kifo humuumbua na ikifika hapo hata hao askari ni WATANZANIA.
 
Last edited by a moderator:
CCM TENA NASEMA CCM wote wanahaha lakini kifo cha njan miti yote huteleza.hawana sela tena ongeleen kuhusu nnchi sio dr slaa.maana yy slaa anaongelea kuhusu maendeleo ya nch sio ccm.mnaposikia chadema presha inapanda tulieni.kama maji ya kwenye mtung
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Hizi bangi sasa za kuvutia kwenye viatu. Robert Mgabe ni checkbob/ kijana? nchi yake unaiongoza ww. Hao madaktari CCM hawapo Zimbabwe? the use of Ma------ in thinking
 
JokaKuu, 2. Hapa nimekuelewa sana hasa kwa kutumia hiyo mifano ikiwemo wa Madiba na Mugabe. Lakini sina uhakika kama hao walikuwa wakifanya kama afanyavyo Dr Slaa, ungeona jinsi Dr Slaa anavyo washukia wanajeshi pale kwenye mdahalo wenda ungenielewa ninacho jaribu kukueleza mkuu. Sikatai wenda ni kweli kuna baadhi ya maaskari na wanajeshi wanafanya vitendo vya ukandamizaji kwa raia, lakini ni vyema tukatumia njia bora kuwasilisha malalamiko yetu lakini sio kuwashukia kama alivyofanya Dr Slaa hivi karibuni. Kwa mwanasiasa kuweka chuki na vyombo vya dola hasa jeshi kwa kudhani ukifanya hivyo itakuinua kisiasa ni kama kujichimbia kaburi mkuu. Hili ni kama angalizo tu ila kuna haja ya wanasiasa wetu kulifanyia kazi.
mwai kibaki alipata urais akiwa na miaka sabini. john macain alisimama na obama akiwa na miaka sabini
 
Last edited by a moderator:
Maisha magumu bila buku7 tutaishije mjini lazima tutapalilie..........
 
yaaani unaonekana hulali usungizi ukakufika kutwa kucha unamuwaza RAISI WAKO MTARAJIWA na kibaya zaidi alishaoa haitaji mke mwingine coz speed ya kujipendekeza kwake naona inapanda kadri siku zinavo songa,ndugu ashaoa huyo BI JOSEPHINE anamiliki kihahali ivo hata ujipendekeze vip huwezi onekana sababu ni sawa na mkaa gizani,EWE HAMY D DR SLAA ANA MKE NA HAITAJI MKE MWINGINE NA NDO MANA UNAHASIRA NAE KUTWA KUCHA KUMUANDAMA, HAKUTAKI HATA KAMA UNAHASIRA ZA KUKATALIWA KUWA BI MDOGO HAKUTAKI NA WALA HATAKI VIHIO KAMA WEYE ATI FANYA YAKO NDOA ZA WATU ZITAKUSHINDA BABU UTASHIKWA UGON BURE!!!!!

We Bavicha jiheshimu matusi sio sifa hata kama aliyetajwa ni nabii Slaa
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Hapo kwenye red nadhani ndio ninakuelewa zaidi, kwa hayo mengine bado ni hoja nyepesi sana.

Kwa kifupi Dokta kuingia ikulu ni sawa na kukabidhi bucha kwa fisi, yeye plus hiyo timu iliyopo nyuma yake ni balaa. Ingawa hata hiyo ccm nayo ni "tia maji tia maji" laki ni kheri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Morenja wewe umetumwa kumchafua Dr Slaa. Wanakulipa kiasi gani? Au na wewe wamekuingizia50000 km bwana Ludovick? Acha hizo weye
 
Hapo kwenye red nadhani ndio ninakuelewa zaidi, kwa hayo mengine bado ni hoja nyepesi sana.

Kwa kifupi Dokta kuingia ikulu ni sawa na kukabidhi bucha kwa fisi, yeye plus hiyo timu iliyopo nyuma yake ni balaa. Ingawa hata hiyo ccm nayo ni "tia maji tia maji" laki ni kheri nusu shari kuliko shari kamili.
mi ndo maana naona bora tulipe Jambazi lowasa
 
Siku zote mtu asiyetakiwa sehemu na kupigiwa kelele na chama tawala kuwa hafai bs huyo ndiye mtu sahihi kabisa kuwa hyo sehemu takatifu maana atavunja mtandao wa mafisadi wote,wanaokula kodi zetu bila kutupa mrejesho.

Dr slaa ni mtu sahihi kuwa ikulu ili nguvu ya umma ipate afuheni kidogo,miaka 52 ya kuvuna bila kulima inawatosha now its our turn kwa sisi walimaji kula jasho letu wakati huo huo tunaendelea kulima na kupalilia ustawi wa nchi yetu
 
Nilishasema mwaka juzi kwenye Harusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''

wewe ni mjinga hujui chochote,kwenye sheria za kanisa inaruhusu mtu kuacha kazi ya upadre kwa kufuata procces mbalimbali,Dr Slaa alifuata na akaacha upadre kwa amani,na sasa anayo haki hata ya kuoa,labda mama yako ndiye anayeugua ugonjwa wa akili maana alitoa mimba kama tatu kabla wewe hujazaliwa! Jaribu kuwa na adabu kumtusi rais wetu mtarajiwa si vyema!

WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Magamba mnatuchosha.Unawafahamu watu hawa?Michael Sata,Dalai lama,Unamfahamu Mugabe,au Laur castrol?Watanzania wanahitaji mabadiliko na si umri,familia wanazo za kwao,fitna ndani ya chama hawazisikilizi tena.Hawaitaki hata CCM,wako tayari hata kwa DP sio chama cha magamba.
 
Back
Top Bottom