Kwa moromboo arusha.....

Kwa moromboo arusha.....

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,438
Kwa Moromboo Arusha.............
 
Attachments

  • IMGP1101.JPG
    IMGP1101.JPG
    486.2 KB · Views: 602
when a dog is unskinned......looks like a goat...!
 
Mtambuzi umenikumbusha 2009 kabla hatujaenda field Simanjiro tulikua tunapitia hapo kwanza
 
Arusha sa hivi Season imekamata ni Kula Bata kwa kwenda mbeeeele
 
Wanao kwenda huko huwa wanaandamana?
 
hiii kitu mko wa tatu au nne,mna letaa mguu mbili..mkono mojaa na mbavu mojaa na ndizii kamaa nanee kwa kila order,mezani kunaa mjombaa wetu alie nyanyua mikono aka mafta taa,mme kaa grosariii ya MAMA KUBWAA number 4.
 
Leo nitakuwa pale kuanzia saa tisa mchana, karibuni sana tujinafasi.

hata mimi w end huko ndio mpango mzima tatizo huku nyumba za wageni ni chache saaaaana sio ka kaloleni au makao mapya. si unajua mambo yetu yale ukishakula nyama bia za kutosha lazima ujiburudishe na uumbaji hasa pale makuyuniii anapochomea nyama kuna mabinti wa ukwang'a usipime bia kadhaa tu tayari washaelekea kibla
 
Wanaume wa Arusha baada ya miaka kama 5-6 ijayo watakuwa wanatembelea wheelchair kwaajili ya kula nyama za mbuzi kutokana na ugonjwa wa GAUTi miguu/mikono/vidole kuvimba na kujaa maji! inabidi serikali ifanye jitahada ya kuwaokoa!
 
alafu unajua hiso mbusi hasija chakachuliwa kama sa fingunguti! siko fresh sana aiseee....
 
Wanaume wa Arusha baada ya miaka kama 5-6 ijayo watakuwa wanatembelea wheelchair kwaajili ya kula nyama za mbuzi kutokana na ugonjwa wa GAUTi miguu/mikono/vidole kuvimba na kujaa maji! inabidi serikali ifanye jitahada ya kuwaokoa!
Baba zetu tumekuta wanakula mbuzi na bado wapo, kwa wamasai kila mwisho wa mwezi uwa unakunywa supu ya LOODWA inasafisha cholesterol na gout yote ukitoka hapo uko safi
 
hata mimi w end huko ndio mpango mzima tatizo huku nyumba za wageni ni chache saaaaana sio ka kaloleni au makao mapya. si unajua mambo yetu yale ukishakula nyama bia za kutosha lazima ujiburudishe na uumbaji hasa pale makuyuniii anapochomea nyama kuna mabinti wa ukwang'a usipime bia kadhaa tu tayari washaelekea kibla
shauri yako wewe limbukeni wa mapenzi kama ni pale unajichukulia uumbaji tayari maumivu yule sista mwenye ile grocery mbona kuna tetesi kaunganishwa na gridi ya taifa na wale wasichana sio wadogo zake wala hawajatoka bush ka mnavyojidanganya walikuwa wanafanya biashara ya kuuza miili yao kaumba morogoro shauri yeenu
 
Back
Top Bottom