Mkuu yaani wananikoroga tu hata sielewi basi ngoja nivute mda kidogoWakuoa ni yule ulo mpenda naye akakupenda kwa mapenzi ya dhati na mkawa mnaendana tabia na malengo.Hizo ndio sifa za muhimu.ukimpenda mtu hata maswala ya umri hutayafikiria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]Kamwoe Miss Natafuta halafu utatuleta taarifa hapa jamvini! Mkuu kama anakuzidi inabidi uwe mpole kabisaaaa, na hasa ukioa mama wa Kikurya anayekuzidi umri utalijua jiji! Ukileta jeuri unachezea makofi, nakumbuka kijijini kwetu kulikuwa na jamaa ameoa li mwanamke limemzidi umri sasa kila siku jioni linapanga shughuli za kufanya kesho yake, Ngeleja kesho unaenda kupalilia mihogo, watoto wataenda kuchota maji ziwani. Na wewe Ngeleja hakikisha hiyo nusu ekari umemaliza ole wako urudi hapa hujamaliza utanitambua,, Ngeleja anaitikia "sawa mama". Sasa na wewe mkuu ukijichanganya tu,, utasimulia!!
Jamani nyau tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mwingine anaweza kukuzidi umri ila umbile wewe unaonekana mkubwa... inategemea mkuu mbona wapo vizuri tu... sema sasa asikuzidi urefu hapo ataona kama anatembea na nyau..!!
tena umpate anayependa kuchomekea halaf wowowo analo... yaan sijui unamwonaje!!!Jamani nyau tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duu! ulivyoandika Ngeleja,umenikumbusha yule mbunge ambaye inasemekana anamlaga mama Malecela,hivi si anamzidi umri,ukute naye wakiwa hotelini huwa anamtuma Ngeleja duuh!Kamwoe Miss Natafuta halafu utatuleta taarifa hapa jamvini! Mkuu kama anakuzidi inabidi uwe mpole kabisaaaa, na hasa ukioa mama wa Kikurya anayekuzidi umri utalijua jiji! Ukileta jeuri unachezea makofi, nakumbuka kijijini kwetu kulikuwa na jamaa ameoa li mwanamke limemzidi umri sasa kila siku jioni linapanga shughuli za kufanya kesho yake, Ngeleja kesho unaenda kupalilia mihogo, watoto wataenda kuchota maji ziwani. Na wewe Ngeleja hakikisha hiyo nusu ekari umemaliza ole wako urudi hapa hujamaliza utanitambua,, Ngeleja anaitikia "sawa mama". Sasa na wewe mkuu ukijichanganya tu,, utasimulia!!
Wewe ki2c, utakuwa kambea wewe, ha ha ha haaaa!! Eti "anamlaga!!"anamlaga mama Malecela,hivi si anamzidi umri
Duuuuh!!Mwanamke anatakiwa aolewe na mwanaume mwenye umri mdogo kuliko yeye,asipofanya hivyo uwezekano wa yeye(huyo mwanamke) kubaki mjane ni mkubwa sana kwani wanaume wanawahi kufa na sababu kubwa ni kuongezeka kwa umri.Inasemekana kadri mwanaume anavyozidi kuwa na umri mkubwa ndiyo magonjwa kama tezi dume,homa ya ini,ugonjwa wa kifua kikuu n.k yanajitokeza.Epuka kuolewa na mwanaume anayekuzidi ewe mwanamke,utakuja kukumbuka haya niliyoyaandika,hata hivyo wanawake wakifika umri flani huwa na ashki kubwa yakufanya mapenzi wakati mwanaume anakadriwa kuanza kupungukiwa hamu yakufanya mapenzi akifika umri wa miaka kuanzia 30,hivyo mwanamke atahangaika kutoshelezwa kimapenzi hivyo kuanza kutafuta vijana,hii itamshushia heshima mitaani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndiyo hivyo,mimi nilizipata kutoka kwenye chanzo flani hivi,tena kwa maskio yangu,na aliyekua anaongea alisema maneno yafuatayo"yule mama nilianza kumdharau baada ya kujua kua analiwa na W.Ngeleja".Wewe ki2c, utakuwa kambea wewe, ha ha ha haaaa!! Eti "anamlaga!!"
Kwahiyo wewe unashauri mwanaume aoe mwanamke ambaye punde tu anakaribia menopuase,kisa mapenzi hayana umri,hayo mambo ya WCB siyo mazuri,mtu ulikua unampakata,leo hii anakuja anakutongoza unakubali,unaenda unamvulia nguo na mbaya zaidi kama haitoshi unakubali akuoe,mimi siwezi kuoa mtu mkubwa,naoa wa umri wangu.Mapenzi hayachagui umri mwanamke akikupenda hata kama amekuzidi miaka mitano atakuheshimu tu,na unaweza kuoa mdogo kwako na wala asikuheshimu
Kupenda bhana kuache tu !!Kwahiyo wewe unashauri mwanaume aoe mwanamke ambaye punde tu anakaribia menopuase,kisa mapenzi hayana umri,hayo mambo ya WCB siyo mazuri,mtu ulikua unampakata,leo hii anakuja anakutongoza unakubali,unaenda unamvulia nguo na mbaya zaidi kama haitoshi unakubali akuoe,mimi siwezi kuoa mtu mkubwa,naoa wa umri wangu.
Nina ndoto ya kuja kuoa mwanamke aliyenizid umri miaka kam mi5 iv mpk 6, eeehh molah jaalia nitimize ndoto hii, amen... Note: mm co 'marioo' .... Cpend kabisa ninaowazd umri, nimebug saana kanizd miaka 2 ad 3... [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mnatushauri nin cc watchers hususan tunaotaka kuingia kweny ndoa? Not only waliwazid umri tu even mliosawa nao au mlipwapita kidogo kidogo pia eken uhalisia hadharani.. me naskiaga wanawake wa aina hiyo ni wababe sana
Wakuoa ni yule aliyekuzidiii tuuu amna namnaa ndo atakuwa amekomaa akili[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mnazidi kunkatisha tamaa asee mara hivi mara vile sasa yupi ndo wa kuoa daah ngoja ntafute wa kunzalia tu
Wa Mungu lazima awe mremboo na ana tabia nzuriii bila kusahau churaaHalaf ujue hata shetani ni mungu pia.. Asa ni MunGu gani unaemwongelea? Na je. Utajuaje kwamba huyu ni wa mungu wa kwelikweli