Kwa menu hii wazungu watasuburi sana corona itumalize

Steve karibu anakuwa Mheshimiwa na alitaka kuweka rekodi ya kuchukua fomu kabla ya muda
Mheshimiwa wa makaburini, akaendelee kula rambirambi, na this time atakula sana za kijan wenzake, maana wakithubutu tu kuzingua kwenye uchaguzi mkuu
 
Mshana Jr naomba nitoke nje ya mada kidogo. Hivi wewe zamani kiasi kama miaka mi3 hata mi4 yapata sikumbuki vizuri uliweka uzi mmoja humu JF unazungumza umuhimu wa kila kiungo cha chakula mfano iliki, mdalasini, giligilani nk nk....Sina uhakika ni wewe kweli? NIli save somewhere sema sioni kwenye ma kabrasha yangu. Kama ni wewe unaweza ukanisaidia ule uzi maana na search humu jf naona sipati ntakacho. Kama sio wewe mkuu Mshana Jr atakua ndugu yetu MziziMkavu Hivyo baasi kiongozi MziziMkavu popote ulipo nilichokiandika hapa naomba ukisome na wewe unisaidie kama ilikua wewe
Natanguliza ahsante nyingi sana.
 
Back
Top Bottom