Asante Rais Putin kwa kutuondolea makelele ya Corona

JackisonDubai

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
537
Reaction score
1,285
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.

Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa masaa 24 Kwa siku ilikuwa taarifa ni Corona, Corona, Corona, hata aliyekuwa Rais shupavu wa Tanzania hayati Magufuli alipojaribu kuiamsha Dunia kwamba ugonjwa wa Corona ni propanga iliyojificha kwenye vita ya kiuchumi alipingwa sana na Chadema!

Ni mpaka Rais Putin alipoanzisha vita na Ukraine ndiyo vyombo vya habari vya magharibi vikaacha kupromote Corona na chanjo zake.

Tuwaulize Chadema watuambie kilichoondoa Corona duniani ni nini?
 
Corona iliondoka hata kabla ya vita ya Ukraine, ni mjinga pekee ndiye anayekebehi huu ugonjwa
 
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.

Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa masaa 24 Kwa siku ilikuwa taarifa ni Corona, Corona, Corona, hata aliyekuwa Rais shupavu wa Tanzania hayati Magufuli alipojaribu kuiamsha Dunia kwamba ugonjwa wa Corona ni propanga iliyojificha kwenye vita ya kiuchumi alipingwa sana na Chadema!

Ni mpaka Rais Putin alipoanzisha vita na Ukraine ndiyo vyombo vya habari vya magharibi vikaacha kupromote Corona na chanjo zake.

Tuwaulize Chadema watuambie kilichoondoa Corona duniani ni nini?
Sio yule shujaa wenu aliyeko kaburini tena? Ni Putin kumbe , rubbish.
 
Russia yenyewe mbona ilifunga mipaka yake na China sababu ya Covid? Na ilikuwa ikitoa chanjo yake ya Sputinik?

Kipindi vita inaanza, 2022 Covid ilikuwa imeshapoa sana
 
Na baada ya vita na Ukraine kuanza Corona ikaenda wapi?
 
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.

Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa masaa 24 Kwa siku ilikuwa taarifa ni Corona, Corona, Corona, hata aliyekuwa Rais shupavu wa Tanzania hayati Magufuli alipojaribu kuiamsha Dunia kwamba ugonjwa wa Corona ni propanga iliyojificha kwenye vita ya kiuchumi alipingwa sana na Chadema!

Ni mpaka Rais Putin alipoanzisha vita na Ukraine ndiyo vyombo vya habari vya magharibi vikaacha kupromote Corona na chanjo zake.

Tuwaulize Chadema watuambie kilichoondoa Corona duniani ni nini?
Umeshasema tumshukuru Putin na vita ya ukraine unataka chadema wakuambie nn?
 
Ikumbukwe propaganda za Corona zilikuwa zimeshika kasi duniani kote na nchi za Afrika kulazimishwa kuchukua mikopo au kupokea chanjo Kwa lazima.

Vyombo vya habari kutoka nchi za magharibi Kwa masaa 24 Kwa siku ilikuwa taarifa ni Corona, Corona, Corona, hata aliyekuwa Rais shupavu wa Tanzania hayati Magufuli alipojaribu kuiamsha Dunia kwamba ugonjwa wa Corona ni propanga iliyojificha kwenye vita ya kiuchumi alipingwa sana na Chadema!

Ni mpaka Rais Putin alipoanzisha vita na Ukraine ndiyo vyombo vya habari vya magharibi vikaacha kupromote Corona na chanjo zake.

Tuwaulize Chadema watuambie kilichoondoa Corona duniani ni nini?

Kama si tabi za Ki bwabwa, chadema inaingiaje hapo?
 
Afadhali na CCM waliosema CHANJO ni HIYARI.

Kamanda Mbowe Alisema wananchi wote wakamatwe na kuchanjwa Kwa lazima.

Ktk issue ya corona, CDM walitusaliti wananchi.

Magufuli Ubarikiwe sana. Ulitusaidia kuepuka hatari.
 
Back
Top Bottom