Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,090
22,334
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM.

Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja na jitihada za wanafunzi, waalimu, wazazi na wadau wote wa elimu lakini chini ya usimamizi mzuri wa chama kwa serikali haya yote yamewezekana.

Nawapongeza sana shule ya wasichana St Francis ya Mbeya kwa ufaulu mzuri ambayo pia utekelezaji wa ilani ya chama. Wanafunzi wale kwa hakika kutatoka miongoni mwao viongozi wakubwa wa CCM na serikali. Ningeomba katibu wa Chama mkoa wa Mbeya kuandaa zawadi kwa wanafunzi wa St Francis walioingia kumi bora kitaifa.

Mungu Ibariki Tanzania
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Y
 
Huwezi kukutwa na KY Ndani ukawa na akili timamu.
 
Back
Top Bottom