Matokeo ya Kizimkazi secondary division 3 zipo 5 four 26, ni nyumbani kwa Rais Samia na alisoma hapo

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .

Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda

Happy birthday mama

USSR
Screenshot_20240128-191246.jpg

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .

Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda

Happy birthday mama

USSRView attachment 2886197

Vp na PhD ya Magu!?
 
Dah!!! Pamoja na standard kushuka bado kuna shule hazitoi Div 1?
 
Haya mambo tunayaanzaga wenyewe, halafu wahusika ‘wakifix’ tuanze kulalamika kama enzi zile Chato kuwa kinara.

..anaweza ku-fix hilo tatizo lakini sio kufanya kufuru kama alivyokuwa akifanya Magufuli.

..lakini ni aibu kwa shule hiyo kuwa na matokeo mabaya wakati Samia amekuwa kwenye uongozi muda mrefu.

..hapo ndipo utakapojua kwamba viongozi wetu hawana uchungu na wananchi wao.
 
Akiifanyia hiyo shule favor yoyote malalamiko yataibuka kila kona!
 
Rais samia anapokea salamu za pongezi kutoka Zanzibar kwa shule aliyosomea kufanya vema ila kwa bara anaonekana hakuna kitu ila nakuhakikishia kwa Zanzibar haya ni matokeo mazuri sana ,usicheke .

Ndio Shule aliyosomea kama alivyosema mbele ya Peter Greenberg kwenye the royal tour na anafurahia matokeo haya ,labda

Happy birthday mama

USSRView attachment 2886197

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Ukisema hivi una maana sasa Mh Rais aache kushughulika na mambo ya Tanzania ashughulike na Kizimkazi? Sio sawa, na hauoneshi ukomavu wa akili kwa mleta uzi!
 
Matokeo haya ni kwa sababu ya kulazimisha wanafunzi wote wasome hadi kidato cha 4 bila kujali uwezo. Hata bara asilimia kubwa ya shule za serikali matokeo yanafanana na ya Kizimkazi.

Ukiangalia Lumumba na Fidel Castro utaona matokeo mazuri. Shule hizi wana mchujo kama wafanyavyo akina Feza, Marian na kadhalika.
 
Akiifanyia hiyo shule favor yoyote malalamiko yataibuka kila kona!

..Ndio maana nimesema asifanye kwa kufuru.

..anaweza hata kuitafutia wafadhili.

..lakini Maza kuwa hakulishughulikia hilo tatizo tangu aingie ktk uongozi inaonyesha ni mtu wa aina gani.
 
Back
Top Bottom