mwebrani wa efeso
Member
- Sep 13, 2017
- 16
- 7
Msaada kwa kilimo cha viazi vitamu wakuu
Unataka kulima nini mkuu?Mimi nataka daktari au Bwana Shamba. Nataka kuwekeza kwenye kilimo. Kabla sijaanza. Nataka mtu ambae ni Bwana shamba anipe consultation.
Inategemea unalimaje, unalima zao gani na wapi,Unaweza kufanikiwa kimaisha kupitia kilimo
Mkuu mm nalima nyanya morogoroWadau., anaefahamu lilipo shamba la nyanya Dar au Morogoro aje pm tufanye biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio unaweza tu! Ukiwa siriaz na kilimo ni lazima utatoka tu, na usitemee sana mvuaUnaweza kufanikiwa kimaisha kupitia kilimo
Mkuu tuongee kidogo,nipe maarifa,inamaana kilimo kiwe cha umwagiliaji nini naweza kulimaSio unaweza tu! Ukiwa siriaz na kilimo ni lazima utatoka tu, na usitemee sana mvua
Nataka kulima mboga mboga na matundaUnataka kulima nini mkuu?
Ombi hili halijapata majibu na sasa lina maelezo ya ziada.Mkuu.
Naomba msaada Kwa mara nyingine. Miti yangu miwili ya papai imekunja majani na hivyo tofauti na mingine haitengenezi matunda.
Je ni tatizo gani na nitumie dawa ipi?
weka picha, alafu hujasema umelima zao ganiOmbi hili halijapata majibu na sasa lina maelezo ya ziada.
Majani huwa magumu, kubadilika rangi na kuwa ya njano huku eneo la kileleni mwa mti likipinda.
Majani haya huo kama yaliyoungua Moto.
Ni tatizo gani na nitumie dawa ipi?
weka picha, alafu hujasema umelima zao gani
sina uzoefu na papai, ngoja wataalam wajeMkuu.
Mtandao unasumbua, ninashindwa kuweka picha. Kwa upande wa zao ni mipapai, ukiangalia vizuri utaona hili quote tangu nilivyotuma hapo awali.
Mahitaji mchango wa mawazo ili kesho ikiwezekana nitafute dawa husika.
Najaribu kufikiri tu, je inaweza kuwa ukungu au kuna shida kutoka ardhini?
Unaweza kutuma picha tafadhaliMkuu.
Naomba msaada Kwa mara nyingine. Miti yangu miwili ya papai imekunja majani na hivyo tofauti na mingine haitengenezi matunda.
Je ni tatizo gani na nitumie dawa ipi?
Magonjwa yako mengi sana ndugu yangu ya majani kwa maelezo tu vigumu kupata jibu kamili,ingia infonet biovision ,i search Google kisha chagua crops uchague papaya uende kwenye Magonjwa ulinganishe picha na tatizo lako itakayoelekea leta jina lake nitakutajia dawa au mini cha kufanyaMkuu.
Mtandao unasumbua, ninashindwa kuweka picha. Kwa upande wa zao ni mipapai, ukiangalia vizuri utaona hili quote tangu nilivyotuma hapo awali.
Mahitaji mchango wa mawazo ili kesho ikiwezekana nitafute dawa husika.
Najaribu kufikiri tu, je inaweza kuwa ukungu au kuna shida kutoka ardhini?
Karibu sana, mpaka sasa unalima nyanya eneo la ukubwa gani,aina gani ya mbegu,unalima hatua zipi naomba abc,unavuna kiasi gani na je una uhakika wa soko?Nataka kulima mboga mboga na matunda
Kuna minyausho ya aina tatu iko ya bakteria, wa fungus na wa minyoo fundo.Ugonjwa wa kinyaushi unao nyausha nyanya na baadae kukauka unatibiwa na dawa gan?
Picha kwangu bahati mbaya hazifunguki ila hao wadudu ni kama wale ambao wanakua kwenye mananasi?Habari za leo wakuu, nina miche yangu ya miparachichi imepata ugonjwa wa majani ya juu kabisa yale machanga kujikunja sana, nimechunguza hilo eneo linalojikunja nimekuta kuna sisimizi wengi pamoja kama vijidudu fulani vyeupe,yaani kama pametiwa unga.
Je wajuzi wa mambo haya huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini kwa dawa za kiwandani na za kienyeji kama zipo?View attachment 652805View attachment 652806
Tazama pia ndani upande wa chini ya majani uone kuna nini, kama kuna wadudu piga picha tupia hapaHabari za leo wakuu, nina miche yangu ya miparachichi imepata ugonjwa wa majani ya juu kabisa yale machanga kujikunja sana, nimechunguza hilo eneo linalojikunja nimekuta kuna sisimizi wengi pamoja kama vijidudu fulani vyeupe,yaani kama pametiwa unga.
Je wajuzi wa mambo haya huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini kwa dawa za kiwandani na za kienyeji kama zipo?View attachment 652805View attachment 652806
Nashkur sana kiongozi kwa mchango wako, ubarkiwe saana kwa elimu uitoayo.Tazama pia ndani upande wa chini ya majani uone kuna nini, kama kuna wadudu piga picha tupia hapa