Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

Wasenge hao wa dayaspora wameshachoka kutawaza vizee wanawachochea nyumbu wakafe tena
 
Wasenge hao wa dayaspora wameshachoka kutawaza vizee wanawachochea nyumbu wakafe tena

Diaspora ndio wanakamata watu bila taarifa usiku ni hadi kelele zikipwa ndio utasikia kakamatwa kisheria ?

Diasporan ndio wakikamata watu wanakufa kwa mstuko wa moyo wakati walikuwa wazima wa afya ?

Diaspora ndio waliwatuma kina Nyundo na wenzake ?

Diaspora ndio wananunua magari ya mabilioni ?
 
Watu nao wamechoka kukamatwa bila taarifa kelele zikipazwa ndio utasikia kakamatwa kisheria

Watu nao wamechoka kusikia ndugu aliekamatwa kafa kwa mstuko wa moyo wakati alikuwa mzima wa afya

wamechoka kuona dada zao wanabakwa na kina Nyundo na wenzake halafu aliewatuma hawajibishwi, wamechoka

wamechoka kuona kuna kodi zao zinatapanywa, watu wananunulia magari ya mabilioni
Sasa hao wanaishi nje ya Tanzania halafu wanawaambia watu wajitoe mhanga, kwanini wao wasirudi na kujitoa mhanga, ili iwe kila siku tunaona dayaspora fulani alirudi kakiwasha wamepita nae ili tujue tuko pamaja nao?
 
Hao diaspora mnawaona kwasababu huko walipo sheria zinaruhusu uhuru wa maoni, hapa nchini kuna vikundi vingi sana kama ulikuwa hujui ila watu hawataki kujulikana

Anyway halikuwa dhumuni la posti hii,
 
Sasa hao wanaishi nje ya Tanzania halafu wanawaambia watu wajitoe mhanga, kwanini wao wasirudi na kujitoa mhanga, ili iwe kila siku tunaona dayaspora fulani alirudi kakiwasha wamepita nae ili tujue tuko pamaja nao?
Kwani wao wanatekwa? Wanatuambia sisi tunaotekwa.
 
Huu uzi naona kama uko misplaced
Waliokuwa misplaced ni unaowatetea kwa nguvu zako zote.Acha wale vitasa kidogo akili zirejee kwenye mihimili yake,ili hata waseme shikamoo haki.Sio kila siku wanatung'ong'a amani,amani huku gizani wanatuteka na kutubambikia kesi mchongo.
 
Hakuna cha nywi nywi nywi wala nini
Hakuna serikali duniani yenye kuendeshwa kwa maoni ya wananchi.
Wananchi watulie watawaliwe kwa amani wapate maendeleo sahihi.
Nadhani hujui maana ya neno serikali
 
Wasenge hao wa dayaspora wameshachoka kutawaza vizee wanawachochea nyumbu wakafe tena
Mtadharau na kushupaza Shingo badala ya kushtuka na kuchukua hatua za kutatua shida za wananchi! Mnadhani kuunda wizara ya vijana halafu inaongozwa na mzee wa miaka 42 ndio kutatatua shida zao? Acheni janja janja ya kung'ang'ania madaraka, wapeni wananchi haki yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka ama sivyo utawala wenu utakuwa wa shida!! ITAFIKA WAKATI WANANCHI WATAWAGOMEA KULIPA KODI hapo ndio mtajijua!! Jirekebisheni mapema msingoje muanze kubeba mitutu kukusanya kodi !!
 
Back
Top Bottom