Kwa mara ya kwanza, ITV yachakachua picha za video za Songea kumbeba JK Mbinga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mara ya kwanza, ITV yachakachua picha za video za Songea kumbeba JK Mbinga!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 12, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Leo jioni, katika hali inayodhihirisha kuporomoka kwa maadili ya uandishi wa khabari ITV katika taarifa ya habari yao saa mbili usiku walitumia picha za kampeni za JK za Songea ambako alifunika katika jitihada za kutuhadaa wateja wao kuwa hata Mbinga alifunika hivyo hivyo jambo ambalo siyo kweli hata kidogo.

  Katika mkutano wa Mbinga, Mheshimiwa Komba alionekana yupo karibu na mti ambao haupo kwenye uwanja wa Songea na umati wa Mbinga ulikuwa ni mdogo mno ukilinganishwa na ule wa Songea....Be honest ITV
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mimi nilishangazwa sana kuona uwanja wa mpira wenye majukwaa kwenye Wilaya tena mpya ya Nyasa nikaona kuwa Mbambabay wako mbele sana ingawa wanalia waunganishwe na Malawi kumbe ni usanii tu wa Wahandisi wetu wa habari na ITV. NAdhani MCT inatakiwa watoe karipio maana huku ni kuwadanganya Watanzania ili wakubali kuibiwa kura kwa ushindi wa kishindo wa CCM!
   
 3. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Du...ninyi ni kiboko. Hii ni pre emptive strike babu kubwa. Kama JF ndio ungekuwa uwanja wa kura ni wazi mngekuwa mmewazidi CCM na sasa mnasubiri ushindi wa kweli wa Rais Slaa na Waziri Mkuu Freeman Mbowe..

  Anyway, ukweli ni kuwa ule umati unatisha na kama ni kweli na sio kama unavyojaribu kuaminisha watu hapa, then ni wakati CHADEMA mkaacha kuji-overate..........

  Maana baadaye wakaonyesha ule wa Dr Slaa wa Mahambwe ambao ukiangalia umati umezidiwa na watoto wadogo...
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bwa ha ha ha, Hukutaka hata kueleza kuhusu picha za songea kutumika mbiga ila umehakikisha kuwa umeweka jina la Mbowe (kwa vile unadhani kuwa ni mmachame?) kwenye thread.

  Omar bana na chuki za kikabila unatisha.
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Yah, inawezekana ule umati umevunja rekodi kwa kuwa mliwabeba na malori waje kwenye mikutano, mkawahonga na tshirt, na baada ya hapo mkawagawia buku mbilimbili ili wafike kwenye mikutano. Pia, asilimia 93 ya wajumbe wa nyumba kumi ni wa CCM, kwa hiyo hao wote waliwahamasisha watu wao ili wahudhurie mikutano ya CCM.

  Lakini geukia upande wa pili, hakuna lori la kubeba mtu kuja kwenye mikutano, hakuna tshirt wala kofia, hakuna elfu mbili, lakini umati wake ni 3/4 ya ule wa JK. Sasa CCM mna lipi la kujivunia? Kwenu wanakuja kwa ajili ya vitu; mziki, tshirt, khanga, kofia, usafiri nk. Lakini CHADEMA wanakwenda kutokana na mapenzi yao kwa chama na Dr. Slaa.
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Omar fanya mfanyavyo safari hii mtakimbia kwa sasa tunatoa elimu ya uraia tu huku tulipo. Mtalia kilio cha kusaga meno.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  mengi hajui afayalo,atakuja juta baadae
   
 8. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sijui nikujibu?
   
 9. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wakati mnayasema haya muwe na uhakika kwanza jamani.......
   
 10. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Yep .... btw, wakati unatafuta la kujibu, mtaua wangapi mwaka huu ili "mshinde" uchaguzi?
   
 11. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  ITV na TBC 1 kuna mchezo mwingine wanaufanya.......hotuba za vyama vya upinzani wanazikata kwa makusudi...zinakuwa hazisikiki vizuri na hazionekani vizuri lakini hotuba za wagombea wa CCM zinakuwa na 'clarity' na kila pumba wanazoongea zinasikika vizuri kabisa.
   
 12. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama propaganda sasa zimekuwa elimu ya uraia then all the best..... Tangia lini elimu ya uraia ikatolewa wakati wa kampeni za uchaguzi na kutolewa na wapiga debe wa wagombea???
   
 13. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani inabidi mimi na wewe tuendeleze haya malumbano nje ya public eye...omarilyas@hotmail.com
   
 14. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Yes very true. Mimi nilikuwa Songea wiki iliyopita. Songea mjini Chadema imetawala. Wengi wa waliokuwa stadium waliletwa kwa magari.

  Udini unakusumbua wewe. Karibu kitimoto hapa Makongo. Au nitakuletea huko huko Morogoro.
   
 15. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bwa ha ha ha ... unataka kukimbia kwa vile nimekugusa nkumoyo.
  Mtaua watanzania wangapi (kama mlivyoanza huko musoma) ili "mshinde" uchaguzi huu?!
   
 16. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi wapi nilikataa kuwa katika mikutano ya CCM watu hawapelekwi na magari ama kupewa kofia na kanga. I am not that dumb. Lakini swali langu ni kuwa hayo hayafanyiki na CHADEMA? Chadema hawatoi kofia, t-shirts ama kuandaa magari kwa washabiki wao? I bet wangelikuwa na uwezo nao pia wasingesita kusomba watu na magari hata kuwapa posho....JUST KEEP THE FIRE AND WHEN U R TIME TO EAT COMES U WILL HAPPILY join the game

  Hivi mnadhani kuwa kwa sababu ninyi mmevutiwa na mgombea wenu kutokana na dini yake basi ni lazima wale wote wasiokubali ukombozi wake basi watakuwa wanasumuliwa na udini. Mara nyingi huwa nasema kuwa kuna watu wanakimbilia kuconclude kuwa wenzao ni wadini just kwa sababu nao wao wamegubikwa na fikira hizo na hivyo ni rahisi kwao kuamini kuwa kila mtu atakuwa hivyo. Nipo jamiiforum miaka mingi, I dare you ni wapi nimewahi kutoa statement ya udini.....

  Nijuavyo kwa mtu yeyote open minded akifuatilia michango yangu ataona kwa nini mimi nimethubutu kukataa huu ukombozi wa Dr Slaa na CHADEMA bila ya kujificha. Mnataka mpaka nianze kuandika makala ndio mtanielewa? If you want just dare me I can do it. But believe me that will be at ur candidate expense and the democratic movement as whole. Couse I have the skills and substance to make my case very clear and open the minds and hearts of those whom you would want to follow ur chosen MESSIAH blindly.

  Asante kwa kunikaribisha kiti moto, it shows how insensitive u r. Lakini pia kwa kukusaidia tu, lousy statements kama hizo zaweza kuwa zinakufurahisha roho yako kwa sasa lakini in the long run zinademage agenda yako...
   
 17. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Swali hilo nadhani ni vyema ukamuuliza Mbowe bingwa wa kutoa bastola mikutanoni pale hoja zinapomzidia....

  But stil... I am logging in my hotmail...karibu tafadhali
   
 18. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Umejijibu mwenyewe hapo, kwa sasa watu wanakwenda wenyewe kwenye mikutano ya chadema. CCM inalipa watu pesa kuhudhuria mikutano yake.

  Hiyo hapo juu ni statement ya udini.... teh teh teh

  Umemkataa Slaa kwa vile unafaidika (kwa sasa) na ufisadi wa ccm. Na kwa jinsi nikujuavyo, ccm ikitoka madarakani, utakuwa wakwanza kujikomba komba kwa chadema. Njaa tu ndio inakusumbua Omar (na udini, ukabila, etc) na hakuna zaidi.

  Sasa utakwenda kula kiti moto au la?! teh teh teh teh
  Btw, mchomaji wa kiti moto atakuwa kijana wa kimachame anaitwa ( ......jina kapuni)....teh teh teh
   
 19. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ulikuwepo kwenye mikutano ya Mbowe?

  ohh snap, nimekumbuka kuwa kuna wakati ulikuwa unajipendekeza pendekeza chadema (kwa kumtumia Zitto) ili uweze kula pande zote mbili (ccm na chadema).

  Ingekuwa mimi mbowe, nisingetoa bastola tu kisha nikuache hivi hivi, ningekuwasha mbili za masikio ili ukome unafiki wako .... teh teh teh
   
 20. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  teh teh teh
   
Loading...