Elections 2010 Kwa mara ya kwanza, ITV yachakachua picha za video za Songea kumbeba JK Mbinga!

ndio nimemaliza kuthibitisha hapa, Ni kweli picha imechakachuliwa.Shame on Itv.
 
ila imetushangaza hata sisi, hadi mwenzetu mmoja akadai eti ni Morogoro,uwanja wa Jamhuri!! maana hatukuelewa ati!!
 
Hivi wapi nilikataa kuwa katika mikutano ya CCM watu hawapelekwi na magari ama kupewa kofia na kanga. I am not that dumb. Lakini swali langu ni kuwa hayo hayafanyiki na CHADEMA? Chadema hawatoi kofia, t-shirts ama kuandaa magari kwa washabiki wao? I bet wangelikuwa na uwezo nao pia wasingesita kusomba watu na magari hata kuwapa posho....JUST KEEP THE FIRE AND WHEN U R TIME TO EAT COMES U WILL HAPPILY join the game

Hivi mnadhani kuwa kwa sababu ninyi mmevutiwa na mgombea wenu kutokana na dini yake basi ni lazima wale wote wasiokubali ukombozi wake basi watakuwa wanasumuliwa na udini. Mara nyingi huwa nasema kuwa kuna watu wanakimbilia kuconclude kuwa wenzao ni wadini just kwa sababu nao wao wamegubikwa na fikira hizo na hivyo ni rahisi kwao kuamini kuwa kila mtu atakuwa hivyo. Nipo jamiiforum miaka mingi, I dare you ni wapi nimewahi kutoa statement ya udini.....

Nijuavyo kwa mtu yeyote open minded akifuatilia michango yangu ataona kwa nini mimi nimethubutu kukataa huu ukombozi wa Dr Slaa na CHADEMA bila ya kujificha. Mnataka mpaka nianze kuandika makala ndio mtanielewa? If you want just dare me I can do it. But believe me that will be at ur candidate expense and the democratic movement as whole. Couse I have the skills and substance to make my case very clear and open the minds and hearts of those whom you would want to follow ur chosen MESSIAH blindly.

Asante kwa kunikaribisha kiti moto, it shows how insensitive u r. Lakini pia kwa kukusaidia tu, lousy statements kama hizo zaweza kuwa zinakufurahisha roho yako kwa sasa lakini in the long run zinademage agenda yako...

Mkuu Omar,

Mbona maneno na majigambo meeengi, si uandike tujue moja..., ila angalia usije ukajipinda kwenye Keyboard siku nzima na kuja na crap!

Dr. Slaa ataendelea kuwakosesha usingizi mpaka mkome!
 
Bwa ha ha ha, Hukutaka hata kueleza kuhusu picha za songea kutumika mbiga ila umehakikisha kuwa umeweka jina la Mbowe (kwa vile unadhani kuwa ni mmachame?) kwenye thread.

Omar bana na chuki za kikabila unatisha.

Sio kikabila ni udini
 
Omarlyas,
Mkuu wangu nadhani utakuwa hutufanyii haki sisi wapiga kura ikiwa wewe unafahamu vizuri mapungufu ya Dr.Slaa ambayo yanaweza kutupa picha halisi ya mgombea huyo kama umjuavyo. Sisis wengine tumemkubali kwa utashi wetu kutokana na juhudi zake ktk maswala nyeti yanayohusu maslahi ya Taifa letu hivyo kama mapungufu yake yanagusa nguvu yake hii inayompa sifa ya kupigania urasi mkuu wangu tunaomba utueleze wazi kwani ndio kati ya elimu ya Uraia. Utakuwa unatuelemisha kwa nini tusimchague Dr.Slaa..

Nje ya sifa alokuwa nazo ambazo zinambeba hadi daraja la juu ktk uongozi, nadhani hatuna haja ya kuzifahamu kwani wahenga wanasema, hakuna rais (kiongozi) aliyekuwa na sifa zote za Kibinadamu kama Hitler lakini alipopewa nafasi hiyo.... heeeee! Mungu pekee ndio anaweza mhukumu. Hata Mshikaji Zitto nilisikia mengi sana kumhusu yeye lakini hadi nilipokuwa karibu naye nilikuja tambua mengi mazuri ya kumwezesha yeye kuwa kiongozi mzuri pamoja na mapungufu ya kibinadamu alokuwa nayo. Abraham Lincorn alikuwa mmoja wa viongozi wenye sifa mbaya za kibidamu lakini he became one of the greatest leader of America. I can go on and on....

kwa hiyo naomba sana utujuze mapungufu ya Dr.Slaa ambayo wewe unaamini yanaweza kuondoa sifa zake za uongozi na pengine hata kumgharimu kura za wananchi kwa sababu nijuavyo mimi JK hapamti hata kwa nusu pamoja na kupewa muda wa kujifunza. Haya maswala ya dini mkuu wangu tunayaingiza sisi wenyewe kwani hakuna mahala Dr.Slaa amezungumzia udini hivyo kama ni washabiki wake wanaoleta udini na wewe ukaupokea kwa mkono wa kudhihirisha udini wao, kisha nawe utachukua side ya dini ili kupingana nao, inakuweka ktk kundi lao unless unachotetea ni dini na sio mtu.

Mkuu wanijua vizuri na hata siku moja hizi habari za Dr.Slaa Mkristu mara sijui JK ni Muislaam ukiziendekeza zinakupeleka ktk kundi la watu wenye fikra finyu. Fikra ambayo inakufanya wewe msomi kumchagua rais wako kwa sababu ya dini yake hata kama unajua fika kwamba JK hakufai pamoja na kuwa Muislaam. Nitarudia kusema JK ni rais wetu sote - wapende wasipende na wanajua fika alichaguliwa sii kwa dini yake kwani alishinda uchaguzi wa mwaka 2005 bila kusikia wakristu wakidai kwa hoja za dini yake kama CCM wanavyofanya leo kwa Dr.Slaa..

Tunajua wazi kwamba JK alizungumzwa sana kwa kundi lake la Mtandao ambalo ndio jamii aloichagua na sii Uislaam kwani hakusimamia Uislaam kiasi kwamba unaweza kumtetea kwa hilo hata kama..Kwa hiyo acha waseme wanayotaka kusema maadam hakuna ukweli sidhani kama wewe unaweza kuwa mtetezi au shuhuda wa mtu yeyote ktk imani ya dini isipokuwa yourself.

Chuki ya wananchi kwa JK haiwezi kufichika ktk udini na wala haina kinga kwa sababu JK mwenyewe ameshindwa kuongoza nchi, hata kutetea mtu/watu walomleta mjini lakini mwepesi kutetea Mafisadi waliofanya mabaya zaidi kwake, mtu wake pamoja na maslahi ya Taifa zima kwa sababu tu ya fedha na umaarufu...Mtu wa aina hii vigumu sana kuweza kumtetea ingawa kafanya mazuri yasiyoweza kuonekana kutokana na mabaya mengi. You better let it go brother...let it be..
 
Hivi mnadhani kuwa kwa sababu ninyi mmevutiwa na mgombea wenu kutokana na dini yake .........

................ ur chosen MESSIAH blindly.

...

Hivi kumbe chuki yote hii uliyonayo kwa Slaa ni kwa sababu ya dini yake??!! Unbeliavable kwa mtu unaetaka ueleweke tofauti.
Kwa hiyo unataka kusema hapa kwamba Watanzania wote wanaom- support Slaa ni Wakristo tu.... na Waislamu hawamtaki?
 
Swali hilo nadhani ni vyema ukamuuliza Mbowe bingwa wa kutoa bastola mikutanoni pale hoja zinapomzidia....

But stil... I am logging in my hotmail...karibu tafadhali

hivi omariyas huyu si ndo yule alitukimbia UDSM tukiwa na mgomo wa kudai nyongeza ya pesa za kujikimu akiwa speaker wa DARUSO, then Zitto kaendesha mgomo ambapo tulifanikiwa kuongezwa posho toka 2000 hadi 2500 au nachanganya majina?
 
Kwa songea mjini watu kujaa ni halali bse wanasombwa toka namtumbo,mbinga,tunduru etc
Ila kwa Mbambabay ile ilikuwa changa la macho watu wa kule sidhani kama wengi kiasi kile.
Mbaya zaidi mkutano ulifanyika ufukweni sasa uwanja uko wapi?ITV nami iyo niliiona jana ila sikuwa makini
 
Hivi wapi nilikataa kuwa katika mikutano ya CCM watu hawapelekwi na magari ama kupewa kofia na kanga. I am not that dumb. Lakini swali langu ni kuwa hayo hayafanyiki na CHADEMA? Chadema hawatoi kofia, t-shirts ama kuandaa magari kwa washabiki wao? I bet wangelikuwa na uwezo nao pia wasingesita kusomba watu na magari hata kuwapa posho....JUST KEEP THE FIRE AND WHEN U R TIME TO EAT COMES U WILL HAPPILY join the game

Hivi mnadhani kuwa kwa sababu ninyi mmevutiwa na mgombea wenu kutokana na dini yake basi ni lazima wale wote wasiokubali ukombozi wake basi watakuwa wanasumuliwa na udini. Mara nyingi huwa nasema kuwa kuna watu wanakimbilia kuconclude kuwa wenzao ni wadini just kwa sababu nao wao wamegubikwa na fikira hizo na hivyo ni rahisi kwao kuamini kuwa kila mtu atakuwa hivyo. Nipo jamiiforum miaka mingi, I dare you ni wapi nimewahi kutoa statement ya udini.....

Nijuavyo kwa mtu yeyote open minded akifuatilia michango yangu ataona kwa nini mimi nimethubutu kukataa huu ukombozi wa Dr Slaa na CHADEMA bila ya kujificha. Mnataka mpaka nianze kuandika makala ndio mtanielewa? If you want just dare me I can do it. But believe me that will be at ur candidate expense and the democratic movement as whole. Couse I have the skills and substance to make my case very clear and open the minds and hearts of those whom you would want to follow ur chosen MESSIAH blindly.

Asante kwa kunikaribisha kiti moto, it shows how insensitive u r. Lakini pia kwa kukusaidia tu, lousy statements kama hizo zaweza kuwa zinakufurahisha roho yako kwa sasa lakini in the long run zinademage agenda yako...

Naona anakukaribisha wewe pekee kiti moto unakasirika kwamba he/she is insentive. Twende tukabugie maana napenda sana nyama hiyo bila uficho
 
Omarlyas,
Mkuu wangu nadhani utakuwa hutufanyii haki sisi wapiga kura ikiwa wewe unafahamu vizuri mapungufu ya Dr.Slaa ambayo yanaweza kutupa picha halisi ya mgombea huyo kama umjuavyo. Sisis wengine tumemkubali kwa utashi wetu kutokana na juhudi zake ktk maswala nyeti yanayohusu maslahi ya Taifa letu hivyo kama mapungufu yake yanagusa nguvu yake hii inayompa sifa ya kupigania urasi mkuu wangu tunaomba utueleze wazi kwani ndio kati ya elimu ya Uraia. Utakuwa unatuelemisha kwa nini tusimchague Dr.Slaa..

Nje ya sifa alokuwa nazo ambazo zinambeba hadi daraja la juu ktk uongozi, nadhani hatuna haja ya kuzifahamu kwani wahenga wanasema, hakuna rais (kiongozi) aliyekuwa na sifa zote za Kibinadamu kama Hitler lakini alipopewa nafasi hiyo.... heeeee! Mungu pekee ndio anaweza mhukumu. Hata Mshikaji Zitto nilisikia mengi sana kumhusu yeye lakini hadi nilipokuwa karibu naye nilikuja tambua mengi mazuri ya kumwezesha yeye kuwa kiongozi mzuri pamoja na mapungufu ya kibinadamu alokuwa nayo. Abraham Lincorn alikuwa mmoja wa viongozi wenye sifa mbaya za kibidamu lakini he became one of the greatest leader of America. I can go on and on....

kwa hiyo naomba sana utujuze mapungufu ya Dr.Slaa ambayo wewe unaamini yanaweza kuondoa sifa zake za uongozi na pengine hata kumgharimu kura za wananchi kwa sababu nijuavyo mimi JK hapamti hata kwa nusu pamoja na kupewa muda wa kujifunza. Haya maswala ya dini mkuu wangu tunayaingiza sisi wenyewe kwani hakuna mahala Dr.Slaa amezungumzia udini hivyo kama ni washabiki wake wanaoleta udini na wewe ukaupokea kwa mkono wa kudhihirisha udini wao, kisha nawe utachukua side ya dini ili kupingana nao, inakuweka ktk kundi lao unless unachotetea ni dini na sio mtu.

Mkuu wanijua vizuri na hata siku moja hizi habari za Dr.Slaa Mkristu mara sijui JK ni Muislaam ukiziendekeza zinakupeleka ktk kundi la watu wenye fikra finyu. Fikra ambayo inakufanya wewe msomi kumchagua rais wako kwa sababu ya dini yake hata kama unajua fika kwamba JK hakufai pamoja na kuwa Muislaam. Nitarudia kusema JK ni rais wetu sote - wapende wasipende na wanajua fika alichaguliwa sii kwa dini yake kwani alishinda uchaguzi wa mwaka 2005 bila kusikia wakristu wakidai kwa hoja za dini yake kama CCM wanavyofanya leo kwa Dr.Slaa..

Tunajua wazi kwamba JK alizungumzwa sana kwa kundi lake la Mtandao ambalo ndio jamii aloichagua na sii Uislaam kwani hakusimamia Uislaam kiasi kwamba unaweza kumtetea kwa hilo hata kama..Kwa hiyo acha waseme wanayotaka kusema maadam hakuna ukweli sidhani kama wewe unaweza kuwa mtetezi au shuhuda wa mtu yeyote ktk imani ya dini isipokuwa yourself.

Chuki ya wananchi kwa JK haiwezi kufichika ktk udini na wala haina kinga kwa sababu JK mwenyewe ameshindwa kuongoza nchi, hata kutetea mtu/watu walomleta mjini lakini mwepesi kutetea Mafisadi waliofanya mabaya zaidi kwake, mtu wake pamoja na maslahi ya Taifa zima kwa sababu tu ya fedha na umaarufu...Mtu wa aina hii vigumu sana kuweza kumtetea ingawa kafanya mazuri yasiyoweza kuonekana kutokana na mabaya mengi. You better let it go brother...let it be..

Hili ni neno lenye uzito.

Ndugu Omarilyas kama unajua mapungufu ya kiuongozi ya Slaa, utuwekee hapa jamvini. Tunahitaji kujuzwa ili tusichague kasa.

Mimi binafsi siamini kama JK ni mdini. But I hate the guy. He is a bogus president.
 
Kuna mwanamemba mwenzetu FMES ambaye hizi hoja anazitoleaga uvivu.
Yupo wapi?
tunammiso jukwaani
 
Anaganga makovu ya kura za maoni za sisi m kule kwenye jimbo moja la Dodoma. Tulimshauri kwenye thread moja ya zamani kabla ya kura hizo za maoni kwamba asiweke mguu kule maana kuna kijana kaja juu, yeye akawa anamkashifu yule kijana kuwa hajakwenda shule sijui nini mara ohhhhhh kapigwa chini na huyo huyo ambaye hakwenda shule chini puuuuuuuuuuuu. Bado vidonda havijapoana na sasa nilimuona juzi juzi anaanza kujikongoja kwa fimbo, uenda akatokeza kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom