OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
Mwenye dhamana hiyo ni serikali ya JK, and the bucks stops with him.Kuhusu hayo maneno,nimesikia humu members wakisema,kila mtu anafahamu kuwa udini ulitumika kwenye kampeni yake ya urais na bado unatumika kwenye kuendesha nchi.Kama yamemshinda aachie ngazi na si kutuletea machafuko ya kidini.Watanzania ni kama ndugu,na adui yetu alikuwa na bado inatakiwa awe ccm na mafisadi wake bila kujali ni wa dini gani.Mbinu hii ya udini ni ya mafisadi wa ccm ili kutugawa wasiondolewe madarakani.
Cant we avoid generality and pin down issues