Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka wakati wa urais wa mkapa,waislam waliichukia sana serikali na mkapa kuwa ni wadini na wanaendesha nchi kikristo,sasa kikwete nae anachukiwa na wakristo kwa tuhuma zile zile kuwa anaendesha nchi kuwapendelea waislam.huu ubaguzi ni mbaya sana na mimi binafsi huwa siamini ujinga huo.tatizo hatupendani.tunachukiana kwa majina.john hampendi juma na ally hampendi yohana.turudi katika misingi ya taifa letu tusibaguane
 
udini hapa nchini umeasisiwa rasmi na chadema katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.mapadre,wachungaji na viongozi wengine wa makanisa walifanya kampeni za wazi wazi kuipigania chadema.uzuri huko huko makanisani kuna wazalendo wanaoipenda nchi yao tanzania.ndio wanaoyasema kwa kuwa ni ya kibaguzi na wao hawapendi ubaguzi
Udini wa sasa umechangiwa na kampeni za uchaguzi za 2015?ama ulimaanisha 2010?
 
Nakumbuka wakati wa urais wa mkapa,waislam waliichukia sana serikali na mkapa kuwa ni wadini na wanaendesha nchi kikristo,sasa kikwete nae anachukiwa na wakristo kwa tuhuma zile zile kuwa anaendesha nchi kuwapendelea waislam.huu ubaguzi ni mbaya sana na mimi binafsi huwa siamini ujinga huo.tatizo hatupendani.tunachukiana kwa majina.john hampendi juma na ally hampendi yohana.turudi katika misingi ya taifa letu tusibaguane
Tatizo la udini kama huu lilikuwepo pia wakati wa Mkapa?sikumbuki hizi chuki kufikia kipimo hiki.Hapa JK amelaumiwa kuendesha nchi kiislam?ama hujasoma mada vyema ukaielewa?

Ushauri ulioutoa ni mzuri endapo na wewe pia utauzingatia.Ni muhimu kuwaelimisha wenziyo kuhusu umuhimu huo wa kuwa taifa moja la watanzania.

Kama unaona nchi inaendeshwa kikristo,basi elezea ni kwa namna gani.Matatizo hutatuliwa kwa majadiliano na si kwa kupandikiza chuki ama utake imani yako kuwa superior.Tujijengee utaratibu wa kuheshimiana kama watanzania wenye malengo sawa.

Nina uhakika yanayotuunganisha ni mengi zaidi ya yale yanayotutenganisha.Ni vyema tukatafakari na kuweka kipaumbele kwenye yale yenye kutu unite.
 
Wakati umekazania sana kudai kwamba Waislamu wanataka mambo yao yaendeshe na serikali; je, unaweza ukataja jambo la Kiislamu ambalo kwa sasa linaendeshwa na serikali?! Umetaja Mahakama ya kadhi; hivi ni mahakama gani duniani ambayo inaweza kutenda haki bila kuwa na enforcement toka serikalini?! Ngoja nikupe mfano mdogo.....Assume wewe ni Muislamu na umeoa Muislamu. Mara baada ya kufunga ndoa, umauti ukakukuta tena hata kabla hujawahi kulala na mke wako! Kwa mujibu wa Uislamu, mke huyo ana haki zote za kurithi mali zako hata kama hujawahi kumvua ch..pi! Sasa ktk dunia hii ya leo, Mahakama ya kadhi iseme mke ana haki ya kurithi, unafikiri ndugu wa marehemu wasio na ujuzi na dini watakuwa tayari kuona mke ambae hata ndani hakuwahi kuingia leo hii anapata haki ya urithi?! Sasa kama Mahakama ya Kadhi isipotambulika kisheria, ni nani anaweza kusimamia haki za mke kama huyo wakati mahakama ya kadhi haina meno?!

Yaani sio siri, baada ya kukusoma kwa makini, ndipo nimegundua nawe ni wale wale akina jmushi1.....najisikia aibu kujiingiza kwenye malumbano ya "sisi wengi, wao wachache"
Mahakama ya nchi itasimamia haki hizo kama mmeshindwa kukubaliana kwenye mahakama ya kadhi. Na je ikimpata mkristo atasimamiwa na mahakama gani? Nnachotaka kukuambia mambo ya kidini ni ya hiari si ya lazima. Huwezi kutaka nguvu ya serikali ili kulazimisha mambo ya kidini. Kama hamkukubaliana kwa kutowepo uhiari kuna mahakama ya nchi itakayolazimisha upande unaotakiwa kuchukua hatua kufanya hivo nk.
 
nafikiri muflisi wa mawazo ni wewe. Hiki alichokileta jmushi1 ni ukweli mtupu. Haihitaji elimu ya chuo kikuu kujua kwamba nchi yetu sasa inakabiliwa na tishio la mgawanyiko wa kidini unaopaliliwa na ccm na rais wake. Ni lini tumeona wahuburi wa kiislamu wakizunguka nchi nzima kueneza chuki za kidini? Haikuwa baada ya uchaguzi uliopita ambao ulionekana wazi jk alishindwa kisha watu wakataka kumsusia kama rais na kwamba urais wake si halali? Kuliibuka wahubiri nchi nzima wakihubiri dhidi ya mfumo ukristo kuwa unatawala nchi. Chama cha cdm ambacho kilikuwa kinaongoza mapambano ya kumkataa rais hasa pale walipotoka bungeni alipohutubia kwa mara ya kwanza wakawa kiini cha mahubiri hayo na kwamba wanampiga vita jk kwa kuwa ni mwislamu? Huu ujinga ulikuwa unamfaidisha nani? Ikafika hatua ya kukashifu muasisi wa taifa hili jk nyerere kwenye majukwaa hayo na hata jf waliingiza thread za huo upumbavu kwa wingi. Nani alifadhili huo ujinga na kwanini uachiwe wakati unaeneza propaganda za uongo na kuleta mgawanyiko wa kitaifa? Jk angekuwa mzalendo kama angejitokeza wazii na kukemea huo upuuzi na kuwataka wasitumie jina lake kwenye majukwaa lakini alikaa kimya kwa kuwa walikuwa watu wake pengine.
Ni nani aliyenza kuleta mgawanyiko kuanza kuita vyama fulani vya wakristo na uchaga? Je ukieneza hiyo propaganda wakati unajua ni hatari kwa mustakabali wa kitaifa na siyo kweli hivi kama kiongozi wa nchi unaunganisha nchi au unagawanya nchi ili tu wajinga watakaokuamini wakupigie kura au wakuamini na kuhalalisha uwepo wako madarakani?
Mimi sikuamini kwamba huyu jk ni mdini hasa watu walipomtuhumu kuwa anafanya uteuzi kwa kuzingatia kuwaweka waislamu kwenye nafasi pasipo kuzingatia sifa za watu lakini nilipoona kundi la watu wakizunguka na kuhubiri mfumo ukristo, chuki dhidi ya cdm na hata kufikia kumdhalilisha baba wa taifa hata kumuita baba wa wakristo hadharani nilijua huyu mkubwa ni mdini kama alshabaab.

nenda kapimwe akili
 
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.

Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.

Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)

Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.

Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.

Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....
Kwanza kabisa nakupongeza kwa kupost mada inayoonyesha hisia zako kwamba na wewe ni mdini tena wa kutupwa, mm nafikiri unapoliangalia tatizo lazima ujue mzizi wake ili uweze kulimaliza vinginevyo unaweza ukawa unabweka kama nguruwe. kwanza kabisa chimbuko la udini wa watanzania ni wakatoliki why? waislam walipodai kujiunga na OIC na kudai mahakama ya kadhi kwa mujibu wa ahadi ya serikali ya CCM maaskofu walikuja juu na kutoa tamko kwamba waislam wakipatiwa madai yao basi lazima damu itamwagika, wakati wao wana mikataba na serikali hiyox2 ya kutafuna kodi za wananchi wote kama MOU, vile vile wao wamejiunga na jumuiya za kimataifa ambazo zipo chini ya papa na balozi anayemwakilisha papa yupo Tz, Tatu, wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 maaskofu walifanya kila njia kupiga kampeni makanisani kutomchagua kikwete kwa sababu ni muislamu, na hilo lilidhihirishwa na kauli za viongozi wa dini ya kikatoliki kama kina mapengo hata pale kiongozi wa nchi alipoomba viongozi wa dini kupiga vita madawa ya kulevya, mapengo alimshupalia kiongozi wa nchi kwamba asiwasumbue na anawaombe radhi kuongea mambo kanisani kwao. hii ni kudhihirisha udini wa mapengo mdhalam makaveli. kwa hiyo unapoongelea kuwa kikwete ni mdini hasa kwa lipi, kama anaweza kupiga vita madawa ya kulevya watu wanampinga, sasa hata akiongea kuhusu hili unaloliona wewe kwa jicho moja tu la ukatoliki na kumuona kikwete ndo mkosaji lkn kina mdhalimu makadiyali mapengo sio wakosaji, wewe si unaonekana mkereketwa tu wa kikatoliki, mimi nafikiri ukiwa mkweli basi unatakiwa upost mada fairly sio kiukereketewa. Pole sana mwanaharakati ambae ni biased.
 
nenda kapimwe akili
ni kwaeli wakuziba anatakiwa akazibe akili hivi aliyeanza choko choko za udini ni nani>? hasa, soma hapa upate uelewa: Kwanza kabisa nakupongeza kwa kupost mada inayoonyesha hisia zako kwamba na wewe ni mdini tena wa kutupwa, mm nafikiri unapoliangalia tatizo lazima ujue mzizi wake ili uweze kulimaliza vinginevyo unaweza ukawa unabweka kama nguruwe. kwanza kabisa chimbuko la udini wa watanzania ni wakatoliki why? waislam walipodai kujiunga na OIC na kudai mahakama ya kadhi kwa mujibu wa ahadi ya serikali ya CCM maaskofu walikuja juu na kutoa tamko kwamba waislam wakipatiwa madai yao basi lazima damu itamwagika, wakati wao wana mikataba na serikali hiyox2 ya kutafuna kodi za wananchi wote kama MOU, vile vile wao wamejiunga na jumuiya za kimataifa ambazo zipo chini ya papa na balozi anayemwakilisha papa yupo Tz, Tatu, wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 maaskofu walifanya kila njia kupiga kampeni makanisani kutomchagua kikwete kwa sababu ni muislamu, na hilo lilidhihirishwa na kauli za viongozi wa dini ya kikatoliki kama kina mapengo hata pale kiongozi wa nchi alipoomba viongozi wa dini kupiga vita madawa ya kulevya, mapengo alimshupalia kiongozi wa nchi kwamba asiwasumbue na anawaombe radhi kuongea mambo kanisani kwao. hii ni kudhihirisha udini wa mapengo mdhalam makaveli. kwa hiyo unapoongelea kuwa kikwete ni mdini hasa kwa lipi, kama anaweza kupiga vita madawa ya kulevya watu wanampinga, sasa hata akiongea kuhusu hili unaloliona wewe kwa jicho moja tu la ukatoliki na kumuona kikwete ndo mkosaji lkn kina mdhalimu makadiyali mapengo sio wakosaji, wewe si unaonekana mkereketwa tu wa kikatoliki, mimi nafikiri ukiwa mkweli basi unatakiwa upost mada fairly sio kiukereketewa. Pole sana mwanaharakati ambae ni biased.
 
Kongosho,nimekupata sawia,umesema kuhusu finger pointing,je kama tumemgundua mtu mdini anayeharibu taifa letu unataka tufanyeje?kumbuka 2015 ni mbali sana kwa utaratibu huu sidhani kama tutafika salama.Kwasababu ni wazi uchu wa madaraka na kujikinga dhidi ya wananchi wanaopinga ufisadi.Kiongozi mkuu wa ccm na serikali anatumia dini ili apate supporters,kwasbabu hakna mtanzania bila kujali dini anayefurahishwa na ufisadi labda awe ananufaika nao.Wale wasionufaika,wamekamatwa kwa jina la uislam vs ukristo!tufanyeje kabla ya 2015 kama tuko serious? Ndo maana kwenye bandiko la kwanza nilimalizia kwa kusema "tufanyeje?ama ndo tumeridhika"?

Tatizo ni uhuru mkubwa wa kujieleza tuliopewa,Kila mtu mjuaji wa kutoa tuhuma hata kama ushahidi usio na shaka hanao!
 
Basi usijali sana
wacha kulia kilio chako kimesikika,tutampa padre slaa 2015 kufidia hii,,ok?haya stop cryn twende tukalijenge taifa sasa
 
Siku zote wa Tz ni watu wa kulalama tu. Kuanzia Serikali, Rais, wabunge na hata wananchi wa kawaida. Hakuna hata mtu wa kufikiri kwa kina na kutafuta jawabu la malalamiko yao. Inasikitisha sana.

Kwa hili nafikiri mtatafuta mchawi lakin tatizo ni mfumo wa uwendeshaji wa nchi yenu na solution hapa ni kutoa fursa sawa kwa imani zote katika shughuli za Serikali. Hii itaondoa imani moja kujiona superior zaidi ya nyingine.
 
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.

Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.

Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)

Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.

Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.

Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....

Hilo halina ubishi kuhusu udini alionao Jk. Haiwezekani dini yake iwe kila kukicha inatoa matamko yenye mrengo wa kidini halafu yeye yu kimya . Nchi inaendeshwa utafikiri haina serikali sababu ya ubinafsi na udini aliona kiongozi mkuu wa nchi.
 
Siku zote wa Tz ni watu wa kulalama tu. Kuanzia Serikali, Rais, wabunge na hata wananchi wa kawaida. Hakuna hata mtu wa kufikiri kwa kina na kutafuta jawabu la malalamiko yao. Inasikitisha sana.

Kwa hili nafikiri mtatafuta mchawi lakin tatizo ni mfumo wa uwendeshaji wa nchi yenu na solution hapa ni kutoa fursa sawa kwa imani zote katika shughuli za Serikali. Hii itaondoa imani moja kujiona superior zaidi ya nyingine.
Huko Qatar mmetoa fursa sawa?maana naona unadharau watanzania,charity begins at home.Wewe kama JK na wafuasi wake mnaamini hayo ya mfumo Kristo ndo maana unadai eti mfumo wa serikali?wewe ungependelea mfumo gani ili uridhike?
 
Basi usijali sana
wacha kulia kilio chako kimesikika,tutampa padre slaa 2015 kufidia hii,,ok?haya stop cryn twende tukalijenge taifa sasa
You could've been serious on this serious matter,mawazo yanakaribishwa na si *****.Umeelewa?
 
Tatizo ni uhuru mkubwa wa kujieleza tuliopewa,Kila mtu mjuaji wa kutoa tuhuma hata kama ushahidi usio na shaka hanao!
uhuru tuliopewa wa kulifungia mwanahali(kwasababu Ulimboka alitumwa na kanisa),ama ni uhuru wa kuwaachia waendelezaji udini kama kina Ponda,al noor,sauti na wengineo?
 
ni kwaeli wakuziba anatakiwa akazibe akili hivi aliyeanza choko choko za udini ni nani>? hasa, soma hapa upate uelewa: Kwanza kabisa nakupongeza kwa kupost mada inayoonyesha hisia zako kwamba na wewe ni mdini tena wa kutupwa, mm nafikiri unapoliangalia tatizo lazima ujue mzizi wake ili uweze kulimaliza vinginevyo unaweza ukawa unabweka kama nguruwe. kwanza kabisa chimbuko la udini wa watanzania ni wakatoliki why? waislam walipodai kujiunga na OIC na kudai mahakama ya kadhi kwa mujibu wa ahadi ya serikali ya CCM maaskofu walikuja juu na kutoa tamko kwamba waislam wakipatiwa madai yao basi lazima damu itamwagika, wakati wao wana mikataba na serikali hiyox2 ya kutafuna kodi za wananchi wote kama MOU, vile vile wao wamejiunga na jumuiya za kimataifa ambazo zipo chini ya papa na balozi anayemwakilisha papa yupo Tz, Tatu, wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 maaskofu walifanya kila njia kupiga kampeni makanisani kutomchagua kikwete kwa sababu ni muislamu, na hilo lilidhihirishwa na kauli za viongozi wa dini ya kikatoliki kama kina mapengo hata pale kiongozi wa nchi alipoomba viongozi wa dini kupiga vita madawa ya kulevya, mapengo alimshupalia kiongozi wa nchi kwamba asiwasumbue na anawaombe radhi kuongea mambo kanisani kwao. hii ni kudhihirisha udini wa mapengo mdhalam makaveli. kwa hiyo unapoongelea kuwa kikwete ni mdini hasa kwa lipi, kama anaweza kupiga vita madawa ya kulevya watu wanampinga, sasa hata akiongea kuhusu hili unaloliona wewe kwa jicho moja tu la ukatoliki na kumuona kikwete ndo mkosaji lkn kina mdhalimu makadiyali mapengo sio wakosaji, wewe si unaonekana mkereketwa tu wa kikatoliki, mimi nafikiri ukiwa mkweli basi unatakiwa upost mada fairly sio kiukereketeni kwwa. Pole sana mwanaharakati ambae ni biased.
ni kweli inawezekana kwenda kwenye shughuli aliyoalikwa na maaskofu kuhutubia na hapo hapo akawaita wauzaji wa madawa ya kulevya siyo udini...
 
Huko Qatar mmetoa fursa sawa?maana naona unadharau watanzania,charity begins at home.Wewe kama JK na wafuasi wake mnaamini hayo ya mfumo Kristo ndo maana unadai eti mfumo wa serikali?wewe ungependelea mfumo gani ili uridhike?
.

Lugha za kejeli za nini bro!

Kumbuka kuwa hakuna hata siku moja dhulma inaweza kudumu daima. Ila siku zote ukweli unasimama.

Na kama hu msomi na unafuatilia mtiririko wa nchi yako hususan upande wa Tanganyika utaliona hilo. Nakushauri soma kitabu cha Padre Silvalon kinachoitwa " Kanisa Katoliki na siasa za Tz bara 1953 mpaka 1985. Utajifunza mengi sana.

Labda nikujuze kidogo tu hapa. Huko Tanzania Wakatoliki ni tofauti na wakristo wengine. Kwa maana wakatoliki wanatambuliwa kiupekee kabisa na makanisa mengine yanatambuliwa kwa upamoja
wao. Ukitaka kujua hilo review sharehe za kuapishwa rais wenu utaoliona hilo. Nikuulize je unajuwa kwanini?

 
.

Lugha za kejeli za nini bro!

Kumbuka kuwa hakuna hata siku moja dhulma inaweza kudumu daima. Ila siku zote ukweli unasimama.

Na kama hu msomi na unafuatilia mtiririko wa nchi yako hususan upande wa Tanganyika utaliona hilo. Nakushauri soma kitabu cha Padre Silvalon kinachoitwa " Kanisa Katoliki na siasa za Tz bara 1953 mpaka 1985. Utajifunza mengi sana.

Labda nikujuze kidogo tu hapa. Huko Tanzania Wakatoliki ni tofauti na wakristo wengine. Kwa maana wakatoliki wanatambuliwa kiupekee kabisa na makanisa mengine yanatambuliwa kwa upamoja
wao. Ukitaka kujua hilo review sharehe za kuapishwa rais wenu utaoliona hilo. Nikuulize je unajuwa kwanini?

lugha za kejeli umeanzisha wewe.Sasa mkuu unataka kusema kwamba serikali hii anayoiendesha JK inafuata mfumo wa kikatoliki?ama sijakuelewa?Kilitokea kitu gani hapo wakati wa JK kuapishwa?

Kwa kuwa hapa tunaelimishana,na wewe umekisoma kitabu hicho,je unaweza kusummerize dondoo zake ili nipate kukuelewa vyema?

Na pia utofauti kwenye madhehebu ya wakristo ni sawa tu na ulioko kwenye uislam ambako kuna wale "sufi",shiite na sunni.Hao wanatofauti pia,so wawe treated the same?they don't even get along na wanauwana utadhani si wote si waislam.Nasubiri kuelemishwa,ila dini yenye amani haitakiwi kuendeleza haya mkuu.Nasubiri elimu.
 
Ndugu Mkandara,

Hivi watu kuhamia sehemu kunaweza kujulikana tu watu wakiulizwa dini zao? Watoto wakiwa wengi serikali itapanga maendeleo kama huduma za afya na uzazi, mipango ya badae ya kujenga shule kulingana na idadi hiyo. Je, ikipata wapagani ni wengi zaidi itapanga mipango ya kuwapelekea misikiti na makanisa?
Ukweli ni kuwa popote walipo ndugu zetu waislamu watadai kufanyiwa vitu ambavo zinapaswa kufanywa na dini badala ya serikali hii ni kwa kuwa secularism kwa waislamu ni msamiati. Badala ya kutenga huduma au mambo yao na serikali watataka huduma nyingi zitoke serikalini au ziwe katika mfumo wa serikali. Huu mfumo unawezekana tu ambapo watu au waislamu ni wengi hivyo akili zao ziko sawa kidini na njia hiyo ya kuendesha serikali. Ni mfumo ambao ni wa ajabu kabisa lakini kwao uko sahihi. Nafikiri kwa idadi yoyote ambayo wangepata kwenye sensa wangeanza kudai haki za kuhudumiwa na serikali kwa huduma ambazo zinapaswa kuwa za kidini kama mahakama ya kadhi.
Mimi siamini waislamu ni wengi nchi hii hata nikichukua ramani ya Tanzania niiweke mkononi mwangu halafu nianze kuanisha maeneo ambako kuna waislamu. Ndio si kidogo lakini ni sehemu ndogo tu kulinganisha na maeneo walipotapakaa wakristo. Huko kwetu ukienda watu ambao hawajatembelea mjini hawajui kuna dini inaitwa uislamu labda kwa sasa kwa kuwa mawasiliano yapo kwa wingi. Nilitamani serikali ifanye hiyo sensa ili waislamu wajue ukweli kuwa ni wachache. Lakini najua hilo lisingeishia hapo. Swali; Wangekubali ni wachache? Wasingeanzisha malumbano mengine?
Na kwasababu Mkandara hujajibu swali la Jmushi1. Mimi naliuliza tena hilo swali; Serikali ikishajua waislamu, wakristo au wapagani ni wangepi inakuwaje? Inasaidia nini serikali? Inatusaidia nini watanzania katika kusukuma gurudumu la maendeleo?
Bado akili yako inafikiri kwamba kazi ya serikali ni kugawa vipande vya mkate kulingana na hesabu ya watu wake na ndio ndio maana tunahitaji sensda ya kuhesabu vichwa vya watu.. Tatizo lako bado huelewi nini umuhimu wa sensa ktk nchi ya Kibepari na zinafanyika kila nchi wakijua hesabu ya WATU wote kwa matabaka yao waishio nchi zao na sii kuhesabiwa kama machungwa.

Nitarudia kusema serikali haipeleki maendeleleo kwa wananchi bali inaanda mipango ya maendeleo kwa WATU wake wenye tofauti zao kulingana na mfumo uliopo (Kibepari). Na kibaya zaidi mnachanganya sana kati ya kupelekea maendeleo kwa wananchi jambo ambalo lilikuwa likifanywa wakati wa Nyerere na Ujamaa na Kujitegemea tofauti na sasa ambapo ni kazi ya usambazaji maendeleo ni jukumu la wananchi (WATU) ndio wanaofungua miradi ya maendeleo kwa jamii hizo kwa kuwezeshwa (polcies) na serikali yao.

Leo hii nenda Canada, marekani au UK waulize kuna watanzanioa wangapi waiajua hesabu. Kuna waislaam wangai wanajua, kuna Jews wangapi, Shikh, na hata Baniani wanajua na jamii zenyewe wamewezeshwa kujipenyeza ktk ujenzi wa taifa hilo bila kukwazwa na sera au ilani. Kw akuelewa umuhim wa jamii hizo viongozi hupenda kujua maswala ya mila, tamaduni na ibada zao kuwawezesha zaidi kuwa huru na kupewa haki wanayostahili kuishi nchi hizo. Hivyo sio swala la WINGI hakuna mtu anayetaka kujua wingi wa wahusika bali nafasi zao ktk jamii zetu iwe Ukerewe au Kariakoo na hii ndio maana na umuhimu wa neno DIVERSITY ktk Utaifa.

Hivyo sensa sio swala la serikali kujua wingi wa watu wake, hapa hatupo ktk mandalizi ya Harusi. Tunapoalikwa kwenye sherehe kuulizana tutakuwa na wageni wangapi ili kufanya maandalizi ya ukumbi, viti na sahani za chakula. Sisi wananchi sio receiving end bali ni wahusika wa maandalizi na upelekaji wa wamendeleo hayo, sensa inatusaidia sisi wote kujuana na sio kufichana ukweli ktk makusanyo ya nguvu kazi na uwekezaji. Report ya sensa sio kwa ajili ya serikali pekee bali ni pamoja na jamii zetu kwa kupitia asasi na wadau wake kujihusisha na upelekaji wa huduma hizo kwa wananchi wake. Ni kutokana na sensa kama hizi OIC, Vatican, AghaKhan, Jews pamoja na benki za nje zimekuwa na interest ya kuwekeza ama kutoa misaada nchini.

Kutokuwepo kwa ukweli ktk sensa zetu za mfumo kristu, mfumo wa kikoloni ambao hupendelea jamii moja kwa kuwajengea sababu na uhalali wa kuwa wao wabora zaidi. Mfumo ambao Waktistu wanaruhusiwa kufungua benki zao lakini Waislaam hawaruhusiwi isipokuwa kwa kupitia benki za serikali.. Waislaam wanazuiwa kujiunga na OIC kwa dhana kwamba Tanzania hatuihitaji japokuwa wakristu wanapewa misaada toka Vatican. Hata chombo chao cha dini kinatawaliwa na serikali (Bakwata) viongozi wake wako answerable kwa rais na sio kwa waislaam ni dalilitosha za defence mnayoiweka wakati mnatuita nyie waislaam fanyeni hivi ama vile kwa kutuamria na sio maamuzi yetu. Once unaposema waislaam hivi ama vile tayari unakubali kuwepo kwa tofauti lakini unaazimisha kuwa hazipo na ndio maana sisi tunailalamikia serikali (sio kanisa wala Mkristu) lakini mkristu ndiye anayetupa jibu..

Kwa majabu ya Firaun, tunapouliza muafaka wa MoU, wakristu wanaodai serikali iishindwa kuendesha shule zetu (kupeleka maendeleo kwa wananchi) hivyo Vatican kupitia CSSC wakapewa kazi hiyo lakini hamtaki kutazama kwamba swala hili ni kinyume isipokuwa pale waislaam wanapodai nafasi sawa ktk kulijenga Taifa japokuwa CSSC chombo cha kikristu kwa kushirikiana na serikali wanapeleka maendeleo kwa wananchi. Hivyo jibu la swali lako ni kwamba sensa sio kwa ajili ya serikali laa ni kwa ajili yetu sisi wote kufahamu tutaweza vipi kujiendeleza, kusambaza huduma na mahitaji yetu pasipo kumkwaza mtu mwingine ambaye tunafikiria hayupo kumbe yupo. kama leo unaamini CSSC inaleta maendeleo nchini na inasukuma gurudumu la maendeleo unashindwa nini kuelewa kwamba vyombo vingine pia vinaweza kuifanya kazi hiyo?..
 
ni kweli inawezekana kwenda kwenye shughuli aliyoalikwa na maaskofu kuhutubia na hapo hapo akawaita wauzaji wa madawa ya kulevya siyo udini...
yeye hajawaita wao wauza madawa ya kulevya bali kwa mtu yeyote anayefahamu umuhimu wa viongozi wa kiroho ilikuwa mahali pake kwa sababu dini zinakaza ulevi, sasa kumshupalia kikwete ni sawa na wewe kuwa mmoja wapo wa wauza madawa. hii ndo tafsiri ninayoipata, au vinginevyo kwa sababu amesema kikwete muislamu basi mapengo hataki tu kumsapot, kama sio udini ni nn? Pole wee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom