Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Takwimu wamezipata baada ya kuzitafuta.Wakichukua ya watu wote ,wakitoa idadi ya waumini wao ambayo wanaijua,wakitoa na ya wakristu wengine ambao wanajulikana,wakitoa wapaganai ambao ni wachache kama hawapo,kwani hao wapagani wengie wapo katika kundi la waumini wanaoishi kipagani.waliobaki ndio hawa wajulikana😵therwise pia wakristu wakipewa jukumu a kuorodhesha jirani zao a dini zao ,inakuwa sensa tayari.
 
AMBACHO NASHINDWA KUMUELEWA HUYU JAMAA NA WENZAKE WENYE MAWAZO KAMA YAKE NI SWALI "JE KAMA WAISLAM MMEPELEKA SERIKALINI ORODHA YENU YA N
MASHULE NA HOSPITALI MKAOMBA MOU NA SERIKALI MKANYIMWA? Mbona kwenye hospital hatutibiwi kwa dini zetu....ACHENI HOJA ZINAIBULIWA NA MAFISADI ILI KUTUSAHAULISHA HOJA ZA WIZI WANAOFANYA...WAISLAM WENZANGU TUANKE...'
Ni kinyume cha katiba kwa serikali kushirikiana na dini yoyote ktk kupeleka maendeleo kwa wananchi wakitumia kodi za wananchi. Serikali haina dini, hivyo hata kama serikali ingeingia muafaka na Bakwata bado ningepinga na pengine kuwa upande wenu. CSSC inashirika kama shirika la Umma jambo ambalo sikubaliani nalo.. Sijui bado sijaeleweka?
 
AMBACHO NASHINDWA KUMUELEWA HUYU JAMAA NA WENZAKE WENYE MAWAZO KAMA YAKE NI SWALI "JE KAMA WAISLAM MMEPELEKA SERIKALINI ORODHA YENU YA N
MASHULE NA HOSPITALI MKAOMBA MOU NA SERIKALI MKANYIMWA?
Mbona ilishapendekezwa hapa kuwa haina haja ya Waislamu kuomba bali serikali iusitishe mkataba wa MoU na ichukue responsibilty yake?
Kwa sababu Waislamu nao wakiomba na kukubaliwa ina maana sehemu kubwa ya bajeti za wizara ya afya na elimu zitakwenda kwenye taasisi za Kiislamu na Kikristo kuendeshea Maospitali na Vyuo.
Mwisho wa siku sisi Waislamu na Wakristo tutajiona kuwa kama tunaweza kufanya haya yote sisi wenyewe; ni nini faida ya kuwa na serikali?...utakuja kukubaliana na hoja ya mtu kama mimi (kugawana nchi) bila ya kupenda!..
anyway itakuwa ni peaceful end kutakuwa na shaking hands, hugging etc kuliko kile ambacho kinaonekana kutunyemelea.
 
Mkuu acha ugumu wa kuelewa,tusijaze post bila msingi.Alichosema Sweke34 ndicho haswa nilichosema pia.Kwamba he is responsible under his watch.

Na hilo la kusema yeye binafsi ni mdini,chanzo chake ni hilo hilo la kuwa yeye ni responsible.Just kama mfano ulioletwa na Sweke34 kutoka kwenye ile thread yako ya mwalimu,kwamba he was responsible for the poor performance in economy.Unafiki ni mbaya,tetea taifa kwanza.

jmushi1 ugumu unao wewe kwa kuwa unataka kupindisha mada....inawezekana ulikuwa na hoja ya msingi lakini ulikosa weledi wa kuiwasilisha ili ionekane ni yenye kutetea utaifa. Kutokana na huko kukosa weledi, ukaileta kiudini udini! Kimsingi, nimemwelewa sana Sweke34; sincerely, hoja yake ipo tofauti kabisa na yako, bila shaka ulitakiwa kuiwasilisha kama ambavyo Sweke anavyoilelezea! Lakini kwavile hoja ya msingi ni yako, na ndio maana unakuta nakazania pale pale kwenye msingi wako wewe coz' nafahamu ni hatari!

Kuhusu Nyerere, nimesema wazi kwamba he's a very honest person lakini watendaji wake walikuwa tatizo! Underline hapo! Na ndipo nikasema, as far as Mwalimu alikuwa ndie head of state basi hawezi kukwepa lawama za ubovu wa watendaji wake! In contrast, tuhuma zako wewe ni kwamba JK mwenyewe ndie MDINI....compare na hapo nilipokushauri u-underline(kwenye RED)! Yaani JK ni mdini kwavile "hamchukulii" hatua Ponda na vyombo vya habari vya kiislamu ingawaje yote hayo yapo kwenye mamlaka yasiyo na shaka yoyote ya watendaji husika na sio JK! Suala la Nyerere lilikuwa ni la kisera na hili la akina Ponda si la kisera! Kama Azimio la Arusha au Ujamaa havikuwa sahihi huwezi kumlaumu DC, RC, OCD au yeyote sawa na hao....lakini ikiwa Ponda anastahili kuchukuliwa hatua basi wanaostahili kubeba lawama ni watendaji sawa na hao niliokutajia unless uniambie na kunithibitishia (ingawaje nafahamu huwa hutaki kuthibitisha hoja) kwamba JK anawazuia wahusika kuchukua hatua! Nikakupa hadi mfano wa akina Mwakyembe; lakini hutaki kabisa kuelewa....kulikoni?! Tatizo lako unataka kuchanganya DINI na SIASA za CHADEMA na ndio maana ulimshngaa Mkandara kwanini hakuungi mkono ikiwa anajinadi nae ni CHADEMA....tht's ur STRONGEST weakness!!
 
tanzania bado tuko vizuri hasa katika mausiano,baina ya wakristu na waislam!tatizo ninaloliona ni kuwa hawa wenzetu wa islam ni wepesi wa kuanza kutaka malumbano yasiyo na tija! mfano" walichoma makanisa yetu zanzibar bila hata sababu,wakasema watasusia sensa sababu kuna ripoti ya wakristo inasema wakristo ni wengi,wameomba mahakama ya kadh,wamepewa! wanawaita watu ambao si waislam ni makafili,pamoja na yote hayo wakristu hatuna maneno na waislam bado ni ndugu zetu,lakini mi ninaona si vizuri kwa viongozi wa dini kupandikiza chuki kwa waumini ni jambo la hatari sana! na pia nawambia waislam kwamba tathimini yangu inaonyesha, waislam ni wengi kuliko wa kristu mara nane ya wakristu, hivyo tulieni! nchi hii ni yetu sote!
 
AMBACHO NASHINDWA KUMUELEWA HUYU JAMAA NA WENZAKE WENYE MAWAZO KAMA YAKE NI SWALI "JE KAMA WAISLAM MMEPELEKA SERIKALINI ORODHA YENU YA N
MASHULE NA HOSPITALI MKAOMBA MOU NA SERIKALI MKANYIMWA? Mbona kwenye hospital hatutibiwi kwa dini zetu....ACHENI HOJA ZINAIBULIWA NA MAFISADI ILI KUTUSAHAULISHA HOJA ZA WIZI WANAOFANYA...WAISLAM WENZANGU TUANKE...'

Wewe nae uelewa wako upo chini sana!!ishu sio kutibwa kwa misingi ya dini,ishu ni MoU ambayo inawafanya wafanye biashara bila kulipa kodi.
 
AMBACHO NASHINDWA KUMUELEWA HUYU JAMAA NA WENZAKE WENYE MAWAZO KAMA YAKE NI SWALI "JE KAMA WAISLAM MMEPELEKA SERIKALINI ORODHA YENU YA N
MASHULE NA HOSPITALI MKAOMBA MOU NA SERIKALI MKANYIMWA? Mbona kwenye hospital hatutibiwi kwa dini zetu....ACHENI HOJA ZINAIBULIWA NA MAFISADI ILI KUTUSAHAULISHA HOJA ZA WIZI WANAOFANYA...WAISLAM WENZANGU TUANKE...'

Wewe nae uelewa wako upo chini sana!!ishu sio kutibwa kwa misingi ya dini,ishu ni MoU ambayo inawafanya wafanye biashara bila kulipa kodi.kwani muislam anapokwenda dukani kwa mkatoliki huwa hauziwi bidhaa??
 
jmushi1 ugumu unao wewe kwa kuwa unataka kupindisha mada....inawezekana ulikuwa na hoja ya msingi lakini ulikosa weledi wa kuiwasilisha ili ionekane ni yenye kutetea utaifa. Kutokana na huko kukosa weledi, ukaileta kiudini udini! Kimsingi, nimemwelewa sana Sweke34; sincerely, hoja yake ipo tofauti kabisa na yako, bila shaka ulitakiwa kuiwasilisha kama ambavyo Sweke anavyoilelezea! Lakini kwavile hoja ya msingi ni yako, na ndio maana unakuta nakazania pale pale kwenye msingi wako wewe coz' nafahamu ni hatari!

Kuhusu Nyerere, nimesema wazi kwamba he's a very honest person lakini watendaji wake walikuwa tatizo! Underline hapo! Na ndipo nikasema, as far as Mwalimu alikuwa ndie head of state basi hawezi kukwepa lawama za ubovu wa watendaji wake! In contrast, tuhuma zako wewe ni kwamba JK mwenyewe ndie MDINI....compare na hapo nilipokushauri u-underline(kwenye RED)! Yaani JK ni mdini kwavile "hamchukulii" hatua Ponda na vyombo vya habari vya kiislamu ingawaje yote hayo yapo kwenye mamlaka yasiyo na shaka yoyote ya watendaji husika na sio JK! Suala la Nyerere lilikuwa ni la kisera na hili la akina Ponda si la kisera! Kama Azimio la Arusha au Ujamaa havikuwa sahihi huwezi kumlaumu DC, RC, OCD au yeyote sawa na hao....lakini ikiwa Ponda anastahili kuchukuliwa hatua basi wanaostahili kubeba lawama ni watendaji sawa na hao niliokutajia unless uniambie na kunithibitishia (ingawaje nafahamu huwa hutaki kuthibitisha hoja) kwamba JK anawazuia wahusika kuchukua hatua! Nikakupa hadi mfano wa akina Mwakyembe; lakini hutaki kabisa kuelewa....kulikoni?! Tatizo lako unataka kuchanganya DINI na SIASA za CHADEMA na ndio maana ulimshngaa Mkandara kwanini hakuungi mkono ikiwa anajinadi nae ni CHADEMA....tht's ur STRONGEST weakness!!
JK angemwuliza Ponda swali nililowauliza mkashindwa kujibu,kwamba mkiwa wengi ndo iweje?
 
Walianza wenyewe wakati wa kampeni za kumtafuta mgombea urais kupitia ccm waliposema dr salim ni hizbu,hawajawahi kukanusha mpaka leo,wapinzani walipokuja kuwashika kwenye kampeni za ubunge na urais walikuja na singo ya udini,Historia itatuhukumu.
 
Nimeshasema hatutaelewana kama uko upande wa Ponda.
Bila shaka mimi niko upande wa Sheikh Ponda anayepingana na JK au serikali ya CCM lakini wewe uko upande wa JK ukiunga mkono maamuzi na mfumo wa CCM.kwa sababu ni mkristu na hatua hizi ni dhidi ya wiaslaam - Hatutaelewana. Napopingana na wewe I am against policies za CCM, wewe unazipenda na ungetaka wafanye zaidi kumweka ndani Sheikh Ponda anayepingana na mfumo wa kikoloni. Ni majuzi tu Chadema walimpa heko na hongera Sheikh Ponda kwa misimamo yake kama mwanaharakati.
-This shows how much you hate muslims kwa sababu huwezi ku supprt hatua yoyote kama hii ichukuliwe kwa Askofu au Kardinali hata kama kataka kuipindua nchi..
 
NBila shaka mimi niko upande wa Sheikh Ponda anayepingana na JK au serikali ya CCM lakini wewe uko upande wa JK ukiunga mkono maamuzi na mfumo wa CCM.. Hapa ndipo napopingana na wewe Iam against policy za CCM wawe unapenda na ungetaka wafanye zaidi kumweka ndani Sheikh Ponda anayepingana na mfumo wakikoloni. Ni majuzi tu Chadema walimpa heko na hongera kwa msimamo wake.. This shows how much you hate muslims kwa sababu huwezi ku supprt hatua yoyote kama hii ichukuliwe kwa Askofu au Kardinali hata kama kataka kuipindua nchi..
Kama mko wengi mnataka iweje?
 
Kama mko wengi mnataka iweje?
Swala sio tuko wengi au laa isipokuwa sensa itatuwezesha kujua idadi ya Watanzania wote kwa ujumla wa makundi yao ya kijamii iwe watoto wanawake, makabila na hata dini zao tena inatakiwa tujue hata wageni wahamiaji na wale walioingia kinyemela. Wazanzibara wangapi wamehamia bara na Wabara kuhamia visiwani kisha tunatafuta reasons na kadhalika. Hii ndio maana kamili ya sensa ili kuiwezesha serikali yetu ya muungano kupanga mipango yake ya maendeleo kwa jamii nzima kwa kuzingatia tofauti zetu ambazo huzua kero ktk jamii kama zisipohusishwa.

Kinachonishinda kuelewa ni kwa nini mnakazania kuuliza kama waislaam ni wengi iweje?, hivi tunapo wahesabu wanawake na wanaume nchini (kipengele hicho) huwa tunataka kujua wingi wao au ni takwimu zinazoiwezesha serikali kupanga mipango yake ktk maendeleo kuwawezesha wanawake ktk sehemu za ujenzi wa taifa. Kila siku tumesikia wanawake wakillalamika kuhusu kutengwa ktk nafasi za kazi na masomo, utajuaje ukweli wa dhana hii pasipo kufanya sensa?.

Kwa nini serikali inataka kujua idadi ya watoto? Je, wakiwa wengi itafanya nini? na kwa nini serikali inataka kujua wingi wa wazee, Je wakiwa wachache itawafanya nini?. Hizi ndizo fikra zenu tu WINGI wakati swala sio wingi bali kujua hatua za kimaisha baina ya jamii zetu kwa miaka 10 iliyopita kunatokea mabadiliko gani na serikali itajiandaa vipi kuwaendeleza ama kuwalinda. Maswali haya mnashindwa kujiuliza isipokuwa la waislaam tu mbona husemi wakiwa wakristu wengi itakuwaje?
 
JK angemwuliza Ponda swali nililowauliza mkashindwa kujibu,kwamba mkiwa wengi ndo iweje?
Ni wapi umeniuliza swali la kama tukiwa wengi ndo iweje...!!!! Plz, and plz jmushi1, usiniambukize fikra za udini kichwani mwangu; people beside me knws alot abt me na msimamo wangu kwenye masuala ya udini......am against udini na ndio maana mara zote ambazo mimi na wewe tumekuwa tukipingana hapa ni masuala ya udini....nachukia udini, na nawachukia waendekeza udini kwahiyo usinipeleke huko....mimi si mmoja wenu na katu sitakuja kuwa mmoja wenu!! Ulinituhumu kwamba namchukia Nyerere kwa ajili ya udini, nikakupa link unioneshe nilipoonesha hisia za udini kwenye post hiyo lakini umeshindwa!!! Lakini hivi sasa nikiamua nizisake post zako zinazodhihirisha udini wako; am sure nitazipata tu!!!!

Tukija hoja kwamba JK angemwuliza Ponda ni hoja mufilisi kabisa....!! JK amezungumzia suala la sensa na akakutana na baadhi ya viongozi wapinzani wa sensa...so why Ponda?! Kwani aliyekuwa anapinga zoezi la sensa ni Ponda peke yake?!

All in all, inaelekea leo hii upo off target ile mbaya....pamoja na uenyeji wako jamvini, bado una-quote post na kueleza kitu kisichofanana na post uliyoi-quote hata kwa punje moja....inakuwaje?! Najua una kazi ya ziada za kusafisha uchafu wako ambao umeu-expose in public na kudhirisha udini wako huku ukitaka kuonekana mpinga udini....!!!
 
JK si mdini bali CHADEMA ndio wadini.
Ona walivyojaza wakristo kwenye safu zao za uongozi!
 
alie andika thread hii ni muflisi wa mawazo. akapimwe!
Nafikiri muflisi wa mawazo ni wewe. Hiki alichokileta Jmushi1 ni ukweli mtupu. Haihitaji elimu ya chuo kikuu kujua kwamba nchi yetu sasa inakabiliwa na tishio la mgawanyiko wa kidini unaopaliliwa na ccm na rais wake. Ni lini tumeona wahuburi wa kiislamu wakizunguka nchi nzima kueneza chuki za kidini? Haikuwa baada ya uchaguzi uliopita ambao ulionekana wazi JK alishindwa kisha watu wakataka kumsusia kama Rais na kwamba urais wake si halali? Kuliibuka wahubiri nchi nzima wakihubiri dhidi ya mfumo ukristo kuwa unatawala nchi. Chama cha CDM ambacho kilikuwa kinaongoza mapambano ya kumkataa Rais hasa pale walipotoka bungeni alipohutubia kwa mara ya kwanza wakawa kiini cha mahubiri hayo na kwamba wanampiga vita JK kwa kuwa ni mwislamu? Huu ujinga ulikuwa unamfaidisha nani? Ikafika hatua ya kukashifu muasisi wa taifa hili JK Nyerere kwenye majukwaa hayo na hata JF waliingiza thread za huo upumbavu kwa wingi. Nani alifadhili huo ujinga na kwanini uachiwe wakati unaeneza propaganda za uongo na kuleta mgawanyiko wa kitaifa? JK angekuwa mzalendo kama angejitokeza wazii na kukemea huo upuuzi na kuwataka wasitumie jina lake kwenye majukwaa lakini alikaa kimya kwa kuwa walikuwa watu wake pengine.
Ni nani aliyenza kuleta mgawanyiko kuanza kuita vyama fulani vya wakristo na uchaga? Je ukieneza hiyo propaganda wakati unajua ni hatari kwa mustakabali wa kitaifa na siyo kweli hivi kama kiongozi wa nchi unaunganisha nchi au unagawanya nchi ili tu wajinga watakaokuamini wakupigie kura au wakuamini na kuhalalisha uwepo wako madarakani?
Mimi sikuamini kwamba huyu JK ni mdini hasa watu walipomtuhumu kuwa anafanya uteuzi kwa kuzingatia kuwaweka waislamu kwenye nafasi pasipo kuzingatia sifa za watu lakini nilipoona kundi la watu wakizunguka na kuhubiri mfumo ukristo, chuki dhidi ya CDM na hata kufikia kumdhalilisha baba wa taifa hata kumuita baba wa wakristo hadharani nilijua huyu mkubwa ni mdini kama Alshabaab.
 
Labda nikupe mfano kisha nitakuuliza kwa ujinga wangu kama ulivosema hapo juu.

Kichaa cha kiumbe yeyote maslan mwanadamu kwamfano kinaweza kubadilika kadri mda unavoenda miaka ya mwanzon hata kumi ikawa kichaa cha amani na ikafikia hatua akaanza kujeruhi watu na hata kutaka kuuwa. Kwa kawaida inapofikia hapa raia wema kushirikiana na serikali hutafuta njia za kumdhibiti, lengo asiendeleze matatizo husasani asije kusababisha maafa kwa wengine wasio na hatia. (Sina maana ponda ni kichaa ieleweke sina maana hiyo)

1. swali langu kwako je kwasabab alikuwa na matatizo tangu awali aachwe kuendelea na uchochezi wake kutugawa watanzania na taifa la tanzania kwa misingi ya imani zetu? hasa hapa ilipofikia.

Narudia tena na tena, si kazi ya Rais wa nchi ku-deal na watu kama akina Ponda...!!!! Kama unaamini Ponda anavunja sheria basi wapo watendaji wenye mamlaka dhidi yake na sio Rais...mbona haumuelewi?! Kumwingiza JK kwenye suala la Ponda kwavile tu JK ni Mwislamu na kwamba Kutochukuliwa hatua kwa POnda kunatokana na Uislamu wa JK ni mawazo mufilisi....huo ndio UDINI wenyewe! How come mtu uwaze kwamba POnda hachukuliwi hatua kwavile yeye ni Mwislam na Rais mwislamu?! Na kama mnaamini kwamba Ponda ana makosa na bado hakamatwi basi huenda wajuvi wa mambo wanafahamu kwamba hamna grounds za kumkamata....mbona panapokuwa na grounds za kumkamata huwa anakamatwa na hata kufunguliwa mashitaka?!

2. Kutokana na kauli yako hapo juu mstari wa mwisho, nan muasis wa kugomea sensa kwa ufaham wako? maana mimi mjinga nafaham ni shehe ponda na ameungwa mkono na wafuasi semu mbalimbali inchini unamaanisha nini

Muasisi simfahamu....ila nafahamu kwamba Sheikh Ponda ni miongoni mwa vinara wanaopinga zoezi hili.

a) Walomunga mkono ni wajinga kama mimi ninaye amini anatumiwa na JK?

As far as wanajua wanachokifanya basi si busara kuwaita wajinga....kila mtu na tafsiri yake juu ya kile anachokiamini. Kama kwako wewe kuingiza kipengele cha dini kwenye sensa ni upuuzi, kwa wenzako si upuuzi; na wewe wala yeyote si mbora ama mjuvi wa mambo kuliko mwenzake! By the way, JK amtumie Ponda ili kiwe nini?! Hivi nyie watu mtaacha lini kuweweseka?! Chuki zenu dhidi ya jamii zingine zitawapunguzia maisha hapa duniani...!!!!

b) Kama hajaungwa mkono, nani muasis wa kugomea sensa? nakwani watu wanakamatwa na kuwekwa ndani kwa kugomea sensa?
Maswali mengine majibu unayo!
Tatizo kubwa mbele yetu ni mkanganyiko unaotukumba wa kutona hatari inayotukumba kwa kupeana sum za kuchukina kwa maana ya imani zetu. Tanzania ni yetu na bila kutafuta suluhisho tutaumia wote hakuna atakaye salimika.
Tatizo lipo upande wenu na kimsingi nyie ndo mnaopandikiza zaidi mbegu za udini!! Kwa miongo kadhaa mlizoea kuona nafasi nyeti zote zinashikiliwa na wakristo na leo hii mnapoona kwamba watu wa imani zingine nao wanapata nafasi ndipo mnaanza inda!!! Leo hii akiteuliwa mtu mwenye jina la Kiislam lazima mtahoji, ni upuuzi ulioje!
 
Ni wapi umeniuliza swali la kama tukiwa wengi ndo iweje...!!!! Plz, and plz jmushi1, usiniambukize fikra za udini kichwani mwangu; people beside me knws alot abt me na msimamo wangu kwenye masuala ya udini......am against udini na ndio maana mara zote ambazo mimi na wewe tumekuwa tukipingana hapa ni masuala ya udini....nachukia udini, na nawachukia waendekeza udini kwahiyo usinipeleke huko....mimi si mmoja wenu na katu sitakuja kuwa mmoja wenu!! Ulinituhumu kwamba namchukia Nyerere kwa ajili ya udini, nikakupa link unioneshe nilipoonesha hisia za udini kwenye post hiyo lakini umeshindwa!!! Lakini hivi sasa nikiamua nizisake post zako zinazodhihirisha udini wako; am sure nitazipata tu!!!!

Tukija hoja kwamba JK angemwuliza Ponda ni hoja mufilisi kabisa....!! JK amezungumzia suala la sensa na akakutana na baadhi ya viongozi wapinzani wa sensa...so why Ponda?! Kwani aliyekuwa anapinga zoezi la sensa ni Ponda peke yake?!

All in all, inaelekea leo hii upo off target ile mbaya....pamoja na uenyeji wako jamvini, bado una-quote post na kueleza kitu kisichofanana na post uliyoi-quote hata kwa punje moja....inakuwaje?! Najua una kazi ya ziada za kusafisha uchafu wako ambao umeu-expose in public na kudhirisha udini wako huku ukitaka kuonekana mpinga udini....!!!
Pointi ninayoiutumia mimi ndo alitakiwa JK aitumie kama yeye si mdini.Hamwezi kuleta takwimu za idadi ya watu ambazo si za serikali na wala serikali haizitumii zaidi ya zile za sensa.Eti serikali ihesabu waislam kwasababu kanisa lina takwimu zake,hizo walizitoa serikalini?kumbe udini unakufanya kitu mbaya hivi na kituko?

Wewe ndo mchafu na mna nia chafu,na JK kinara wenu,mnataka kusilimisha taifa?idadi ya waislam ili serikali ijenge misikitini ama madrassa?niite utakavyoniita I don't really give a rat's ass.Nyinyi na JK mtakuwa responsible kwa kuliharibi taifa,mark my words.
 
Swala sio tuko wengi au laa isipokuwa sensa itatuwezesha kujua idadi ya Watanzania wote kwa ujumla wa makundi yao ya kijamii iwe watoto wanawake, makabila na hata dini zao tena inatakiwa tujue hata wageni wahamiaji na wale walioingia kinyemela. Wazanzibara wangapi wamehamia bara na Wabara kuhamia visiwani kisha tunatafuta reasons na kadhalika. Hii ndio maana kamili ya sensa ili kuiwezesha serikali yetu ya muungano kupanga mipango yake ya maendeleo kwa jamii nzima kwa kuzingatia tofauti zetu ambazo huzua kero ktk jamii kama zisipohusishwa.

Kinachonishinda kuelewa ni kwa nini mnakazania kuuliza kama waislaam ni wengi iweje?, hivi tunapo wahesabu wanawake na wanaume nchini (kipengele hicho) huwa tunataka kujua wingi wao au ni takwimu zinazoiwezesha serikali kupanga mipango yake ktk maendeleo kuwawezesha wanawake ktk sehemu za ujenzi wa taifa. Kila siku tumesikia wanawake wakillalamika kuhusu kutengwa ktk nafasi za kazi na masomo, utajuaje ukweli wa dhana hii pasipo kufanya sensa?.

Kwa nini serikali inataka kujua idadi ya watoto? Je, wakiwa wengi itafanya nini? na kwa nini serikali inataka kujua wingi wa wazee, Je wakiwa wachache itawafanya nini?. Hizi ndizo fikra zenu tu WINGI wakati swala sio wingi bali kujua hatua za kimaisha baina ya jamii zetu kwa miaka 10 iliyopita kunatokea mabadiliko gani na serikali itajiandaa vipi kuwaendeleza ama kuwalinda. Maswali haya mnashindwa kujiuliza isipokuwa la waislaam tu mbona husemi wakiwa wakristu wengi itakuwaje?
Mkitaka idadi ya waislam nendeni misikitini,serikali inatafuta idadi ya watanzania,period.Na hilo ndilo JK alitakiwa alisimamie kama hayuko behind huu udini.
 
Bila shaka mimi niko upande wa Sheikh Ponda anayepingana na JK au serikali ya CCM lakini wewe uko upande wa JK ukiunga mkono maamuzi na mfumo wa CCM.kwa sababu ni mkristu na hatua hizi ni dhidi ya wiaslaam - Hatutaelewana. Napopingana na wewe I am against policies za CCM, wewe unazipenda na ungetaka wafanye zaidi kumweka ndani Sheikh Ponda anayepingana na mfumo wa kikoloni. Ni majuzi tu Chadema walimpa heko na hongera Sheikh Ponda kwa misimamo yake kama mwanaharakati.
-This shows how much you hate muslims kwa sababu huwezi ku supprt hatua yoyote kama hii ichukuliwe kwa Askofu au Kardinali hata kama kataka kuipindua nchi..

Mkuu wangu Mkandara,

Nakusoma na miwani ya 3D.
 
Last edited by a moderator:
Eti si kazi ya rais kudeal na watu kama kina Ponda,sasa sisi tunamwonyesha ni kwanini ameamuwa kuwafumbia macho wadini kina Ponda.Hamtaki kusema kama mko wengi ndo iweje?tujiunge oic?tu adapt sharia law?hakuna cha maana wala msingi kwenye madai ya kipengele cha dini zaidi ya udini.Ni bora mseme malengo yenu ndo ntajuwa kama si udini.Semeni malengo yenu ni yapi?hayo ni maswali ambayo mnafiki na mdini JK angeuliza.Kwasababu Ponda amempinga na yeye kujidai eti ni mtu wa kuachia uhuru wa habari,wapii mwanahalisi?na mtikila si alifunguliwa kesi?unafiki wa wadini haujifichi.Halafu waislam wenye msimamo mkali ndo mnaharibu dunia na nchi ndo mnaharibu,mtalipa tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom