Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
It's the brain that commands the actions.

Huu unaotajwa kuwa ugomvi ama uhasama wa kidini hauna uhusiano na "mfumo wa kufikiri" wa wahusika? Inakuwaje siasa ifanikishe hili, haiwezekani tatizo pia ni vichwa vya wale wanaolishwa uhasama huu? Dini ni nini ambacho kiingie watu halafu waweke commonsense pembeni?

Hawa watu ambao wanasaikolojia za kubeba dini kwa namna hii je, wanaweza kuwa na saikolojia (labda mfumo wa fahamu/ubongo) unaoweza kufikiri namna ya kutengeneza processor za kompyuta?

Mi nadhani tatizo la msingi siyo Kikwete ni Waafrika (bitterly) ama hao watu wanaogombana kutokana na udini. Aina ya mawazo humea (grow/dwell) kwenye aina yake ya mazingira (ubongo). Haijalishi mtu ni Profesa ama la, as long as kichwa chake kimeishia hapo basi hatakuwa na jipya. Kizazi hiki chetu "ubongo" wake umeishia hapo, hivyo haya yanayotokea inabidi yatokee (bitterly again) kwa sababu wanaofanya space missions wanafanya hivyo kwa kuwa they have the brain(s) enough for that na SISI tunafanya yetu kwa kuwa WE HAVE BRAINS "ONLY" ENOUGH FOR THESE.

It's the brain that commands the actions.
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Wikipedia ni watu wanaandika na wala si lazima ziwe taarifa rasmi. Fuatilia kanuni za kuandika kwenye wikipedia.
 
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.

Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.

Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)

Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.

Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.

Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....

TUKUMBUSHANE: Hivi kile chama Kilichojulikana kama BALUKTA kilichopigwa marufuku enzi za awamu ya pili waanzilishi wake walikuwa ni kina nani, zaidi ya Sheikh Yahya?
 
Hakuna kitu kibaya kama UNAFIKI na UZANDIKI.....waswahili wanasema wazi kwamba, MUNGU HAMFICHI MNAFIKI......hapo juu unadai kulikuwa na MDAHALO, ghafla unabadilika na kusema kilikuwa ni KIKAO CHA SIRI! Aibu sana, kama huko vyuo vikuu kuna watu staili yako ambao damu yao imejaa UDINI wa kutisha basi ni hatari kubwa kwa taifa hili. Yaani maandiko yako yanaonesha jinsi ulivyo mdini wa kutisha, na bahati mzuri haupo hodari kama alivyo jmushi1 katika kuficha udini wenu. Binafsi, wala sitafuni maneno, jmushi1 ni mdini sana lakini hana confidence ya kudhirisha udini wake....huwa anajitahidi sana kujificha lakini huwa inatokea mara moja moja anajisahau na kuishia kujivua nguo.....!!!

nimesema mdahalo kwa sababu wachangiaji walikuwa randomly selected na kingine kwa sababu ulihusisha waumini wa kiislamu tuu na vilivyokuwa vikijadiliwa ni dhidi ya ukristo! kuandika kuwa ilikuwa siri mbona hata vyombo vya habari havikuiongolea na wala hawakuruhusu waandishi wa habari kuingia klwenye huo mdahalo? midahalo mingine mbona inakuwa open na media wanaruhusiwa, kwanini wenyewe hawakuruhusu media? ndo msingi wangu kusema ulikuwa mdahalo na kikao cha siri. Mdahalo haumaanisha uwazi bali mfumo wa kikao chenyewe, kama kikao ndo ambiguous basi naliondoa na kuweka mdahalo wa siri!
 
LABDA unachomaanisha wewe lakini sio jmushi1! Ni mpuuzi tu ndie ambae anaweza kupinga kwamba nchi hii haina udini.....ninachopinga mimi ni hoja ya kudhihirisha udini wa JK kwa sababu tu Ponda amebishana na serikali lakini hajachukuliwa hatua yoyote, kwamba gazeti la SAUTI(binafsi wala silifahamu) linamwaga sumu, lakini haijachukuliwa hatua yoyote.....haya yanahusishwa na Uislamu wa JK jambo ambalo nasema sio sahihi kwani wapo wenye mamlaka wa kuweza kuchukua hatua....na ndio maana nikatoa mfano wa Mwakyembe! Hoja ya mtoa hoja si kwamba serikali inalea choko choko za kidini bali JK ni mdini!!! Kama JK ni mdini, na yeye ni Mwislamu basi maana yake ni kwamba anaupendelea Uislamu na Waislamu na kuukandamiza Ukristo na Wakristo...huo ndio udini ambao unaweza kufanywa na kiongozi wa nchi!!!.kama ingekuwa ndiyo hoja yake ni kushamiri kwa udini nchini, hapo tungeenda pamoja!
Siku hizi sipendi kabisa kuchangia haya mambo lakini ngoja nimalizie tu kwa hili.
Nimeangalia kidogo ule uzi wako wa Nyerere na kwenye post ya 40 nikakutana na haya maneno yako.

Watu kama nyinyi ndio kansa iliyowalenga kwenye thread hii! Mie niwe na chuki ya mwalimu kwa lipi...chalenji niliyotoa ni kwamba mtu anitajie hayo ambayo yanamfanya Mwalimu kuwa bora kiasi kwamba watu wasimseme! Utake usitake, umasikini wa TZ leo hii umechangiwa kwa kiasi kikubwa na utawala wake! Mwalimu alikuwa msafi yeye binafsi, lakini serikali yake ilikuwa na watendaje wabovu....kwahiyo yeye hawezi kukwepa lawama kv ndio top excutive! Taja mazuri ya Nyerere badala ya kukimbilia hoja chakavu kwamba nina wivu!!
Nikajiuliza inakuwaje Mwalimu Nyerere hawezi kukwepa lawama kwa sababu alikuwa top executive lakini Kikwete anaweza kukwepa lawama pamoja na u top executive wake? Wapo watakosema mtazamo huu unaonyesha kidogo na wewe ni mdini.
Kitu ulichokisema kwenye uzi wako wa Nyerere ndiyo hicho tunachokisema hapa. Kama Kikwete ni kiongozi mkuu, inakuwaje anashindwa hata kuwahimiza viongozi wake wakemee hiki kitu cha udini? Mimi naona hapa Kikwete hatoki.

Kitu kimoja ambacho kimenifurahisha ni hiki hapa. Kuna kesi inaendelea wakati huu mahakamani kuhusu Mtikila . Inasemekana kwa nia ya Uchochezi, Mtikila alisambaza kwa umma Nyaraka zinazosema 'Kikwete kuungamiza ukristo, wakristu waungane kumuweka mtu Ikulu'. Nadhani kuna maneno mengine kama Kikwete ni gaidi nk.
Kama Mtikila ana kesi ya kujibu ya uchochezi , inakuwaje wale wanaowakashifu(kwa matusi) tena hadharani waasisi wa nchi yetu(eg Nyerere) kwa kusema alikuwa ana lengo la kuufuta Uislam bado wanadunda tu mitaani? Inakuwaje wale ambao wanawakashifu hadharani viongozi wakubwa wa dini(eg Pengo), wanadunda tuu mitaani? Inakuwaje wale wanaopinga waziwazi sheria ya serikali kama akina Issa Ponda bado wanadunda tuu mitaani? Kuna vitu vingi vichafu sana vimesemwa vinavyofanana na alivyosema mtikila lakini wahusika wake mbona hawachukuliwi hatua yeyote?

Kama viongozi wengine wote wameshindwa, Top executive anafanya nini?
Ndiyo maana watu wanasema jamaa ni mdini. Kwa sababu siyo siri , watanzania wote tunaona waislam sasa hivi wana enjoy ka privilege ka kusema , kutukana na kufanya vitu vyote vinavyohusiana na uchochezi bila kuchukuliwa hatua. Lugha inayotumika kukemea ni ya kubembeleleza na kuwasihi tu. Why??
 
Hapa tu kidogo nikuunge mkono na kukubaliana nawewe MKUU

Nimeuliza sana na sana swali ulilouliza kwamba:-

Je kazi ya rais kama decision maker ni nin? kupiga kelele kama sisi na kuacha akina ponda wakilivuluga taifa na utanzania wetu akiwa amekaa kimya? Hapa ndipo napata mashaka nakuona atakuwa anawatuma vinginevyo haiwezekani.

Afadhali walau hapo juu umejalibu kufafanua yale ambayo mimi naamin angeweza kufanya.
 
Mkuu wangu sweke34, bado nasisitiza upo nje kabisa ya mada! Hoja ya jmushi1 si kwamba JK ni mdini kwa kuwa serikali yake imeshindwa kukemea udini bali hoja yake ni kwamba JK BINAFSI NDIE MDINI simply because anashindwa kuchukua hatua dhidi ya magazeti na redio chochezi za Kiislam na kwamba ndio maana hata Sheikh Ponda hachukuliwi hatua....Hii ndio hoja iliyopo na ndio maana nikatoa angalizo kwamba ikiwa tunataka kujadili suala la udhaifu wa serikali au udhaifu wa JK katika hili, then well and good lakini kusema JK ni mdini kwa vigezo alivyotoa jmushi1 sio sahihi! Unapozungumzia udini ni lazima liwepo kundi linaloonekana kuathirika kutokana na udini huo na ndio maana wale wanaoaamini kwamba Nyerere alikuwa ni mdini wanadai kwamba mfumo wa kiutawala ulikuwa unawapendelea Wakristo na kuwakandamiza jamii zingine hususani Waislam! Tofautisha andiko langu ambalo umelinikuu na uone tofauti kati base yangu dhidi ya Nyerere na base ya jmushi1 dhidi ya JK....tafakari, ukiamua unaweza ona tofauti iliyopo unless kama haupo tayari katika hilo!!
 
UNLESS kama wewe ni mgeni wa siasa za nchi hii....!! Sheikh Ponda hajaanza jana wala leo! Sheikh Ponda alikuwepo tangu enzi za Mkapa.....na Sheikh Ponda wa enzi za Mkapa ndie yule yule wa enzi za JK na misimamo yake ni ile ile wala haijabadilika na sizani kama itakuja kubadilika hata kama CHADEMA itakuja kuingia madarakani! So, kama hoja ni kwamba Ponda anatumiwa na JK, basi tuseme tu kwamba alianza kutumiwa hata na Mkapa!!! Jambo lililo wazi hapa ni kwamba, hakuna serikali hata moja ambayo imepata kuwa kipenzi cha Sheikh Ponda na ndio maana hata kwenye uchaguzi wa ubunge Temeke 1997, Sheikh Ponda alikuwa kwenye kampeni ya kumwingiza Mrema wa NCCR madarakani!! Kama humjui, huyo ndo sheikh Ponda kwahiyo ni ujinga kusema kwamba eti anatumiwa na JK!! Sheikh Ponda katu hawezi kuwa kipenzi cha waislamu wa kawaida sawa na JK....!!!! Sheikh Ponda ni sawa na yule Sheikh Yahya wa zamani wa enzi za Balukta!!!
 
nimesema mdahalo kwa sababu wachangiaji walikuwa randomly selected na kingine kwa sababu ulihusisha waumini wa kiislamu tuu na vilivyokuwa vikijadiliwa ni dhidi ya ukristo! kuandika kuwa ilikuwa siri mbona hata vyombo vya habari havikuiongolea na wala hawakuruhusu waandishi wa habari kuingia klwenye huo mdahalo? midahalo mingine mbona inakuwa open na media wanaruhusiwa, kwanini wenyewe hawakuruhusu media? ndo msingi wangu kusema ulikuwa mdahalo na kikao cha siri. Mdahalo haumaanisha uwazi bali mfumo wa kikao chenyewe, kama kikao ndo ambiguous basi naliondoa na kuweka mdahalo wa siri!

Kutokuwepo kwa media hakuhalalishi kabisa kuita mjadala husika kwamba ulikuwa ni wa siri....!!! Ni midahalo mingapi inafanyika pasipo kuwepo waandishi wa habari?! Yote hiyo ni ya siri?! By the way, kikao na mdahalo ni vitu viwili tofauti.....sina shaka kabisa kwamba ulikuwa ni mdahalo lakini hakikuwa kikao cha siri!!
 
Mkuu wangu sweke34, bado nasisitiza upo nje kabisa ya mada! Hoja ya jmushi1 si kwamba JK ni mdini kwa kuwa serikali yake imeshindwa kukemea udini bali hoja yake ni kwamba JK BINAFSI NDIE MDINI simply because anashindwa kuchukua hatua dhidi ya magazeti na redio chochezi za Kiislam na kwamba ndio maana hata Sheikh Ponda hachukuliwi hatua....Hii ndio hoja iliyopo na ndio maana nikatoa angalizo kwamba ikiwa tunataka kujadili suala la udhaifu wa serikali au udhaifu wa JK katika hili, then well and good lakini kusema JK ni mdini kwa vigezo alivyotoa jmushi1 sio sahihi! Unapozungumzia udini ni lazima liwepo kundi linaloonekana kuathirika kutokana na udini huo na ndio maana wale wanaoaamini kwamba Nyerere alikuwa ni mdini wanadai kwamba mfumo wa kiutawala ulikuwa unawapendelea Wakristo na kuwakandamiza jamii zingine hususani Waislam! Tofautisha andiko langu ambalo umelinikuu na uone tofauti kati base yangu dhidi ya Nyerere na base ya jmushi1 dhidi ya JK....tafakari, ukiamua unaweza ona tofauti iliyopo unless kama haupo tayari katika hilo!!
Mkuu acha ugumu wa kuelewa,tusijaze post bila msingi.Alichosema Sweke34 ndicho haswa nilichosema pia.Kwamba he is responsible under his watch.

Na hilo la kusema yeye binafsi ni mdini,chanzo chake ni hilo hilo la kuwa yeye ni responsible.Just kama mfano ulioletwa na Sweke34 kutoka kwenye ile thread yako ya mwalimu,kwamba he was responsible for the poor performance in economy.Unafiki ni mbaya,tetea taifa kwanza.
 
Kutofautisha "karata ya udini" na udini ni shida,anayecheza karata ya udini ni mdini,let's call a spade exactly what it is.

Nadhani tuna maana moja. Lakini najaribu kuweka tofauti kati ya wadini kama akina Ponda, marehemu Osama n.k. (wanaotaka utawala wa sharia KWA UWAZI KABISA) na mtu kama JK anayetumia nyenzo hiyo kwa kificho kama mkakati wa kisiasa. To me, the latter is a despicable manifestation of human character. Sijui Kama naeleweka kwa hapo.
 
TUKUMBUSHANE: Hivi kile chama Kilichojulikana kama BALUKTA kilichopigwa marufuku enzi za awamu ya pili waanzilishi wake walikuwa ni kina nani, zaidi ya Sheikh Yahya?
Sheick Yahya ndo alikuwa swahiba wake mkuu,birds of the same feather...
 
Nadhani tuna maana moja. Lakini najaribu kuweka tofauti kati ya wadini kama akina Ponda, marehemu Osama n.k. (wanaotaka utawala wa sharia KWA UWAZI KABISA) na mtu kama JK anayetumia nyenzo hiyo kwa kificho kama mkakati wa kisiasa. To me, the latter is a despicable manifestation of human character. Sijui .
Kama naeleweka kwa hapo.
Nimekuapata mkuu,halafu kuna thread ya Mtikila alipofunguliwa kesi 2007 imepelekwa jukwaa la sheria.Ndo utajuwa ni uhuru gani wa habari anaoupenda JK.

JK hapendi uhuru wa habari,ni baadhi ya habari tu ndo anapenda ziwe huru.Ile kesi sijui ilifikia wapi.
 
JF nayo kijiwe maarufu cha kupalilia udini Tanzania.
 
UNLESS kama wewe ni mgeni wa siasa za nchi hii....!! Sheikh Ponda hajaanza jana wala leo! Sheikh Ponda alikuwepo tangu enzi za Mkapa.....na Sheikh Ponda wa enzi za Mkapa ndie yule yule wa enzi za JK na misimamo yake ni ile ile wala haijabadilika na sizani kama itakuja kubadilika hata kama CHADEMA itakuja kuingia madarakani! So, kama hoja ni kwamba Ponda anatumiwa na JK, basi tuseme tu kwamba alianza kutumiwa hata na Mkapa!!! Jambo lililo wazi hapa ni kwamba, hakuna serikali hata moja ambayo imepata kuwa kipenzi cha Sheikh Ponda na ndio maana hata kwenye uchaguzi wa ubunge Temeke 1997, Sheikh Ponda alikuwa kwenye kampeni ya kumwingiza Mrema wa NCCR madarakani!! Kama humjui, huyo ndo sheikh Ponda kwahiyo ni ujinga kusema kwamba eti anatumiwa na JK!! Sheikh Ponda katu hawezi kuwa kipenzi cha waislamu wa kawaida sawa na JK....!!!! Sheikh Ponda ni sawa na yule Sheikh Yahya wa zamani wa enzi za Balukta!!!

Labda nikupe mfano kisha nitakuuliza kwa ujinga wangu kama ulivosema hapo juu.

Kichaa cha kiumbe yeyote maslan mwanadamu kwamfano kinaweza kubadilika kadri mda unavoenda miaka ya mwanzon hata kumi ikawa kichaa cha amani na ikafikia hatua akaanza kujeruhi watu na hata kutaka kuuwa. Kwa kawaida inapofikia hapa raia wema kushirikiana na serikali hutafuta njia za kumdhibiti, lengo asiendeleze matatizo husasani asije kusababisha maafa kwa wengine wasio na hatia. (Sina maana ponda ni kichaa ieleweke sina maana hiyo)

1. swali langu kwako je kwasabab alikuwa na matatizo tangu awali aachwe kuendelea na uchochezi wake kutugawa watanzania na taifa la tanzania kwa misingi ya imani zetu? hasa hapa ilipofikia.

2. Kutokana na kauli yako hapo juu mstari wa mwisho, nan muasis wa kugomea sensa kwa ufaham wako? maana mimi mjinga nafaham ni shehe ponda na ameungwa mkono na wafuasi semu mbalimbali inchini unamaanisha nini

a) Walomunga mkono ni wajinga kama mimi ninaye amini anatumiwa na JK?

b) Kama hajaungwa mkono, nani muasis wa kugomea sensa? nakwani watu wanakamatwa na kuwekwa ndani kwa kugomea sensa?

Tatizo kubwa mbele yetu ni mkanganyiko unaotukumba wa kutona hatari inayotukumba kwa kupeana sum za kuchukina kwa maana ya imani zetu. Tanzania ni yetu na bila kutafuta suluhisho tutaumia wote hakuna atakaye salimika.
 
Sangoros, sasa wewe kamanda unaamini waislam ni wengi kuliko wakristo? Hauko serious kabisa. Hivi ni kweli RC wote walivyojazana nchi nzima, jumlisha na KKKT, ongeza na African Inland kule Mwanza, njo uwaweke pamoja na Anglikana na ukimaliza uje uonane na hawa wapentekoste (akina Kakobe, Mwingira, Gwajima, Fernandez - FGBF, Assemblies, Church of Christ etc) hawa wooooote na uende kule Mbeya kuna zaidi ya madhehebu 400. Hivi kweli kwa akili zako wewe unadhani waislamu ni wengi kuliko wakristo? Sawa unaweza ukasema Zanzibar waislam ni asilimia 98 lakini kumbuka inakadiriwa kuwa wazanzibari wapo milioni 1 hivi sasa (inawezekana bado hawajafika) ni asilimia 2.5 tu ya makadirio ya watanzania milioni 40. Unachekesha sana kamanda. Tatizo hapa ni kuwa wakristo wananjia zao zakukusanyia takwimu za watu wao na ndio hizi wanazoziweka kwenye hizi websites. Wakishajumlisha kuwa kuna waumini wangapi katika madhehebu husika, wanapiga hesabu kupata idadi hiyo ni asilimia ngapi ya watanzania wote. Hawategemei serikali kuwafanyia zowezi hilo. Wikipedia kazi yao ni kuchukua takwimu kutokana na information zinazopatikana kama hizi bila kujali source ya kizo takwimu. Ushauri wangu kwa ndugu zangu waislam ni kuwa waiache serikali ifanye hesabu zake harafu, ikishamaliza, nao wazunguke kila kila msikiti na wajue waislam ni wangapi then wapige hesabu kujuwa waislam ni asilimia ngapi ya watanzania wote.
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

NDUGU YANGU KILA DINI NIRAHISI KUPATA TAKWIMU KUPITIA KWENYE NYUMBA ZA KUABUDIA,NA KUPITIA HUKO KILA DINI ITAPATA TAKWIMU SAHIHI ZA WAUMINI WAKE WANAHUDHURIA IBADA.Naamini RC wametoa idadi hiyo kwa kuzingatia mahudhurio yao kanisani.Tusipendi kutumia fedha ya serikali kwa mambo yetu ya dini ambayo tunaweza kufanya wenyewe wanadini.
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Jamani naomba tubadilike, huu utaratibu wa kuona kila jambo ktk mtazamo wa kidini utatupeleka pabaya. Mimi ni mkristo na ninafahamu kuna waislam, wahindu, wabudha, wapagani, nk. Tusiassume kuwa Tz ni ya Wakristo na Waislam, wapo wenye imani tofauti na hizi hivyo tunavyoendelea kupalilia mijadala isiyo na tija, mara mashehe, mara maaskofu hawa ni viongozi wa sehemu tu ya watanzania. Sasa mtafaruku wowote utakaotokana na makundi haya mawili hautachagua dini.

Lakini pia sitaacha kuilalamikia serikali iliyopo madarakani kutochukua hatua kwa mambo yaliyodhahiri yanayoashiria hali kuwa unhealthy kwa dini fulani kuchafua dini nyingine kupitia vyombo vyake. Kama huamini anachoamini mwingine why are you concerned that much on what you dont believe? Kama unaamini kapotea mwache kwani wewe si Mungu na pia hujakasimishwa majukumu ya kimungu. Naamini dini ni njia tuu ya kwenda huko tunakoamini kupo. Sasa mambo haya yanajenga chuki baina ya pande zinazoshutumiana. kama nivyokwisha sema awali, mimi ni mkristo na nimekuwa mkristo kwakuwa nilizaliwa ktk familia ya kikristo. Vivyo hivyo watu wadini zingine ni mapokeo tu. Huwa nawaza siku zote ivi kabla ya Waarabu na Wazungu kuja Afrika tulitofautiana katika lipi? ni kweli tofauti zilikuwepo lkn msingi wa tofauti zetu ulikuwa imani zao? na kama sivyo kwanini leo msingi wa tofauti zetu uwe dini? Ivi nini matokeo ya kuendeleza tofauti zetu? maslahi yake ni kwa Taifa zima au kikundi kidogo tuu? Unaweza jiuliza zaidi ya haya.

Kama unaakili timamu, narudia kama unaakili timamu huwezi kuwa miongoni mwa hawa wanaoshadidia haya. Hivyo, kwa mtazamo wangu, kama wewe ni mfuasi wa udini nasema HUNA AKILI. Kwa kisingizio chochote kile I remain firm kuwa HUNA AKILI na regardless wewe ni Mkristo ama Muislam (ASKOFU au SHEHE). Hata kama wewe ni Rais wa nchi hii HUNA AKILI.

Maana anyone who is objective and well wisher of our beloved land can never dare to do what is being done by some stupid people, including high level leaders who seem to be intertaining the time bomb.

Nirudi kwenye suala la sensa. Huwa najiuliza katika mgogoro uliopo kati ya waislam wachache na serikali juu ya
kipengere cha dini kuwepo kwenye dodoso kinauhusiano gani au maslahi gani kwa Taifa bila kujali dini zetu? Pia huu ni wizi wa mchana kwani kama nilivyosema awali, ni kweli kwamba dini kubwa Tanzania ni Uislam na Ukristo lakini tusisahau uwepo wa makundi mengine. Sasa nasema huu ni unyang'ani kwani zoezi la sensa imegharimiwa na kodi za makundi yote hata wale wasio na imani, kama wapo. Aidha, dini fulani ni taasisi hivyo inavyombo vyake hivyo kama wanhitaji kupata takwimu zao na kama hawana Idara ya takwimu basi waanzishe na waitumie kuwapa takwimu za waumini wao. Nayasema haya si kwa kuwa mkristo bali haiingii akilini kabisa. Kwa mfano, nimevuna mahindi shambani sasa nataka kuhesabu magunia niliyovuna, eti naenda kumlazimisha, sio kuomba, mfugaji, na hata akimsaidia wala hatafaidika kwa lolote bali atakua ametumia rasilimali muda, nguvu, hata fedha ili kumsaidia bila returns. Economically haipo duniani kote ila ndo naona kwa hili kundi dogo (narudia si waislam wote).

Lakini nashauri kwa Waislam wanaoliona kwa mtazamo wakwangu basi wajitokeze kuwaelimisha wachache wanaopotosha dhana ya imani na kuiingiza katika masuala ya kitaifa ambayo msingi wake ama manufaa yake hayategemei dini niliyopo/uliyopo.
 
solution=impeach mr.president + vote of no connfidence
acheni kulia lia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom