mkuu wangu njiwa,
mleta thread ametuambia hapa tunajadili udini wa kikwete na si vinginevyo...! naona ameshapandisha jazba na kuanza kutukana simply " hana hoja yenye mshiko kuonesha udini wa JK upo wapi"
sasa udhaifu unaonyeshwa na watendaje wake wa chini unamfanya kikwete awe mdini! ... swake34 i beg you please nipe mifano hai hata miwili kuonesha udini alioufanya JK!...
mtoa mada amezunguka na kugotea kwenye sensa .. nimarangapi JK aliongelea sesna na waislam kugoma.?! au milihitaji afanye nini zaidi..?
mwisho - udini ni nini...?! maana naona sikuhizi kiongozi mwislam akifanya jambo lolote anaitwa mdini..!? hivi udini umekuwa = uislam..?!
sweke34 unambebesha bure gunia la misumari, hawezi kujibu hilo swali hata siku moja....si kwamba hataki, hana jibu! Huyo mleta mada mwenyewe nimemuuliza swali kama hilo kwenye post # 380, amelipotezea.....amelipotezea si kwamba amekuwa jeuri ghafla, bali hata yeye hana jibu!! na ni kutokana na kushindwa kutoa hoja za msingi za kuthibitisha hayo madai yao ndio maana sipati taabu ku-conclude kwamba mtoa mada ndie mdini!