Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
with the post or her?if the latter,please be careful ana wenyewe huyo.lol

Naona unajitambulisha kiaina hapo lol....

Usijali Mkuu wangu, ye mwenyewe ataisikia sauti ya kwenye maandishi yangu na ataelewa inalenga wapi kama ni hoja yake au yeye mwenyewe...
 
Acha kulia lia kiunafiki wewe mtetezi wa mafisadi ama pengine fisadi lenyewe,kuna mtu ana mdomo mchafu kama wako humu?

Wewe jamaa una PhD ya Unafiki, mtu yeyote akiwa against Chadema basi ni fisadi sijui umeipata wapi hiyo haiwezekani Watanzania wote tuwe Chadema...eti ukiwa Chadema ndio mpinga ufisadi akili zingine bana.
 
Mkuu wangu sweke34 ni wewe ndie ambae unataka kujifanya hamnazo wakati unazo tele! Mbona nilishakuambia tangia kwenye quotation yangu ya kwanza kwako kwamba wakati JK anazunguka kwenye kampeni za uchaguzi 2010 kwenye mikutano yake mingi alikuwa anakemea sana suala la udini! Ktk maajabu ya Mussa, wakatokea watu wakaanza kumpinga na kumshambulia kwamba kwa hatua yake ya kupita kuzungumzia masuala ya udini ndo anapandikiza udini vichwani mwa watu wakati "eti nchi haina udini!"Na ndio maana leo nashangaa kuona akina jmushi1 mnadai kwamba JK ni mdini kwakuwa hakemei udini.....lakini hapa mnachomaanisha hakemei waislamu! Sitaki kuamini kwamba mmesahau wakati ni miaka miwili tu sasa!!!!

Hilo la kwanza...lakini la pili, jmushi1 anapindisha mada tu hapa.....anafinyangafinyanga alichokielezea ili watu wamuamini kwamba ni mzalendo mpenda mmoja huku akiwa ni adui mkubwa wa udini wakati ukweli ni kwamba jmushi1 leo hii amejisahau na kuionesha taswira yake halisi! Binafsi, nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kum-challenge jmushi1 kuhusu masuala ya udini ni wakati mzee Mtei alipotoa madai yake ya kwamba tume imejaa waislamu!! Lazima nikiri wazi kwamba mara zote ambazo nimekuwa niki-differ ni jmushi1 ni pale anapoleta hoja zake za udini! Angalau, kwenye mada ile, alijishtukia mapema akaamua kukausha!
pengine Mtei aliuona udini wa Jk kabla yangu.Hakuna aliyejuwa JK ni mdini mwanzoni,rangi zake zimejionyesha na taifa linakwenda kombo.Kama miye ndo mdini nimesababisha hayo,then una hoja.Otherwise rudi kwenye hoja mkuu,mimi si rais wa nchi ati.Tafadhali jadili hoja si mimi.Unataka kufanya character assasination kwasababu umeudhika sana,hilo huwezi coz im nobody,hoja zinajisimamia zenyewe,pitia hii mada toka mwanzo,kuna watu wametoa maoni safi sana.

Una kazi kubwa ya kufanya kumtetea fisadi mdini,kwasababu matokeo yake ni wewe kuonekajna na nia moja,yani kutumia udini kulinda ama kuwakingia kifua mafisadi.Thats the truth.
 
Mie hupendelea kuisikiliza radio Imani ya Morogoro, ukweli radio hii haina jema kwa taifa letu. Mtu makini utatarajia chombo cha habari cha kidini kazi yake ni kuwaelimisha/kuwakumbusha kuhusu imani ya dini hiyo, lakini radio hiyo imejikita kuwafanya waumini/wasikilizaji wake wajione wananyanyaswa, kudhurumiwa na kila unyonge wa mwanadamu hapa duniani hufanyiwa lakini watawala wetu wanaona sawa tu na kulifungia gazeti. Nachelea kuamini kuwa labda vita ya kidini inaandaliwa.

Ajabu nyingine ya Watanzania ndiyo hii!!! Redio haina cha maana inachotangaza lakini unajinasibu kwamba "unapendelea kuisikiliza!" Sasa nini unachopendelea kukisikiliza huko?!
 
Wewe jamaa una PhD ya Unafiki, mtu yeyote akiwa against Chadema basi ni fisadi sijui umeipata wapi hiyo haiwezekani Watanzania wote tuwe Chadema...eti ukiwa Chadema ndio mpinga ufisadi akili zingine bana.
Wewe ni fisadi wewe!unavyomchukia Slaa na domo lako la kunuka kwa matusi kila kukicha humu,yani kama uko obssesed.Na ninavyofahamu,eti unajidai kumpinga kwa kudai ni padri,hapo ndo udini wako humu kila siku unajidhihrisha.Ni fisadi linalojikinga kwa kutumia dini.Humchukii Slaa kwasababu ni padri,unamchukia kwasababu anakubinyeni kubaya mafisadi,sasa mnatumia dini kama kivuli.
Hii ni JF wewe kama hujui...
 
Naona unajitambulisha kiaina hapo lol....

Usijali Mkuu wangu, ye mwenyewe ataisikia sauti ya kwenye maandishi yangu na ataelewa inalenga wapi kama ni hoja yake au yeye mwenyewe...
Mgongano wa kimaslahi...The Boss ndo anamiliki hii kitu,i stand to be corrected,huwa anamwita Konny,ndo huyo huyo Kongosho,na miye kanivutia zaidi so The Boss awe makini maana anajuwa nilitaka kukimbiza akashtukia dili.
 
Wewe ni fisadi wewe!unavyomchukia Slaa na domo lako la kunuka kwa matusi kila kukicha humu,yani kama uko obssesed.Na ninavyofahamu,eti unajidai kumpinga kwa kudai ni padri,hapo ndo udini wako humu kila siku unajidhihrisha.Ni fisadi linalojikinga kwa kutumia dini.Humchukii Slaa kwasababu ni padri,unamchukia kwasababu anakubinyeni kubaya mafisadi,sasa mnatumia dini kama kivuli.
Hii ni JF wewe kama hujui...

Mkuu tumia basi lugha za kiungwana kwenye mijadala mambo ya domo kunuka nalo ni sehemu ya mjadala?
 
Yeyote atakayemwita JK fisadi, mdini utasikia viongozi wa DINI moja wakikusanyika Diamond Jubillee wakila na kupiga kelele "mnamuonea Rais kwa sababu ni DINI fulani; kila akiingia wa Dini hiyo mnashambulia serikali yake"
Kumbe hata chakula kule Diamond Jubilee waligharamiwa na JK.
Apende asipende atajibu tuhuma za uharibifu aliotenda kwa kupandikiza hii mbegu chafu!! JK = Janga la Kitaifa/aka "dhaifu"

http://www.wavuti.com/4/post/2012/0...m=twitter&utm_campaign=Feed:+wavuti+(Wavuti+)

muangalieni jamaa yenu hapa.
Kigugumizi kiingiii
 
jmushi1 na Ritz, natamani kuwe na mjadala wa nyie wawili tu kuhusu mada hii.

Uwe organised na na mkuu Roulette kama atakuwa na nafasi.

Ili mnyukano huo uwe na tija, usiwe na maneno ya maungoni.

Mnaonaje??

Tunaweza ongeza hata msiwe jeshi la mtu mmoja mmoja au tukafanya liwe jeshi la watu watatu watatu.

Jmushi aje na watu wawili zaidi na Ritz hivyo hivyo.

Na topik iwe modified, ilende udini Tz bila kulenga yeyote.

Anayeona kuna mtu yuko responsible atajibu sredini na kuonesha how mtu huyo yuko related na hapa tulipo.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wewe unuki mdomo mkuu wangu?
Mnuko mchafu wa matusi kama wako sina.Matusi na udini vimekujaa hadi inachefua.Rudi kwenye hoja unatapatapa kitu gani we fisadi?
 
jmushi1 na Ritz, natamani kuwe na mjadala wa nyie wawili tu kuhusu mada hii.

Uwe organised na na mkuu Roulette kama atakuwa na nafasi.

Ili mnyukano huo uwe na tija, usiwe na maneno ya maungoni.

Mnaonaje??
Wala bila matusi hatoweza kamwe, labda mwingine.Niko tayari kama itakuwa monitored.Lakini i wonder how,maana huwa hana hoja.Yeye atasema nchi haitakaa iongozwe na padri la sivyo wataingia mtaani ,sasa nambie yeye na nani?Alshabab?Mjadala wa facts hawezi i can bet my life on this.
 
uwe monitored ndio.

Itakuwa hoja tu, anayetoa matusi ni wazi kabisa atakuwa anawaangusha wanaomsikiliza.

Si unajua, watu hapa wanaona kabisa point.

wala bila matusi htoweza kamwe,labda mwingine.Niko tayari kama itakuwa monitored.Lakini i wonder how,maana huwa hawana hoja.Yeye atasema nchi haitakaa iongozwe na padri la sivyo wataingia mtaani,sasa nambie yeye na nani?Alshabab?Mjadala wa facts hawezi i can bet my life on this.
 
uwe monitored ndio.

Itakuwa hoja tu, anayetoa matusi ni wazi kabisa atakuwa anawaangusha wanaomsikiliza.

Si unajua, watu hapa wanaona kabisa point.
Hata huu wanataka kuuharibu,si unaona ulivyokuja wewe na great thinkers wengine hadi ikafuraisha kwa jinsi mlivyoangusha mapointi ya nguvu?Sasa fwatilia uone palipoenda kombo hadi usawa huu.
 
afu jouneGwelu na jmushi1, huu mjadala si wa dini na TZ, sasa imekuwaje mko kabatini?? Mnatafuta nini??

Ngoja nikalale.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu sweke34 ni wewe ndie ambae unataka kujifanya hamnazo wakati unazo tele! Mbona nilishakuambia tangia kwenye quotation yangu ya kwanza kwako kwamba wakati JK anazunguka kwenye kampeni za uchaguzi 2010 kwenye mikutano yake mingi alikuwa anakemea sana suala la udini! Ktk maajabu ya Mussa, wakatokea watu wakaanza kumpinga na kumshambulia kwamba kwa hatua yake ya kupita kuzungumzia masuala ya udini ndo anapandikiza udini vichwani mwa watu wakati "eti nchi haina udini!"Na ndio maana leo nashangaa kuona akina jmushi1 mnadai kwamba JK ni mdini kwakuwa hakemei udini.....lakini hapa mnachomaanisha hakemei waislamu! Sitaki kuamini kwamba mmesahau wakati ni miaka miwili tu sasa!!!!

Hilo la kwanza...lakini la pili, jmushi1 anapindisha mada tu hapa.....anafinyangafinyanga alichokielezea ili watu wamuamini kwamba ni mzalendo mpenda mmoja huku akiwa ni adui mkubwa wa udini wakati ukweli ni kwamba jmushi1 leo hii amejisahau na kuionesha taswira yake halisi! Binafsi, nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kum-challenge jmushi1 kuhusu masuala ya udini ni wakati mzee Mtei alipotoa madai yake ya kwamba tume imejaa waislamu!! Lazima nikiri wazi kwamba mara zote ambazo nimekuwa niki-differ ni jmushi1 ni pale anapoleta hoja zake za udini! Angalau, kwenye mada ile, alijishtukia mapema akaamua kukausha!
Kwa hilo la kwanza. Mimi nina shangazi yangu yupo Mwanza. Ni mkatoliki kama mimi ila yeye ni CCM damudamu. Alinisimulia mwenyewe kwamba wakati wa uchaguzi 2010, alipata msukosuko kidogo kwa kujifanya mwana ccm. Wenzake walikuwa wampanga wakipigie kura chama cha upinzani lakini yeye akagoma. Na ilikuwa bado kidogo tu atengwe. Ninachosema hapa ni kwamba. Wapo baadhi ya wakatoliki wadini. Baadhi ya walutheri wadini, baadhi ya waislam wadini nk. Naomba uondoe hicho kitu ulichokisema eti "lakini hapa mnachomaanisha hakemei waislamu".
Tunachomanisha hapa ni viongozi wa serikali na Kikwete kama kiongozi mkuu wamefanya nini kukemea huu udini tunaouona ukishamiri? Hapa haijalishi ni waislam ama ni wakristu. Wamefanya nini viongozi wetu?

Hilo la Mtei mimi msimamo wangu unajulikana na unaweza ukafuatilia post kule. Hata hiyo tume ya katiba ingekuwa na waislam wote, kwangu mimi haina tatizo as long as ni watu waadilifu.
 
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.

Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.

Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)

Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.

Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.

Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....

:flypig:Hapo nyuma chini ya srikali ya awamu ya kwanza hadi ya tatu kuna watu walikuwa wakitumia serikali kama fimbo ya kuficha ubaguzi wao wa kidini sasa angalau serikali imejiweka kando kwa kuwa ukweli haujifichi. Gazeti lililofungiwa halikuwa na hoja zaidi ya chuki binafsi na kukusudia kuiangamiza nchi sijui kwa faida ya nani? Gazeti hilo unalotaka wewe lifungiwe ndilo ambalo limekuwa likisema ukweli bila woga na maoni yake yakifuatwa nchi itakuwa paradiso, mkiendelea kulinyanyapaa matokeo yake huenda tukapa tena sometimes in ...
 
afu jouneGwelu na jmushi1, huu mjadala si wa dini na TZ, sasa imekuwaje mko kabatini?? Mnatafuta nini??

Ngoja nikalale.
ho hoo!Thats a jab!?Do you realy know the meaning of "being in a closet"?Anyways,namfwatilia Sweke34 hapa ana pointi ya maana.Good night.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom