Habarini wakuu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha IAA nasomea Bachelor Degree of Economics and Finance mwaka wa kwanza kwenda wa pili.
Kwa sasa hivi tupo likizo ya takriban miezi mitatu hivyo bas Ombi langu kubwa ni kupata sehemu yeyote, shirika ama kampuni yoyote ambayo ntaweza kufanya kazi kwa kujitolea yani bila malipo kwa mudaa huu ambao ntakua likizo.Kama kuna mtu anaweza kusaidia tafadhali ntashukuru sana.
ASANTENI
+255714478797