Kwa mageneus tuuu

Kwa mageneus tuuu

Wewe
Kweli hesabu ningum kama watu wanashindwa hesabu ndogo kama hii,sasa sijui hesabu za advance walisomaje.

Wengine wana idea na hesabu,wengine wanatazamia majibu(heli utazimie upate) .

Sasa najiuliza watu tutakapokuj kuwa wazazi hivi madaftali ya watoto ya hesabu yatakaguliwa kweli?.

Fanya ufanyavyo lakini jibu ni 40,kwa muundo wa suali na trend yake ilivyo.Mtu anatengeneza trend yake kwa kuongeza namba hiyo hairuhusiwi,may be zingekuwa AP,or GP lakini hiyo nihesabu yakawaida kabisa.

1+4=5.........(1)

2+5+(A)=12--------(2) ukisolve hiyo A utapata 5 ambalo ni jibu kwenye eqn (1)

3+6+(B)=21.........(3)ukisolve hapa B utapata 12 ambalo nijibu kwenye eqn(2).

Kwa trend hii basi unajumlisha namba ulizopewa na ukipata jibu unajumlisha na jibu la juu.

Kwahiyo ili kupata jibu sahihi utachukuwa

8+11 halafu utajumlisha jibu la juu kabla ya hii eqn(3) ambalo ni 21.

8+11+21=40.

Hili ndio litakuwa jibu sahihi iwe masika au kiangazi,Jua au Mvua.
Were kalinzi nyumbani eqn ya (3) siyo eqn inayoitajika kujumlisha na eqn ya nane in ya saba anbayo haipo hapo fikiri kidogo mbona hesabu ya darasa la tano hiyo .
 
Let think from second Qns
If we take first answer and add to second Qns can we obtain the same Qns?
Follow the steps
From 2nd Qn
Take 4 and add to next Qn
4+2+5=12
Take 12 and add to next
12+3+6=21
If 2nd and 3rd Qns went well therefore
Last Qns follow the same
Take 21 and add to last Qns
21+8+11=40
Hence 40 ans

Broo you are damn wrong....follow me and see where you guys are missing a point.
1+4=5
2+5=12
3+6=21
4+7=........32
5+8=
6+9=
7+10=
8+11=96
then you guys thought you were working on a sequential calculation but from the 3+6=21 there are four more stages to get to the sales question I mean 8+11.
 
Kweli hesabu ningum kama watu wanashindwa hesabu ndogo kama hii,sasa sijui hesabu za advance walisomaje.

Wengine wana idea na hesabu,wengine wanatazamia majibu(heli utazimie upate) .

Sasa najiuliza watu tutakapokuj kuwa wazazi hivi madaftali ya watoto ya hesabu yatakaguliwa kweli?.

Fanya ufanyavyo lakini jibu ni 40,kwa muundo wa suali na trend yake ilivyo.Mtu anatengeneza trend yake kwa kuongeza namba hiyo hairuhusiwi,may be zingekuwa AP,or GP lakini hiyo nihesabu yakawaida kabisa.

1+4=5.........(1)

2+5+(A)=12--------(2) ukisolve hiyo A utapata 5 ambalo ni jibu kwenye eqn (1)

3+6+(B)=21.........(3)ukisolve hapa B utapata 12 ambalo nijibu kwenye eqn(2).

Kwa trend hii basi unajumlisha namba ulizopewa na ukipata jibu unajumlisha na jibu la juu.

Kwahiyo ili kupata jibu sahihi utachukuwa

8+11 halafu utajumlisha jibu la juu kabla ya hii eqn(3) ambalo ni 21.

8+11+21=40.

Hili ndio litakuwa jibu sahihi iwe masika au kiangazi,Jua au Mvua.
Haiji mvua wala kiangazi....wewe ni KILAZWAAA.
 
The answer is 96. Additionally, the anwers series up to 8+11 is
5,12, 21, 32, 45, 60, 77 & 96.
 
Ndiyo maana sikuwa naelewana na mwl wangu maana kudanganywa sipendi coz 1+4=5 hii sawa lkn 2+5=12 hii hapana labda unipe maelezo mengine la sivyo kipindi kitaishia hapo2 na drsn sitoki ng'oo
 
1+4=5
2+(5x2)=12
3+(6x3)=21
8+(11x8)=96
Good Sky!
Au ukiangalia difference kati ya majawabu utaona kuwa ile difference ijumlishe na mbili, then add to the following answer. For example, the difference between 5 and 12 is 7.
Add 2 to 7 is 9. Add 9 to 12 is 21.
Add 2 to 9 is 11. Add 11 to 21 is 32.
Add 2 to 11 is 13. Add 13 to 32 is 45.
Add 2 to 13 is 15. Add 15 to 45 is 60.
Add 2 to 15 is 17. Add 17 to 60 is 77.
Add 2 to 17 is 19. Add 19 to 77 is 96.

Mine is tidious. Yours is real mathematical! With a clear pattern guided by mathematical operations. Hongera
 
1+4=5
2+5=12 (2+5=7+5=12)
3 +6=21 (3+6=9+12=21)
4+7=32 (4+7=11+21=32)
5+8=45 (5+8=13+32=45)
6+9=60 (6+9=15+45=60)
7+10=77 (7+10=17+60)
8+11=96 (8+11=19+77) or ( 8×11)+8=96

Correct, but tidious and no mathematical relationship shown
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom