Mkuu unaomba adhabu?Mimi nakupa short cut sawa 1+4= 5, 2+5= 12 ina
maana 5x2+2=12
3+6=21 sababu 6x3+3+21, 8 + 11= Kumbe 96 sababu ni 11x8 +8= 96
kama nimekosea sasa hivi naomba viboko vitatu tu.
Mhu nilidhani unguine wangu nimeusahau kumbe?? Sikubali viboko kokotoa kwanza halafu uje.Mkuu unaomba adhabu?
Jibu ni 40,,,
Swali lililoulizwa ni..
1+4=5
2+5=12
3+6=21
8+11=?
Solution
1+(4x1)=5(normal)
2+(5x2)=12
3+(6x3)=21
4+(7x4)=32
5+(8x5)=45
6+(9x6)=60
7+(10x7)=77
8+(11x8)=96
Kwahiyo jibu sahihi kulingana na mtazamo wangu kama genius ni 96
Hizo zenye blue hakutaka majibu yake ila muuliza swali angehitaji majibu basi trend ingekuwa hivyo kama nilivyoonyesha kwenye blue.
ALTERNATIVE
1+4=5
2+5+5=12
3+6+12=21
4+7+21=32
5+8+32=60
6+9+45=60
7+10+60=77
8+11+77=96
Hapo kilichofanyika ni kwamba jibu la juu linatumika kuadd katika swali la chini,mafano swali la kwanza 1+4=5 ,sasa hiyo 5 unakuja kuiadd kwenye swali la chini yake ambalo ni 2+5=12 manake ni kwamba ongeza na hiyo 5 jibu la juu inakuwa 2+5+5=12
Hiyo 12 iadd na swali linalofuata ambalo ni 3+6=21 inakuwa 3+6+12=21.Na ukiendelea hata kwa numbers ambazo aliziruka utafikia 8+11+77=96.
Wakuu hili ni jibu sahihi kabisa na hayo ni maelezo yake ila tukubali kuwa hili lina njia nyingi ila jibu ni moja tu ambalo ni 96.Nimetumia njia ya kuzidisha na kujumlisha ila tumeangukiwa hapo hapo.Msipoelewa na hapo mtanyifanya nitumie na kutoa na kugawanya pia ila nadhani nimeeleweka kwa hizo mbili kwanza.
Hahaha Capten mimi nilisha kokotoa na jibu nimeliweka..Mhu nilidhani unguine wangu nimeusahau kumbe?? Sikubali viboko kokotoa kwanza halafu uje.
Jibu ni 40.Swali lililoulizwa ni..
1+4=5
2+5=12
3+6=21
8+11=?
Solution
1+(4x1)=5(normal)
2+(5x2)=12
3+(6x3)=21
4+(7x4)=32
5+(8x5)=45
6+(9x6)=60
7+(10x7)=77
8+(11x8)=96
Kwahiyo jibu sahihi kulingana na mtazamo wangu kama genius ni 96
Hizo zenye blue hakutaka majibu yake ila muuliza swali angehitaji majibu basi trend ingekuwa hivyo kama nilivyoonyesha kwenye blue.
ALTERNATIVE
1+4=5
2+5+5=12
3+6+12=21
4+7+21=32
5+8+32=60
6+9+45=60
7+10+60=77
8+11+77=96
Hapo kilichofanyika ni kwamba jibu la juu linatumika kuadd katika swali la chini,mafano swali la kwanza 1+4=5 ,sasa hiyo 5 unakuja kuiadd kwenye swali la chini yake ambalo ni 2+5=12 manake ni kwamba ongeza na hiyo 5 jibu la juu inakuwa 2+5+5=12
Hiyo 12 iadd na swali linalofuata ambalo ni 3+6=21 inakuwa 3+6+12=21.Na ukiendelea hata kwa numbers ambazo aliziruka utafikia 8+11+77=96.
Wakuu hili ni jibu sahihi kabisa na hayo ni maelezo yake ila tukubali kuwa hili lina njia nyingi ila jibu ni moja tu ambalo ni 96.Nimetumia njia ya kuzidisha na kujumlisha ila tumeangukiwa hapo hapo.Msipoelewa na hapo mtanyifanya nitumie na kutoa na kugawanya pia ila nadhani nimeeleweka kwa hizo mbili kwanza.
jibu umeona wapi?Jibu ni 40.
nimekuelewa mkuu idea yako sio mbaya ni nzuri pia ila tunaona hapo kwenye soln zako umeruka frequency baada ya frequency (3+6) wewe ukahamia moja kwa moja kwenye frequency (8+11) je vipi kati kati ya hizi frequency mbili je hamna frequencies za kutafutiwa cumulative frequencies zake? mkuu huo ndio mtego walioshinda kutegua wote wanaosema jibu 40.Mkuu hiyo frequency (8+11) hauioni ipo tofauti na nyingine zote? je ni kweli kuwa unaweza kuadd frequencies in frequency distribution table if they are consecutive frequencies kaika kutaifuta com frequency? Mkuu hivi haujajiuliza kuwa mbona hizi pair hajawekaMtazamo wangu.
1+4=5
2+5=12
3+6=21
8+11=?
let (1+4),(2+5),(3+6) and (8+11) be a frequencies
also 5,12,21 and variable "x" be a cummulative frequencies
Therefore; (1+4)=5 (remain as it is) hence 5 is our first cumm.frequence
(2+5)+5*=12 (that 5* is our first cumm.frq) hence 12 is second cumm.frq
(3+6)+12*=21 (that 12* is our second comm.frq) hence 21 is third cumm.frq
Also (8+11)+21*=40 (that21* is our third cumm.frq) hence 40 is fourth cumm.frq
Hence answr is 40, "x"=40
Nimeshajibu katika page za hapo nyuma jaribu kutafuta.Pia mleta suali kashakubali suali alipolitowa jibu ni 40.Endelea kutafuta majibu mengine lakini jibu sahihi ni 40.jibu umeona wapi?
nimekuelewa mkuu idea yako sio mbaya ni nzuri pia ila tunaona hapo kwenye soln zako umeruka frequency baada ya frequency (3+6) wewe ukahamia moja kwa moja kwenye frequency (8+11) je vipi kati kati ya hizi frequency mbili je hamna frequencies za kutafutiwa cumulative frequencies zake? mkuu huo ndio mtego walioshinda kutegua wote wanaosema jibu 40.Mkuu hiyo frequency (8+11) hauioni ipo tofauti na nyingine zote? je ni kweli kuwa unaweza kuadd frequencies in frequency distribution table if they are consecutive frequencies kaika kutaifuta com frequency? Mkuu hivi haujajiuliza kuwa mbona hizi pair hajaweka
i.4+7
ii.5+8
iii.6+9
iv.7+10
Mkuu hebu chungulia vizuri hilo swali kuna kitu utagundua.Mkuu 96 ndio jibu sahihi na njia nmeweka juu hapo hata sio mbali sana ni page ya 7 tu unaweza ipitia kuona nilichokifanya.Idea yako ndio niliyotumia kupata 96 huko juu