aisee.. una mda.1+4=5
2+(5x2)=12
3+(6x3)=21
8+(11x8)=96
Hawezi kuwa sahihi,angalia trend hiyo ya 4,5,6 halafu ulukie 11 hicho kitu hakikubaliki may be ingefata 7.Hii number theory yako inayumba haina msimamo. Kuna mwingine atachukua aproach hii.
1+(4×1)=5
2+(5×2)=12
3+(6×3)=21
8+(11×4)=52
naye atakuwa sahihi. Theory yako ina mashaka.