1+4=5
2+5=12 (2+5=7+5=12)
3 +6=21 (3+6=9+12=21)
4+7=32 (4+7=11+21=32)
5+8=45 (5+8=13+32=45)
6+9=60 (6+9=15+45=60)
7+10=77 (7+10=17+60)
8+11=96 (8+11=19+77) or ( 8×11)+8=96
Kweli hesabu ningum kama watu wanashindwa hesabu ndogo kama hii,sasa sijui hesabu za advance walisomaje.
Wengine wana idea na hesabu,wengine wanatazamia majibu(heli utazimie upate) .
Sasa najiuliza watu tutakapokuj kuwa wazazi hivi madaftali ya watoto ya hesabu yatakaguliwa kweli?.
Fanya ufanyavyo lakini jibu ni 40,kwa muundo wa suali na trend yake ilivyo.Mtu anatengeneza trend yake kwa kuongeza namba hiyo hairuhusiwi,may be zingekuwa AP,or GP lakini hiyo nihesabu yakawaida kabisa.
1+4=5.........(1)
2+5+(A)=12--------(2) ukisolve hiyo A utapata 5 ambalo ni jibu kwenye eqn (1)
3+6+(B)=21.........(3)ukisolve hapa B utapata 12 ambalo nijibu kwenye eqn(2).
Kwa trend hii basi unajumlisha namba ulizopewa na ukipata jibu unajumlisha na jibu la juu.
Kwahiyo ili kupata jibu sahihi utachukuwa
8+11 halafu utajumlisha jibu la juu kabla ya hii eqn(3) ambalo ni 21.
8+11+21=40.
Hili ndio litakuwa jibu sahihi iwe masika au kiangazi,Jua au Mvua.