Kwa mageneus tuuu

Kwa mageneus tuuu

CASE1.
Hakuna kiashiria chochote kinachofanya useme hizi ni conservative term, angalia hapa
1+4=5
2+5=12
3+6=21
8+11=?

Series ya 1,2,3 na 4,5,6 haiwezi kuwa consecative terms to 8 and 11 kwasababu
1.Kuna alama ya kujumlisha, inamaana kwamba (1+4) inaleta single unit na sio pair like (x,y)
2.Nature ya swali, mtungaji wa swali hakuweka kiashiria chochote kam dotline ikionesha kuna gap kutoka kwenye 3 had8 pia kutoka kwenye 6 had 11.
mfano:
1+4=5
2+5=12
3+6=21
. +.
. +.
. +.
8+11=?

CASE2
Nilichokifanya mimi.
Chukulia iyo (1+4) ni namba tu yakawaida ambayo inaleta jibu 5,

(2+5) fanya kam hapo juu utapata jibu 7,
(3+6) utapata jibu 9,
Na iyo ya mwisho (8+11) utapata 19.

Then, let 5,7,9 and 19 as a friquence and find for its cumulative frequencies.
If your smart enough, you will get 5,12,21 and 40 which is our provision answers from the question

Therefore true Answer is 40, Oryt Broh!


Ndo maana nimeanza kwa maneno for only geniuses

Ndo maana hukupewa izo dotted kama kiashiria kua term zinaenda mpaka
First term up ...... to nth term
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom